SawaHapana. Huyu mama hayupo poa kabisa.
Tulipofika kwenye hili Taifa ni lazima kuna mstari tuweze kuuchora ili kurudishe heshima ya mwananchi.

Na lazima tupambana hadi kwa jasho la damu kuhakikisha linafika hapoHii ikishafika kinywani mwa babu Trump, bc kwisha kazi
Japan is an ancient empire that had colonized other nations and fought a formidable war with the US, in fact started the war with the US at Pearl Harbor.Vipi kuhusu Japan? Korea Kusini? Malaysia? na Philippines?
Kuna shida gani?
Marekani amesaidia Mataifa mengi sana ambayo yako vizuri na hayana shida yeyote.
pole sana, cha muhimu ukimaliza kupiga kelele ulipe kodi yetuMwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.
Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.
Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.
Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.
Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.
Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola
Huna hoja.Japan is an ancient empire that had colonized other nations and fought a formidable war with the US, in fact started the war with the US at Pearl Harbor.
You do not have the wherewithal and organization of a Japan.
South Korea was a geopolitical chess move to counter North Korea. The Koreans have a long civilization of self awareness. You do not even have your own alphabet. Please compare comparables.
Malaysia never had a regime change level of disruption from the US. Please have some logical consistency in your examples.
Please stop comparing apples to oranges.
You are like Congo. Draw examples from how the US installed Mobutu and what happenned after that. You are not a Korea or Japan.
The US disrupted the Philipinnes so badly from the American -Philippines War of 1899- 1902, through the Marcos years up to today. There are still some ungovernable parts of this country today due to this history.
The bottom line is, expecting a nation state to intervene without the negative consequences of that nation states interests is foolhardy.
International bodies that are above naked national interests, such as the ICC, could do this job better.
I as a US citizen, American voter, taxpayer and someone who follows American politics closely, as much as I dislike Samia and CCM, would not want an American led regime change move.
This must be led by Tanzanians through international bodies. The US can help with carefully calibrated sanctions.
RabaikaMwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.
Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.
Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.
Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.
Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.
Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola
Tutafika tu. Endelea kula ujira wako iki kufanyia kazi udhalimu.pole sana, cha muhimu ukimaliza kupiga kelele ulipe kodi yetu
ufike kwan unaenda wapTutafika tu. Endelea kula ujira wako iki kufanyia kazi udhalimu.
Kitu cha msingi, cha kweli na cha muhimu ni kwamba hizi ni hadithi za kujifurahisha wewe na jamaa zako tu.Huna hoja.
Tawala za sasa za Japan na Korea Kusini ni matokeo ya Intervention ya USA.
Hayo mataifa kihaki, kidemokrasia nz kimaendeleo yakoje?
Wewe nakufahamu tu. Ni kirusi kwenye movement za mabadiliko ya kweli. Nimeshapishana na wewe sehemu nyingi humu jukwaani hivyo nakuelewa na sitaki kurudi huko.
Si umeona umeshaonesha rangi zako halisi.Kitu cha msingi, cha kweli na cha muhimu ni kwamba hizi ni hadithi za kujifurahisha wewe na jamaa zako tu.
Marekani haiwezi kujiingiza Tanzania kufanya regime change kwa sababu haina interest na hili, in fact Samia akikutana na Wamarekani na kuwahakikishia interests zao, Wamarekani wanakuwa hawana haja ya kumtoa. Zaidi, watamlinda.
Acheni hizi fantasies kwamba Wamarekani wanawajali sana na watamtoa Samia kwa sababu kaua watu na hafuati demokrasia.
Wamarekani hawawajali hivyo.
Hizi ni fantasies za kitoto, zinawaonesha kuwa nyie hamna akili za kujipigania mpaka leo mnasubiri Mmarekani aje kufanya kazi yenu.
Pia, hizi fantasies zinaonesha kuwa nyie ni wajinga mnafikiri Mmarekani anaweza kuwafanyia kazi yenu ya regime change halafu akawaachia mjiendeshe wenyewe bila yeye kujichomeka na kuwaletea tatizo kubwa zaidi la kuweka mbele interests zake za kuchota resources zenu.
Hii ni dhana ya kivivu, kijinga , kizembe, inayotaka watu wengine wawafanyie kazi ambayo mnatakiwa kufanya wenyewe.
Na kwa ujinga huu mnaweza kuruka majivu mkakanyaga moto. Mkawatoa CCM, mkaingia katika utumwa wa kuwa chini ya Mmarekani na proxy wake.
Acheni ujinga na uvivu wa kumtegea Mmarekani afanye kazi mnayotakiwa kufanya wenyewe.
Huyo Trump Mmarekani kashasema nyie ni shithole countries, how do you lower yourself to the level of asking for help from a man who valls your country a shithole?
Wanaharakati wa Tanzania mna fikra za kivivu sana, mnategea wengine wafanye kazi yenu, mara mnategea wanajeshi, mara mnategea wasomi, mara mnategea Gen Z, mara mnategea Wamarekani.
Hii kazi ni ya Watanzania wote, fanyeni kazi mkifikia point ya kuinesha nhuvu ya critical mass watu w anje watawaona na kuwasaidia tu.
Sasa nyue hata hamjafanya kazi ya maandamano ya wiki tatu mfululizo mnataka Mmarekani aje kuwafanyia kazi yenu?
Aje kumsaidia nani ambaye hata haonekani kufanya kazi yake kwanza?
Hii pattern ya ujinga na uzembe wa kuwasakizia kazi yako wengine hujaanza leo.Si umeona umeshaonesha rangi zako halisi.
Huo uoga na hayo matango pori jilisje wewe na familia yako.
