Diaspora mliopo Marekani tusaidieni kupata Arrest Warrant ya Samia na Wasaidizi wake katika Mahakama yoyote ya Marekani

Diaspora mliopo Marekani tusaidieni kupata Arrest Warrant ya Samia na Wasaidizi wake katika Mahakama yoyote ya Marekani

Wanaharakati mnapenda sana kuishi kwa kutengeneza taharuki na presha.

Unapokaa na wahusika wanaoongelewa humu huwezi hata kuihisi hiyo presha.
 
Kuna mahali nimeandika hivyo? Umenishangaza tumefikaje kutamani "Arrest Warrants" toka mahakama za Marekani.

Hii maana yake mfumo wa kidola hapa kwetu umeporomoka?
Kwahiyo mkuu unajifanya mgeni ama mtoto kabisa?

Hivi hukuona yaliyotokea Oct 29?
Huoni kuwa TL yupo gerezani bila kosa lolote?

Hukusia Rostam alisema mahaka hupigiwa simu moja tu na watawala?

Unaishi nchini kweli wewe?
 
Hebu tafuta bandiko la Kiranga ulisome ndiyo utaelewa wengine wetu mtizamo na msimamo wetu.
 
TL alichokisema ni uhaini alitishia kukinukisha nchi nzima wakati CHADEMA hawakwenda kwa msajili walipoitwa, anataka kuitunishia misuli serikali wakati yenyewe ni dola kamili.
 
Tangu lini kumshirikisha Marekani iwe desperate measure?

Tangu lini kushirikisha jumuiya ya kimataifa iwe desperate measure?

ANC waliposhirikisha Serikali nyingine walikuwa desperate?

Wewe waza kumtegemea Marekani kuwa ni ujinga tuache sisi tunaoona ni werevu tuchukue hiyo njia tufanye tunachoona ni sawa.
Nakwambia hivi, haya ni mabishano ya kidhahania ya JF.

Mmarekani anahakikisha anatetea interests zake.

Wewe poteza muda wako hapa.

Ukipata hiyo arrest warrant niite.

Unapoteza muda kama ulivyopoteza muda kuomba wanajeshi wamuondoe Samia.

You are always lost in alleyways that goes nowhere.

Wanajeshi. Wamarekani. What's next? Utataka Santa aje kumuondoa Samia kama zawadi yako ya Christmas pia?
 
Nakwambia hivi, haya ni mabishano ya kidhahania ya JF.

Mmarekani anahakikisha anatetea interests zake.

Wewe poteza muda wako hapa.

Ukipata hiyo arrest warrant niite.

Unapoteza nuda kama ulivyopoteza muda kuomba wanajeshi wamuondoe Samia.

You are always lost in alleyways that goes nowhere.

Wanajeshi. Wamarekani. What's next? Utataka Santa aje kumuondoa Samia kama zawadi yako ya Christmas pia?
Acha Mmarekani atetee interest zake na sie tutetee interest zetu.

Hata ANC ilichukua muda kuweza kuishawishi jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua dhidi ya Makabulu na siku ya mwisho walifanikiwa.
 
Hebu tafuta bandiko la Kiranga ulisome ndiyo utaelewa wengine wetu mtizamo na msimamo wetu.
Kuna watu hapa wanafanya false dichotomy fallacy ya kwamba ukikosoa hoja zao za kumualika Mmarekani aje kufanya regime change Tanzania, basi wewe lazima utakuwa unaitetea regime ya CCM / Samia.

Hawa watu hawana uwezo wa kufikiri kuwa inawezekana mtu akaupinga utawala wa CCM / Samia, halafu pia akapinga habari ya kuitaka Marekani ndiyo ije ifanye regime change.

Na hii false dichotomy logical fallacy yao inaonesha uwezo wao ndogo wa kufikiri.
 
Acha Mmarekani atetee interest zake na sie tutetee interest zetu.

