Si unaona anaishi maisha ya mashetani!!!Rudi tu Lemutuz kaweza
Aisee...! Mkuu unajua watu wakirudi huwa wanataka kuishi standard walizozoea, sio kwa kujifanyisha au kujiona ndio hali halisi. Sasa hapa Tz kuishi kwa standard ulioizoea first worldni gharama sana, 1.5m haitoshi. Inabidi u-downgrade kidogo na hapa ndio pagumu.rudi tu bongo kwa income ya 1.5m per month unaish vizuri sana
ukiweza kuwa na mbinu za kuipata hiyo kwa mwezi utaishi vizuri tu
Aisee...! Mkuu unajua watu wakirudi huwa wanataka kuishi standard walizozoea, sio kwa kujifanyisha au kujiona ndio hali halisi. Sasa hapa Tz kuishi kwa standard ulioizoea first worldni gharama sana, 1.5m haitoshi. Inabidi u-downgrade kidogo na hapa ndio pagumu.
Mkuu Benny ulipotea Sana.Naomba kumtakia kheri ya Mwaka Mpya Diaspora kinganganizi aliyenifundisha kila chaka mkuu Copenhagen DN Pita hapa!
Copenhagen DN
dah kunenepa ndiyo afya Na mambo safi?na anazidi kunenepa....
Tatizo la nchi yetu sasa hata mwelekeo haujulikani! Vilevile ni vigumu kuishi kwa ukweli bila kuibia watu, kutoa rushwa, mizegwe... lakini kama ni familia issue rudi tu kwani damu ndito kuliko maji
sijajua kama ni afya au ni shida zake...dah kunenepa ndiyo afya Na mambo safi?
Mkuu Benny ulipotea Sana.
Mimi kurudi homu nikutembelea tu kwasasa. Ila mkakati wangu Ni kubeba boksi Kama Sina akili nzuri Hadi 2020 Happ nitakuwa nimesevu balaa Na nikichukua namkopo juu itakuwa balaa.
Kingine natamani sana kwenda kuishi Australia.
Nilikuwa bongo majuzi Ni kwetu ndio I'll watu wanaishi kimungumungu Na kubahatisha. Nchi haina dira, sheria ziko kwenye makaratasi, uonev u. Watu hawatunzi muda.
Mkuu maisha hayana rehersal, unawsza kupata ushauri na utaalamu wote ukija kwenye reality ni tofauti kabisa. No matter what unahitaji adjustment fulani na flexibility kichwani kwako. Nchi ngumu hii kwa mtu anaekuja kuanza wewe acha tu.wanakosea jambo dogo sana...
kama uliishi mbele miaka 10 unahitaji sio chini ya mwaka mmoja kujiandaa kisaikolojia, ushauri na utaalamu wa kimazingira kuja kuanza upya
hii haijalishi kama umerudi na pesa au kapa akili lazima ijiandae tena kuikabili ile harufu pale feri
Mkuu maisha hayana rehersal, unawsza kupata ushauri na utaalamu wote ukija kwenye reality ni tofauti kabisa. No matter what unahitaji adjustment fulani na flexibility kichwani kwako. Nchi ngumu hii kwa mtu anaekuja kuanza wewe acha tu.
Ana maanisha coco na CCM yako mnapoteza muelekeo kiutawalaUnamaanisha nini haswa unaposema mwelekeo haujulikani!?
Mkuu Benny ulipotea Sana.
Mimi kurudi homu nikutembelea tu kwasasa. Ila mkakati wangu Ni kubeba boksi Kama Sina akili nzuri Hadi 2020 Happ nitakuwa nimesevu balaa Na nikichukua namkopo juu itakuwa balaa.
Kingine natamani sana kwenda kuishi Australia.
Nilikuwa bongo majuzi Ni kwetu ndio I'll watu wanaishi kimungumungu Na kubahatisha. Nchi haina dira, sheria ziko kwenye makaratasi, uonev u. Watu hawatunzi muda.