Diaspora mliopo Marekani tusaidieni kupata Arrest Warrant ya Samia na Wasaidizi wake katika Mahakama yoyote ya Marekani

Diaspora mliopo Marekani tusaidieni kupata Arrest Warrant ya Samia na Wasaidizi wake katika Mahakama yoyote ya Marekani

Hata chawa wa Maduro waliwaambia hvy hvy waandamanaji, ww subira neno Tanzania litamkwe na babu Trump ndio utajua hujui
Trump ana matatizo na wamarekani kavunja sheria za kimataifa, taasisi zao zinamuweka kitimoto muda huu.

Trump kafuata mafuta kule Venezuela, Tanzania haina mafuta ina madini yenye soko kubwa kidunia.
 
Nakwambia hivi, haya ni mabishano ya kidhahania ya JF.

Mmarekani anahakikisha anatetea interests zake.

Wewe poteza muda wako hapa.

Ukipata hiyo arrest warrant niite.

Unapoteza muda kama ulivyopoteza muda kuomba wanajeshi wamuondoe Samia.

You are always lost in alleyways that goes nowhere.

Wanajeshi. Wamarekani. What's next? Utataka Santa aje kumuondoa Samia kama zawadi yako ya Christmas pia?
Vijana wa Gen Z hawajielewi, haswa huyu mleta mada mara nyingi ujumbe wake unakuwa wa kitoto tu.

Na unakuta akili hizi ndizo zilizoyaongoza hayo yaliyoitwa maandamano.
 
Nyumbu hamna akili vipi ICC haijawasaidia?
 
Njia rahisi ya kumshawishi Trump is through DEALS.

Trump ni mfanya biashara na ni mtu wa madeal. Kama tunataka kum-approach huyu bwana, LETS DO A DEAL WITH HIM.

Tunapom-approach, tujiulize atakapotekeleza maombi yetu, Americans watapata nini???

Baaaassiiiii
 
Wewe lofa umelaaniwa kuliko malofa wote ebu jibu hoja Kwanza.....huu mwaka umeanza Kwa kuchangamka Sana Hadi kieleweke
Kuna hoja hapo au kichaa anamiliki smartphone

Yaani ukae ndani ujitungie mavi halafu uje kuwaambia watu wajibu mavi yako?

-KUNA UMHIMU WA KUSOMA BASICS ZA SHERIA NA MIKATABA YA KIMATAIFA!
 
Kitu cha msingi, cha kweli na cha muhimu ni kwamba hizi ni hadithi za kujifurahisha wewe na jamaa zako tu.

Marekani haiwezi kujiingiza Tanzania kufanya regime change kwa sababu haina interest na hili, in fact Samia akikutana na Wamarekani na kuwahakikishia interests zao, Wamarekani wanakuwa hawana haja ya kumtoa. Zaidi, watamlinda.

Acheni hizi fantasies kwamba Wamarekani wanawajali sana na watamtoa Samia kwa sababu kaua watu na hafuati demokrasia.

Wamarekani hawawajali hivyo.

Hizi ni fantasies za kitoto, zinawaonesha kuwa nyie hamna akili za kujipigania mpaka leo mnasubiri Mmarekani aje kufanya kazi yenu.

Pia, hizi fantasies zinaonesha kuwa nyie ni wajinga mnafikiri Mmarekani anaweza kuwafanyia kazi yenu ya regime change halafu akawaachia mjiendeshe wenyewe bila yeye kujichomeka na kuwaletea tatizo kubwa zaidi la kuweka mbele interests zake za kuchota resources zenu.

Hii ni dhana ya kivivu, kijinga , kizembe, inayotaka watu wengine wawafanyie kazi ambayo mnatakiwa kufanya wenyewe.

Na kwa ujinga huu mnaweza kuruka majivu mkakanyaga moto. Mkawatoa CCM, mkaingia katika utumwa wa kuwa chini ya Mmarekani na proxy wake.

Acheni ujinga na uvivu wa kumtegea Mmarekani afanye kazi mnayotakiwa kufanya wenyewe.

Huyo Trump Mmarekani kashasema nyie ni shithole countries, how do you lower yourself to the level of asking for help from a man who valls your country a shithole?

