Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kuna mahali nimeandika tukae kimya? Najiuliza tumefikaje hapa watanzania kuikatia tamaa dola Yao?Ulitaka tufike wapi?
Watu wameua ndugu zetu zaidi ya elfu 10 alafu tukae kimya?
Tayside gani ya kuiamini?Kuna mahali nimeandika tukae kimya? Najiuliza tumefikaje hapa watanzania kuikatia tamaa dola Yao?
Kabla ya sodoma na Gomora kuchomwa moto, Ibrahim alimuomba Mungu asiuchome ule mji. Mungu akamwambia kama akipatikana mtu mwema huko hatauchoma ule mji.
Gomora na sodoma zilichonwa moto kwa kuwa hakukuwa na mtu hata mmoja mwema. Jee Tanzania hatuna hata taasisi Moja tunayoiamini?
Kama hatuna hata taasisi Moja tunayoiamini kushughulika kwa kilichotokea 29Oktoba, ndipo swali langu linapokuja, Tumefikaje hapa?
Tutaelewa kama tuna tija au hatuna tija. Kwa sasa chochote kinachoweza kufanyika lazima kifanyike.Nyie hamna tija kwa marekani maana rasilimali mnazigawa bila kuombwa, kina Maduro ni wagumu kutoa hadi wafinywe.
Duh!!! watu kweli mmevurugwa!Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.
Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.
Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.
Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.
Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.
Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola
Hapana. Huyu mama hayupo poa kabisa.Duh!!! watu kweli mmevurugwa!
Mama wa watu mbona yuko poa sana tu..
Kama ni hivyo bado nauliza, tumefikaje hapa?Kwa akili yako kuna yeyote wa ku.tegemea kwa hapa tulipofika?
Ni vizuri kufanya mchakato wa ICC kuliko Marekani kwa sababu Marekani ina matatizo mengi ya geopolitics na national interests zake yenyewe.Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.
Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.
Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.
Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.
Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.
Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola
Kuna drug dealers ndiyo walimtaja Maduro kuwa ni Mshiriki wao katika drug smuggling kwenda Marekani. Akawa indicted na mahakama ya Marekani. Arrest warrant ikatolewa. Maduro kaletwa kujibu mashtaka kwenye hiyo indictment.Kuna mahali nimeandika hivyo? Umenishangaza tumefikaje kutamani "Arrest Warrants" toka mahakama za Marekani.
Hii maana yake mfumo wa kidola hapa kwetu umeporomoka?
Kwa tulipofika sasa sio wakati wa kujiuliza tena tumefikaje? Huu ni wakati wa kuchukua hatua ili kuhakikisha wanaotufikisha hapa wanachukuliwa hatua na linakuwa funzo la kutosha kuhakikisha haturudi tena hapo.Kama ni hivyo bado nauliza, tumefikaje hapa?
Kama hatujui tumefikaje hapa, basi hata hao Marekani wakitoa hizo "Arrest warrants" baada ya Hawa wa sasa "kushughulikiwa" bado tutarudi tena kwenye mkwamo kama huu.
CCM wamekuwa wanaiba chaguzi tangu mwaka 2000, sisi tukadhani ni watu, kumbe ni mfumo wa chama chao.
Tulipambana na Mkapa kuhusu mauaji ya Zanzibar mwaka 2001, na Leo miaka 24 baadae tunapambana na Samia kuhusu mauaji ya 29Oktoba.
Tusipojua tumefikaje hapa, hatuwezi kamwe kujua tutatokaje hapa.
Kuna kiashiria tulikipuuzia kwenye uchaguzi wa CHADEMA 2025. Ilikuwaje Freeman Mbowe mtu aliyekuwa anakejeliwa na kupingwa na CCM ghafla akawa anaungwa mkono na CCM dhidi ya Tundu Lissu?
Ilikuwaje baada ya uchaguzi ule wa CHADEMA, CCM walionekana kama kuchaguliwa kwa Lissu ni chukizo kwao?
Tumefikaje hapa?
Huyu CDF atakimbilia kujiua mwnyw, Trump aje ambebe Manyonyo na JK then Hawa wapuuzi wengine tutadeal nao wnyw tunawaweka kundi moja na chawa wa ccm
Ukiwa vitani hupaswi kuchagua silaha.Ni vizuri kufanya mchakato wa ICC kuliko Marekani kwa sababu Marekani ina matatizo mengi ya geopolitivs na national interests zake yenyewe.
Samia akiihakikishia Marekani kuwa itapata national interests zake kwa namna ambayo wenhine hawataweza, Marekqni haitajali mabaya yake.
