Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 201
Ndugu wana diaspora,
Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa?
Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start.
Kwa mtazamo wangu naona kitu kinaitwa mid setup ya kwamba ukiondoka Tanzania na kuishi nchi nyingine miaka mingi ile mind setup inabadilika na ukirudi inabidi ubadilishe tena mind setup iwe kama ya watanzania. Hatari ni pale unarudi older than 40 years unaweza kufa on the process.
Tupeane ushauri tafadhali