Wanaharakati wa Tanzania mna fikra za kivivu sana, mnategea wengine wafanye kazi yenu, mara mnategea wanajeshi, mara mnategea wasomi, mara mnategea Gen Z, mara mnategea Wamarekani.

Hii kazi ni ya Watanzania wote, fanyeni kazi mkifikia point ya kuinesha nhuvu ya critical mass watu w anje watawaona na kuwasaidia tu.

Sasa nyue hata hamjafanya kazi ya maandamano ya wiki tatu mfululizo mnataka Mmarekani aje kuwafanyia kazi yenu?

Aje kumsaidia nani ambaye hata haonekani kufanya kazi yake kwanza?
😁😁😁 Naked truth
 
Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.

Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.

Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.

Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.

Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.

Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.

Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola
Nyie mna kitu gani cha kumlipa trump,kwani havamii hovyohovyo mpaka ajue kama kuna mali,au mtamuoza mange kwa trump?
 
Punguza taharuki kaka, US na Tanzania wapo vizuri. SSH asingewapokea mabalozi wao pale ikulu Dodoma mwishoni mwa mwaka jana.
Na bungeni walikuwepo wakifuatilia hotuba ,

Binafsi naichukia ccm lakini Hawa wanadhania kwamba USA itamu arrest samuya Wana jidanganya sana , siasa haiko hivyo kabisa Yaani

USA hawezi kufanya hivyo wakati maslahi yake Bado yanalindwa siasa ni biashara siasa ni uchumi
 
Mjinga ni wewe unayefikiri utawala huu wa kidhalimu unaonufaika nao unaweza kutolewa kwa njia nyingine zaidi ya msaada wa kimataifa.

Kwa akili zako unaewezaje kuutoa huu utawala wa kidhalimu unaonufaika nao? Ulio compromise taasisi zote hadi Katiba yenyewe?
Utawala dhalimu machoni kwako wewe, kwa mataifa tunayohusiana nayo hawauoni huo udhalimu!.

Wanatazama maslahi yao yanaweza vipi kupatikana kupitia uhusiano wa Tanzania na wao, sio kazi nyepesi hizo hisia zenu kuweza kutimizwa.

Mnapofikiria kuiondoa serikali ya Tanzania mnaongelea kuipindua dola ya JMT, sio shughuli ndogo, huwa haipinduliwi kwa kutegemea fantasies za vichwani mwa vijana ambao mengi kwao bado ni mageni.

Mkawadanganya vijana wakaingia njiani kwa ahadi za Mange kwamba mtakutana na wanajeshi wa JWTZ ambao wanawaunga mkono!, a big mistake.

JWTZ linaapa hadharani mbele ya Mheshimiwa SSH wanalipwa mabilioni ya pesa tena kwa wakati, waache kuwa watii kwa bosi wao wawe watii kwa yule changudoa mzee wa California!!. Another Illusion in your heads.

JWTZ hawana sababu ya kumgeuka SSH yupo pale kikatiba kama wao walivyo kikatiba. Jipangeni sana lakini iwe kiutu uzima isiwe kitoto.
 
Na bungeni walikuwepo wakifuatilia hotuba ,

Binafsi naichukia ccm lakini Hawa wanadhania kwamba USA itamu arrest samuya Wana jidanganya sana , siasa haiko hivyo kabisa Yaani

USA hawezi kufanya hivyo wakati maslahi yake Bado yanalindwa siasa ni biashara siasa ni uchumi
Vijana watafute shughuli halali za kuingiza vipato wafanye kazi. Hii mipango yao ya kwenda kinyume na serikali iliyopo inaweza kirahisi tu kuwaingiza kwenye kesi za uhaini, wakafungwa wakawaacha wazazi wao na machozi yasiyofutika.
 
Umejiona ulivyo mjinga?

Ila sikushangai! Hivyo ndivyo watu mnaoishi kwa bahasha za madhalimu mlivyo. Mnajifanya mnaunga mkono juhudi za ukombozi nusu nusu na sio completely kwa sababu mnajua zikija kwenye ukamilifu wake zitaathiri ugali wenu.