ICC on the other hand, is an international body that acts without the complivatiins of a nation state's interests.
Kwa hivyo, kama mnataka kuwajibisha viongozi Tanzania, the ICC route is better.
Mimi mpaka sasa nawqshangaa sana wanaharakati wa Tanzania kina Mange Kimambi, Maria Sarungi, Gidbkess Lema etc wanavyomshabikia Trump kumtoa Maduro kwa nguvu, wengine hata wakimuita aje kumtoa Samia.
Nililisema hili jambo siku nyingi hapa. Kuwa, wapigania haki na demokrasia wengi wa Tanzania hawapiganii haki na demokrasia kwa principle, wanapigania kumtoa mtu fulani, wanapigania upande fulani.
Kwa hivyo hata kama upande wao ukisaidiwa kimabavu na mtu wasiyemtaka akaondolewa kinyume cha haki na demokrasia, hawaoni kuwa jambo hilo ni baya, wanaona "the end justifies the means".
Hawaoni matatizo ya kifalsafa na precedent mbaya hata kwao, hawaoni matatizo ya ubeberu, hawaoni matatizo ya watu kutopata nafasi ya kujiamulia, hawaoni matatizo ya kumtoa dikteta mmoja na kuweka utawala kama wa kikoloni.
Hakuna logical consistency hata kwa wanaharakati na wapinzani wengi wa Tanzania.
Tunawindana tu.
Kuna mwanamke muuaji pale tanzagiza aliwauliza mabeberu 'who are you' nadhani Sasa hv ameshapata jibu
Serikali ya Marekani imeshaituhumu Serikali ya Samia officially kukiuka haki za binadamu na kuhatarisha usalama wa Marekani.Naam
Babu Trump akishaanza kuisema tz, basi ni suala la muda tuu Tanganyika tunapata uhuru kamili
Tena kipindi hiki ambapo amewaletea kiburi waziwazi ndo kipindi kizuri sana cha kumpatia Arrest Warrant na watu wake.Kuna mwanamke muuaji pale tanzagiza aliwauliza mabeberu 'who are you' nadhani Sasa hv ameshapata jibu
'If you don't know, now you know'
Ukiwa vitani hupaswi kuchagua silaha.
Kwa hapa tulipofika kila silaha inayoweza kutumika kupambana na haya madhalimu ya ccm lazima itumike ili Nchi na Taifa viweze kupona kweli.
Njia zote zinatumika. ICC tumeenda na wanalifanyia kazi. Marekani tunaenda na watalifanyia kazi.
Hawa watu kwa hatua waliyofikia kutuua, kutulawiti, kututeka na kutupoteza huku wakiona ni sawa tu lazima washughulikiwe vilivyo kwa njia zote halali na hata ikiwezekana zisizo halali.
Hii ikishafika kinywani mwa babu Trump, bc kwisha kaziSerikali ya Marekani imeshaituhumu Serikali ya Samia officially kukiuka haki za binadamu na kuhatarisha usalama wa Marekani.
Bunge la Marekani limeshafanya hivyo pia.
Hili suala ni rahisi sana kukamilika kwa haraka.
Vipi kuhusu Japan? Korea Kusini? Malaysia? na Philippines?Kila mtu kila siku anachagua. Ukiwa vitani unachagua silaha. Inawezekana huwezi kuchagua silaha usizo nazo, lakini ukiwa na silaha radioactive itakayoweza kukudhuru wewe mwenyewe na silaha isiyo radioactive unaweza kuacha silaha radioactive ukachagua isiyo radioactive.
Hutakiwi kuwa so desperate kiasi cha kuchukua dawa ya kuua nzi iliyo so radioactive to the extent kwamba itakusababishia kansa ya kukuua wewe na vizazi vyako hata ikiondoa huyo nzi.
Marekani ina historia mbaya sana sehemu zote ilipofanya interventions na ku assist coups, angalia from Iran to Congo, Iraq to Libya.
Sasa kwa nini unataka msaada wa nchi ambayo kila ilipotoa msaada imeharibu hizo nchi for decades?
Huoni kuwa hapo unaweza kututoa kwenye tatizo la hii CCM ambayo inaweza kuwa inajifia katika miaka michache ijayo, na wananchi tukisimama vizuri tutaitoa wenyewe bila kuihitaji Marekani, halafu kwa kutaka mteremko wa kusaidiwa na Mmarekani ukajiingiza kwenye tatizo kubwa la kuwa chini ya ubeberu wa Marekani kwa miaka 50 mpaka 100 au zaidi ijayo?