Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

I think tuwe na fund,tuingize hata euro mbili kwa mwezi,iwa ajiri ma mentors watao 'coach' diaspora wakirudi,na wa 'coach' watanzania wenzetu watakapoingia ulaya...............au nawaza kitoto?lol
Unawaza kweli na unavyohisi
 
Wabongo bana! Leo Tz kuna fursa? Hapa hapa mnapolia kila siku Magu kawabana hela hamna mtaani....hamna demokrasia?
hahahaha Paul! Nashangaa hata Mimi. Wafanyakaz wanapunguzwa serikalini, private Na umma. Mabenki hayatoi mikopo. Kilimo hoi simple things Kama maziwa maji Safi Na salama anasa. Biashara za kubahatisha. Fursa hamna bongo Ni bomu linangojea kulipuka watu watachinjana vibaya Sana Mungu aepushe gepu la laifu siyo mchezo
 
Mkuu unamaanisha nini?
Namaanisha ukiondoka hapa TZ lazima ukabanane huko na maisha yasonge! Urudi kutembea si kuishi! Kama huna uhakika na unapozamia bora usiondoe mguu hapa! I can tell you bila kuchakalika nchi za wenzetu utaziona jehanam ingawa ni paradizo ukichakalika! Wazo Lako la kuchanga haliwezekani kwa sisi wabongo
 
nimekuelewa mkuu,maisha na yaendelee.....nimejifunza kitu hapa
 
mkuu London ni expensive kuliko miji mingine,rent iko juu,ila kazi zipo kibao

nje ya mji,kuko poa rent ni cheap sema kazi hamna,

namanisha hizi unskilled jobs

unafanyaje wa anglikana wakulipie rent?lol

Mkuu wewe kweli mjeda
Ni hivi niliaanza Na wa Mormon piga sound Hadi nalia wakanilipia Kodi miezi mitatu Na kunipatia voucher nikawa naenda supermarket kuchukua msosi Na sabuni toiletries ila soda sigara Na bia huruhusiwi. Nikahudhuria ibada Mara mbili tatu nikala Kona.

Nikawaaproach walutheri lakini hawa wako smart Na maswali mengi ila niliwapa bonge la sound amini usiamini Hadi bills walinilipia ukiondoa Kodi kwa miezi mitatu Na nauli ya public transport mwez mmoja. Ila hawa tofauti Na mormon hakushurutishi uhudhurie ibada.

Anglikana Ni kanisa dogo Sana hapa. Tayari nimeshawapanga huenda siku za karibuni ntaweka mambo sawa.

Orthodox nayo iko kwenye list.

Ila Lutheran wajanja wanakuomba I'd halafu wanakugeuzia screen desktop uingize online bank waone transaction Na balance. Sasa Mimi niliwapa account nyingine.

Hata hivyo serikali inawapa ruzuku kubwa mno pia hawa wazungu walitunyonya Na wanazidi kuikamu Africa nasisi pia hatuna budi.
 
Wabongo bana! Leo Tz kuna fursa? Hapa hapa mnapolia kila siku Magu kawabana hela hamna mtaani....hamna demokrasia?
Paul wewe nimekufutiliaga thread zako nyingi. Uliishi uingereza. Ni mtu mwenye elimu kubwa. Bongo una mainvestnet ya hatarii. Unaexposure ila kwasisi usipate shida Ni masela flani
 
Mkuu kukata tamaa sio njia njema kwenye maisha ya binaadamu. Kuna njia nyingi tu za kujaribu mfano hutoka mialiko ya dini na shuhuli tofauti. Pia unaweza kujifanya mfanyabiashara una duka lako unataka kuweka bidhaa kutoka USA au Europe. Uswahilini kuna njia kibao za kujifanya mmiliki wa company isiojulikana(nadhani umenifahamu) ukienda ubalozini jiweke katika hali nadhifu (kiofisini) ongea English ya kiofisini sio ya ki mtaani.
Tatizo lipo hapa..
Bado ni kijana mdogo thana yaani ndo nipo kwenye 0 zero hustling, sijui naanza vp kabisa
 
Paul wewe nimekufutiliaga thread zako nyingi. Uliishi uingereza. Ni mtu mwenye elimu kubwa. Bongo una mainvestnet ya hatarii. Unaexposure ila kwasisi usipate shida Ni masela flani
Mimi ni raia wa kawaida sana nina uhakika tu wa kula na kulala.
 