Unaongeleaje suala la Arrest Warrant kuungwa mkono wa Marekani wakati ndo kwanza ni wazo nililolileta hapa?

Unapata wapi nguvu ya kukebehi wazo ambalo ndo kwanza limeletwa na halijaanza kutekelezwa?

Ndo mana nakwambia wewe huna audacity ya kusema chochote juu ya harakati za ukombozi maana ya mnufaika wa tawala hizi za kidhalimu zinazotukandamiza Watanzania.
Hakuna Mmarekani atakayetoa Arrest Warrant ya kumkamata Samia.

Piga domo ufurahishe genge.
 
Arrest Warrant inakuwaje habari ya kujipa moyo wakati ni wazo ndo limetolewa kwa ajili ya kufanyiwa kazi?

Tuache tuanze kufanya hizo jitihada, tupate hiyo Arrest Warrant kwenye Mahakama za Marekani alafu Serikali ya Marekani wakatae kuifanyia kazi ndipo uje kuleta kebehi zako za kushiba hela za rushwa za ccm humu.
Sasa ukisema watu waombe Santa Claus aje kumkamata Samia kama zawadi ya Christmas hilo nalo si wazo la watu kulifanyia kazi?

Ina maana watu wakiomba Santa Claus aje kumkamata Samia atakuja?

Marekani hana interest zako wewe, ana interest zake, kamkamata Maduro kwa a very detailed indictment inayompa Maduro kesi za kuwadhuru Wamarekani.

Samia kawadhuru kivipi Wamarekani kupelekea Wamarekani watoe Arrest Warrant yake?

Kwa nini uwape kazi hiyo Wamarekani katika watu wote wa dunia wakati kuna ICC, chombo cha kimataifa cha kufanya kazi hiyo kisicho na makandokando ya national interests?

Huelewi wapi?

Umesoma Sealed Superseding Indictment ya Maduro na kuona sababu za kukamatwa kwake?

Kwa nini unapenda kuishi maisha ya fantasy?

Umeleta fantasy ya wanajeshi kumpindua Samia, imebuma.

Umerukia fantasy ya Wamarekani kuja kumtoa Samia.

Utarukia fantasies ngapi zisizotekelezeka mwaka huu?

Hii ndiyo coping mechanism yako? Kujipigia hadithi za fantasies zisizotekelezeka?
 
Kumtoa Samia wala hatuhitaji msaada wa Marekani.

Mamilioni ya Watanzania wakijitokeza mabarabarani hakuna jeshi lolote lile la Samia linaloweza kuwazuia.

Ndiyo, vifo vitakuwepo.

Pata picha tu hapa Dar es Salaam tukijitokeza watu milioni 3 halafu tuandamane.

JWTZ na polisi hawana manpower ya kuweza kuudhibiti umati kama huo.

Kwenye nchi ya watu milioni 70 tunakosa hata watu milioni 15 wa kuandamana mpaka Samia anatoka?
Hawa wanaharakati wanaotaka Mmarekani aje afanye regime change Tanzania ni wavivu na wajinga. Tena wako very desperate. Watairukia headline yoyote mpya na kumchomeka Samia bila logic wala reason.

Siwatukani, nitaeleza sababu ya ku justify maneno hayo.

Ni wavivu kwa sababu wanataka Mmarekani aje afanye kazi yao. Watu hata hawajaandamana kwa siku mfululizo wanatakaje Mmarekani aje kufanya regime change?

Ni wajinga kwa sababu wanafikiri Mmarekani akija kufanya hiyo kazi, wao watabaki salama. Mmarekani atafanya charity work na kuondoka.

Hawajui kuwa chances are Mmarekani anaweza kuwa tatizo kubwa kuliko Samia na CCM.

Kwamba huyu Samia na CCM huenda wako on their dying bed, ndani ya miaka michache ijayo tunaweza kuweka nguvu wenyewe CCM ikafa. Na kwamba, kwa kumuingiza Mmarekani afanye regime change ndiyo tutakuwa tunamuweka mtu tusiyemmudu, ataharibu nchi kwa niaka 100 ijayo.

