Wewe ndiye unapiga ramli hapa.Unachofanya ni kupiga ramli tu kama mganga wa kienyeji.
Acha tuende kwa Wanasheria wa Marekani, tufike kwenye Mahakama za Marekani kupeleka maombi yetu alafu zenyewe ndo ziseme haziwezi kutoa Arrest Warrant.
Punguza kujipa umuhimu kwenye vitu ambavyo huvijui na huna uwezo wala mamlaka navyo.
Waache Diaspora waliopo Marekani wapambane alafu Mahakama za Marekani ziseme haziwezi au zinaweza.
Umesoma uzi?Wewe ndiye unapiga ramli hapa.
Hujatuambia umemtafuta mwanasheria wa Marekani hata mmoja.
Na wanasheria wa Marekani wako wengi tu wanapenda kupiga pesa au kupata umaarufu wanaweza kukuambia unachotaka kusikia huku wakijua hili jambo haliwezekani.
Ukipata Arrest Warrant ya Samia kutoka Marekani iweke hapa tuongee.
Vinginevyo unachangamsha baraza kwa ndoto zako za Alinacha tu.
Thibitisha nimevimbiwa hela za Samia mshirika wangu fisadi.Umesoma uzi?
Au umeourupuka tu kama kawaida yako baada ya kuvimbiwa hela za fisadi za mshirika wako Samia?
Tutafanya deal gani na Trump?Njia rahisi ya kumshawishi Trump is through DEALS.
Trump ni mfanya biashara na ni mtu wa madeal. Kama tunataka kum-approach huyu bwana, LETS DO A DEAL WITH HIM.
Tunapom-approach, tujiulize atakapotekeleza maombi yetu, Americans watapata nini???
Baaaassiiiii
Tanzania ina r 1% ya Uranium ya dunia , lakini ukiwasikia Watanzania wanaiongelea hiyo Uranium utafikiri tuna 99% ya Uranium ya dunia.Tutafanya deal gani na Trump?
Sisi hatuna rasilimali yoyote ile ya maana ambayo Wamarekani wanaimezea mate.
Tungekuwa nayo tayari ungekuwa ushawaona kwa wingi.
Tunapenda sana kujidanganya kwamba sisi sijui ni matajiri wa maliasili.
Ndiyo, tunazo maliasili lakini si kwa kiwango cha kutamaniwa na Wamarekani.
Ndo maan mpumbavu kama Mwigulu akija na blah blah zake kwamba mataifa ya nje yanatuonea gere kwa madini yetu adimu tuliyonayo, anajionyesha alivyo na ufahamu/ uelewa mdogo.Tanzania ina r 1% ya Uranium ya dunia , lakini ukiwasikia Watanzania wanaiongelea hiyo Uranium utafikiri tuna 99% ya Uranium ya dunia.
Yule hata akielewa atawazuga watu wajinga vile, ile ni political narrative wanatengeneza makusudi.Ndo maan mpumbavu kama Mwigulu akija na blah blah zake kwamba mataifa ya nje yanatuonea gere kwa madini yetu adimu tuliyonayo, anajionyesha alivyo na ufahamu/ uelewa mdogo.