Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Wewe ndiye unapiga ramli hapa.Unachofanya ni kupiga ramli tu kama mganga wa kienyeji.
Acha tuende kwa Wanasheria wa Marekani, tufike kwenye Mahakama za Marekani kupeleka maombi yetu alafu zenyewe ndo ziseme haziwezi kutoa Arrest Warrant.
Punguza kujipa umuhimu kwenye vitu ambavyo huvijui na huna uwezo wala mamlaka navyo.
Waache Diaspora waliopo Marekani wapambane alafu Mahakama za Marekani ziseme haziwezi au zinaweza.
Hujatuambia umemtafuta mwanasheria wa Marekani hata mmoja.
Na wanasheria wa Marekani wako wengi tu wanapenda kupiga pesa au kupata umaarufu wanaweza kukuambia unachotaka kusikia huku wakijua hili jambo haliwezekani.
Ukipata Arrest Warrant ya Samia kutoka Marekani iweke hapa tuongee.
Vinginevyo unachangamsha baraza kwa ndoto zako za Alinacha tu.