Wao wanakwenda kwa reflex action na events tu, kama nyungunyungu asiye na ubongo wala uti wa mgongo.

Wakiona Maduro kakamatwa na Wamarekani, na wao wanataka Samia akamatwe.

Ujinga mtupu.
 
Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.

Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.

Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.

Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.

Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.

Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.

Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola
Ndoto za mchana. Wazungu wana akili sana kuliko wewe. Kwa wazungu Samia sio mbaya kwao kuliko JPM, JK, Mkapa, Mzee Mwinyi au Nyerere. Wote hawa hakuna aliyezuia maslahi yao Tz. Hata Samia hajawazuia kuzoa madini na mali nyingine wanazozihitaji kwetu. Pili, Samia ni mwanamke, ukigombana na mwanamke jiandae kushindwa wewe. Dunia nzima inaelekeza macho na masikio yao kwenye haki za wanawake. Rais Samia is a pilot study. Kila unachofanya na kusema dunia inakuona kama vile unachukua advantage na kukupuuza; maana Samia hajavuka redlines zozote za demokrasia, haki na maslahi ya wazungu. Wazungu wamewekeza sana Tz na mitaji yao iko salama sana kuliko nchingine za Afrika.

Kaka mnapoteza muda wenu kuhangaika na Samia. Subirini Rais ajae ambae atakuwa mwanaume mwenzenu.
 
Tunaomba Trump aje kumyakua Madurorapa wa Malawise maana alichofanya Maduro Og na Madurorapa same same.
 
Ndoto za mchana. Wazungu wana akili sana kuliko wewe. Kwa wazungu Samia sio mbaya kwao kuliko JPM, JK, Mkapa, Mzee Mwinyi au Nyerere. Wote hawa hakuna aliyezuia maslahi yao Tz. Hata Samia hajawazuia kuzoa madini na mali nyingine wanazozihitaji kwetu. Pili, Samia ni mwanamke, ukigombana na mwanamke jiandae kushindwa wewe. Dunia nzima inaelekeza macho na masikio yao kwenye haki za wanawake. Rais Samia is a pilot study. Kila unachofanya na kusema dunia inakuona kama vile unachukua advantage na kukupuuza; maana Samia hajavuka redlines zozote za demokrasia, haki na maslahi ya wazungu. Wazungu wamewekeza sana Tz na mitaji yao iko salama sana kuliko nchingine za Afrika.

Kaka mnapoteza muda wenu kuhangaika na Samia. Subirini Rais ajae ambae atakuwa mwanaume mwenzenu.
Wewe ndo wa kuwasemea wazungu? Wewe ndo mzungu hadi uwasemee?

Mbona unahangaika sana bwashee?

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa tamko dhidi ya Samia na Serikali yake. Haikuwahi kutoa tamko kwa Mwinyi, Mkapa wala Kikwete.

Tuache sisi tufuate njia tunayoona inafaa. Tukifeli ni sisi na tukifanikiwa ni sisi. Maneno yako kawaambie wana Lumumba wenzako.

Sisi ndo tunafanya mchakato wa kuihusisha Serikali ya Marekani na Mahakama za Marekani. Huu ni mchakato tunao uinitiate sisi. Tuache tupambane nao na tukipata matokeo mazuri ni sisi sio wewe kibaraka na mnufaika wa mfumo kandamizi.
 
Wewe ndo Mahakama za Marekani sio?
Logical non sequitur fallacy.

Mimi kutokuwa mahakama za Marekani haizuii ukweli kwamba Mmarekani ana operate kwa interests zake na Samia so far haja violate interests za Wamarekani.

Unachofanya ni kupiga ramli tu kama mganga wa kienyeji.

Acha tuende kwa Wanasheria wa Marekani, tufike kwenye Mahakama za Marekani kupeleka maombi yetu alafu zenyewe ndo ziseme haziwezi kutoa Arrest Warrant.

Punguza kujipa umuhimu kwenye vitu ambavyo huvijui na huna uwezo wala mamlaka navyo.

Waache Diaspora waliopo Marekani wapambane alafu Mahakama za Marekani ziseme haziwezi au zinaweza.
 
Back
Top Bottom