Tuachie wenye uchungu kweli na hili Taifa tupambane kulikomboa kwa njia zote ambazo Mungu ametujaalia kuzitumia.
Nani kakwambia harakati au jitihada zina ukomo kama hazijatimiza malengo?Hii pattern ya ujinga na uzembe wa kuwasakizia kazi yako wengine hujaanza leo.
Ulileta nyuzi za kuwaomba wanajeshi wakufanyie jazi yako ya regime change hivihivi.
Nikakuambia jeshi lako lenyewe limeoza haliwezi kujusaidia lolote.
Ukabisha.
Sasa umeshaelewa kuwa uli boogie step?
Sasa unafanya fantasy ile ile uliyoifanya kwa wanajeshi, umeihamishia kwa Wamarekani tu.
You are dangeroualy desperate.
Logical non sequitur fallacy all over.Nani kakwambia harakati au jitihada zina ukomo kama hazijatimiza malengo?
Nani kakwambia kwenye kupigania haki kunatakiwa kuwe na kukata tamaa?
Nani kakwambia kwenye kupigania ukweli unapaswa kukata tamaa?
We endelea kula mezani na watawala dhalimu. Sisi tuache tupiganie haki na kweli hadi pale Taifa litakapopata ukombozi wa kweli kwa faida ya Wananchi wote.
Tatizo ni unajaribu kumfundisha fisi kupanda mti.Hayupo kwenye level unayoifikiria yupo.Yupo chini sana.Kitu cha msingi, cha kweli na cha muhimu ni kwamba hizi ni hadithi za kujifurahisha wewe na jamaa zako tu.
Marekani haiwezi kujiingiza Tanzania kufanya regime change kwa sababu haina interest na hili, in fact Samia akikutana na Wamarekani na kuwahakikishia interests zao, Wamarekani wanakuwa hawana haja ya kumtoa. Zaidi, watamlinda.
Acheni hizi fantasies kwamba Wamarekani wanawajali sana na watamtoa Samia kwa sababu kaua watu na hafuati demokrasia.
Wamarekani hawawajali hivyo.
Hizi ni fantasies za kitoto, zinawaonesha kuwa nyie hamna akili za kujipigania mpaka leo mnasubiri Mmarekani aje kufanya kazi yenu.
Pia, hizi fantasies zinaonesha kuwa nyie ni wajinga mnafikiri Mmarekani anaweza kuwafanyia kazi yenu ya regime change halafu akawaachia mjiendeshe wenyewe bila yeye kujichomeka na kuwaletea tatizo kubwa zaidi la kuweka mbele interests zake za kuchota resources zenu.
Hii ni dhana ya kivivu, kijinga , kizembe, inayotaka watu wengine wawafanyie kazi ambayo mnatakiwa kufanya wenyewe.
Na kwa ujinga huu mnaweza kuruka majivu mkakanyaga moto. Mkawatoa CCM, mkaingia katika utumwa wa kuwa chini ya Mmarekani na proxy wake.
Acheni ujinga na uvivu wa kumtegea Mmarekani afanye kazi mnayotakiwa kufanya wenyewe.
Huyo Trump Mmarekani kashasema nyie ni shithole countries, how do you lower yourself to the level of asking for help from a man who valls your country a shithole?
Wanaharakati wa Tanzania mna fikra za kivivu sana, mnategea wengine wafanye kazi yenu, mara mnategea wanajeshi, mara mnategea wasomi, mara mnategea Gen Z, mara mnategea Wamarekani.
Hii kazi ni ya Watanzania wote, fanyeni kazi mkifikia point ya kuinesha nhuvu ya critical mass watu w anje watawaona na kuwasaidia tu.
Sasa nyue hata hamjafanya kazi ya maandamano ya wiki tatu mfululizo mnataka Mmarekani aje kuwafanyia kazi yenu?
Aje kumsaidia nani ambaye hata haonekani kufanya kazi yake kwanza?
Tangu lini kumshirikisha Marekani iwe desperate measure?Logical non sequitur fallacy all over.
Sijasema harakati zina ukomo wala unatakiwa kukata tamaa.
In fact wewe ndiye una papara unataka kumuita Mmarekani haraka amtie Samia kama vile harakati zina ukomo usipomtia Samia haraka kabisa desperately hatatoka.
In fact wewe ndiye unaonekana kujata tamaa, unachukua desperate measures za kumuita Mmarekani bila hata ya kujaki unintended consequences. Wewe ndiye umekata tamaa hapa unataka kujilipua.
Nakuambia kutegemea Mmarekani au Mwanajeshi akufanyie kazi yako ya kuweka demokrasia Tanzania ni ujinga.
Na hapo nakulaje mezani na watawala dhalimu? That is another logical nonnsequitur fallacy and a an ad hominem fallacy.
Naweza kukuambia kutegemea Mmarekani aje kumtoa Samia ni ujinga bila ya mimi kuwa nakula mezani na watawala.
Usilazimishe kuwa kila anayekosoa mbinu zako za regime change lazima awe anakula mezani na watawala.
Mnaota ndoto za mchana. Huyo Mange anafunguliwa kesi huko California, atafungiwa huko huko bila ya haja ya kuletwa huku Tanzania.Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.
Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.
Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.
Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.
Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.
Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola
Ndoto za alinacha.Huyu CDF atakimbilia kujiua mwnyw, Trump aje ambebe Manyonyo na JK then Hawa wapuuzi wengine tutadeal nao wnyw tunawaweka kundi moja na chawa wa ccm
Hapa umeonyesha jinsi ulivyo mweupe..Vipi kuhusu Japan? Korea Kusini? Malaysia? na Philippines?