Ni hivi niliaanza Na wa Mormon piga sound Hadi nalia wakanilipia Kodi miezi mitatu Na kunipatia voucher nikawa naenda supermarket kuchukua msosi Na sabuni toiletries ila soda sigara Na bia huruhusiwi. Nikahudhuria ibada Mara mbili tatu nikala Kona.

Nikawaaproach walutheri lakini hawa wako smart Na maswali mengi ila niliwapa bonge la sound amini usiamini Hadi bills walinilipia ukiondoa Kodi kwa miezi mitatu Na nauli ya public transport mwez mmoja. Ila hawa tofauti Na mormon hakushurutishi uhudhurie ibada.

Anglikana Ni kanisa dogo Sana hapa. Tayari nimeshawapanga huenda siku za karibuni ntaweka mambo sawa.

Orthodox nayo iko kwenye list.

Ila Lutheran wajanja wanakuomba I'd halafu wanakugeuzia screen desktop uingize online bank waone transaction Na balance. Sasa Mimi niliwapa account nyingine.

Hata hivyo serikali inawapa ruzuku kubwa mno pia hawa wazungu walitunyonya Na wanazidi kuikamu Africa nasisi pia hatuna budi.
Jamani jamanii chaaa but whyy...poleh naona unateseka wkt huku Tanzania opportunities ni nyingiii mno...ungejiendeleza bongo huwezi jua ungetokaje...am less than 30 pia and travel abroad for work many times each year... Work and shopping ofcourse...sijawahi tamani kuishi nje..zaidi kutembea tu... I feel kbs life is difficult away from home...
 
siyo eti nafanya hivi Sina kazi. Kazi ninazo and I earn good tu and am not desperate. Nilishawahi kupiga emergency calls 89 times napiga nakukata napiga Na kukata Mara 89. Polisi wananimaindi Hadi leo
Mhhh ila story zako ni contrary na haya maelezo
 
Wal siteseki mbona Tanzania Nina nyumba nzuri Na mashamba yote hayo nimeyafanya in 20s and now am rapidly approaching 30. Unajua nachoingiza kwa saa?
Mhhh hapo sawa kwa umri huo...sh ngap kwa saa unapata?.
 
Nyinyi ndio wale wachache Sana sub Sahara ambao mmebahatika. Nimekuchunguza una elimu kubwa una good investment, mshahara Na marupurupu yako Ni mengi. Kwa level yangu niliyofikia Sasa hivi nikilinganisha Na maisha niliyoshi bongo mbona bill gate. Mtu mwenye level Kama yako ukija hata huku watakuheshimu. Kwasababu hapa Ni equality and fairness. Amini usiamini Ni wachache Sana hapa wanaendesha magari ya gharama Kama lendkruza ila maisha mazuri. Sasa hili nipite it level ya equality Na fairness nafanya kazi masaa mengi Tena tofauti sheria usifanye kazi moja zaidi ya masaa nane kwa siku Na 40 kwa wiki. Pia maujanja ya makandokando. Mbona Las Palmas Na Tenerife tushafika. Ila unafanya kazi Kama mtumwa matunda yake unaona
Mi ni kama RRONDO tu mkuu...japo Mungu ananiona...ila kubeba boksi dahh wkt huku u can have more ndo sielewii...ila maisha ndo hivyo... Popote unapambanaa
 
ulaya ni ngumu SANA. kama umeenda kimagumashi utatamani urudi home maana utaonekana kama kinyangalika fulani. kwa mTanzania kwenda ughaibuni ni kupoteza muda tu. hapa pana fursa nyingi SANA. Ulaya ni mwendo wa kubeba box na kuwapokea mizigo wageni wanapoingia na kutoka hotelini. waache Wasomali na Wakongo wapigike huko. sisi hapa shwaari.
for Tanzanians to go outside the country is by choice not by chance.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mkuu maana waliopo bongo wote mnaishi vuzuri mambo bwerere.
 
Back
Top Bottom