Hata ANC ilichukua muda kuweza kuishawishi jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua dhidi ya Makabulu na siku ya mwisho walifanikiwa.

Sasa wewe unajifananisha na ANC? Umefanya kipi sawa na ANC?

Unasema acha Mmarekani atetee interests zake wakati huo unamuita atetee interest zako?

Mmarekani ni capitalists, interests zake ni kuchukua resources zako bila kujali hali yako wewe. Ndicho unachotaka hicho?

Huoni kuwa mpaka hapo ushaji contradict?

Mmarekani hajali mambo yenu huko. Hata akitoa matamko anatoa kidiplomasia na kusisitiza usalama wa raia wake.

Hata ukimshirikisha Mmarekani, wewe mwenyewe umefanya nini kwanza?

Ushaandamana siku 21 bila kusimama?

Bangladesh wameandamana siku 17 bila kupumzika mwaka 2024, mpaka serikali ikaanguka.

Nyie mmeandamana siku ngapi mfululizo bila kusita?

Bangladesh wamewashinda kitu gani?

Bangladesh wameangusha serikali yao bila ya msaada wa Marekani. Bila ya msaada wa wanajeshi.

Nyie mnashindwa wapi?
 
Ushaandamana siku 21 bila kusimama?

Bangladesh wameandamana siku 17 bila kupumzika mwaka 2024, mpaka serikali ikaanguka.

Nyie mmeandamana siku ngapi mfululizo bila kugoma?

Bangladesh wamewashinda kitu gani?
Tatizo watanzania wengi hawaamini kuwa kuandamana ni sayansi.

Kabla ya 29Oktoba wengine tulipokuwa tunauliza maswali ya msingi tuliambiwa tukae pembeni.
 
Sasa wewe unajifananisha na ANC? Umefanya kipi sawa na ANC?

Unasema acha Mmarekani atetee interests zake wakati huo unamuita atetee interest zako?

Mmarekani ni capitalists, interests zake ni kuchukua resources zako bila kujali hali yako wewe. Ndicho unachotaka hicho?

Huoni kuwa mpaka hapo ushaji contradict?

Mmarekani hajali mambo yenu huko. Hata akitoa matamko anatoa kidiplomasia na kusisitiza usalama wa raia wake.

Hata ukimshirikisha Mmarekani, wewe mwenyewe umefanya nini kwanza?

Ushaandamana siku 21 bila kusimama?

Bangladesh wameandamana siku 17 bila kupumzika mwaka 2024, mpaka serikali ikaanguka.

Nyie mmeandamana siku ngapi mfululizo bila kugoma?

Bangladesh wamewashinda kitu gani?

Bangladesh wameangusha serikali yao bila ya msaada wa Marekani. Bila ya msaada wa wanajeshi.

Nyie mnashindwa wapi?
Kipi wanachofanya Ccm hakikufanywa na Serikali ya Makaburu Afrika Kusini na ya Sheik Hasina Bangladesh?

Wote waliteka watu, wakafunga watu kwa kesi za uongo, walipoteza watu na kulawiti watu. Na haya yote yanafanywa sasa na ccm

Wote wamenyanyasa watu na kuziteka taasisi zote zinazoweza kuhakikisha mifumo inakuwa na checks and balances. Na haya yameshafanywa na ccm hapa Tanzania.

Unataka hatua zichukukiweje? Watu hawakuandamana? Hawakuuwawa? Unataka wandered kuandamana na kuuwawa?

Kwani wapi imeandikwa hadi mchukue hatua kwa muda mrefu ndo mnaweza pata msaada?

Nimeshakwambia. Wewe endelea kuishi kwa kufadhiliwa na hao mafisadi ili kurdish nyuma harakati ila sisi wengine haturudi nyuma na hatutorudi nyuma.

Jitihada zetu zitaendelea bila kukoma na ipo siku insha Allah tutapata matokeo mazuri kama Watanzania wapenda haki.
 
Back
Top Bottom