Hata kwa Wamarekani wengi ni hela nyingi. % ngapi ya Wamarekani wanapata $150,000?Wala siyo kuchachamaa.
Ni kuwekana sawa tu.
Dola laki moja unusu kwa Watanzania walio wengi ni hela nyingi sana.
Si hela ndogo inayopatikana kirahisi.
Unless labda siyo US dollar [emoji385].
Ndio hio hio chavua....ndio vumbi la Ulaya.Hilo siyo vumbi la chavua kweli? Unajua chavua ni nini?
Hata hili vumbi hapa kwenye picha ni la ukata. Kwa walio na hela hukuti vumbi la hivi mitaani.
Unabisha?
View attachment 666381
View attachment 666382
NN bhana kwahio ukisema vumbini ulikuwa unamaana hii ? Mimi nilijua unazungumzia ukata!Hilo siyo vumbi la chavua kweli? Unajua chavua ni nini?
Hata hili vumbi hapa kwenye picha ni la ukata. Kwa walio na hela hukuti vumbi la hivi mitaani.
Unabisha?
View attachment 666381
View attachment 666382
Hata kwa Wamarekani wengi ni hela nyingi. % ngapi ya Wamarekani wanapata $150,000?
N
NN bhana kwahio ukisema vumbini ulikuwa unamaana hii ? Mimi nilijua unazungumzia ukata!
Sio kiasi kidogo na sio kiasi cha kutisha. Ndio maana kama ulisoma vizuri nilimwambia jamaa aende Kariakoo, yaani kwa vijana wanaochakarika hata yeye amekiri Kariakoo kiasi hiko ni kidogo sana.That’s exactly my point, sir!
Hata Marekani hiyo siyo hela ndogo.
Ila, per capita, Wamarekani wanao earn kiasi hicho kwa mwaka ni wengi zaidi kuliko Watanzania wanao earn hicho kiasi.
Kwa hiyo kusema kwamba kwa Tanzania ni rahisi sana ku earn hicho kiasi kwa sababu ni kiasi kidogo cha pesa si sahihi.
Nafikiri hatuelewani hapa. Hamna mtu anaeweza kulinganisha US as a country na Tz.Ukata si ndo unasababisha hata tusiwe na mabarabara ya lami hadi milangoni kwetu...au?
US asilimia karibu 100 ya mitaa yote ina lami, tena yenye ubora.
So huoni uhusiano wa ukata na infrastructure?
Ndio hio hio chavua....ndio vumbi la Ulaya.
Najua vizuri sana.Pollen ni suala la msimu tu hususan spring wakati majani na maua yana bloom kwenye miti.
Siyo suala mabarabara mabaya yenye matope na mavumbi!
Sio kiasi kidogo na sio kiasi cha kutisha. Ndio maana kama ulisoma vizuri nilimwambia jamaa aende Kariakoo, yaani kwa vijana wanaochakarika hata yeye amekiri Kariakoo kiasi hiko ni kidogo sana.
Still sio kitu cha kuja mtandaoni ku-brag huku ukiponda watu.Hapo sawa.
Ila uliposema ‘ndio’ kwenye swali langu hukuwa mkweli kivile.
Watanzania wanaotengeneza hicho kiasi cha pesa kwa mwaka siyo wengi. Wanaweza hata wasifike asilimia 2 ya population nzima.
Anyway, tungekuwa tuna utaratibu wa ku file tax returns pengine tungekuwa na takwimu sahihi zaidi.
But still, 150K in a third world country is nothing to sneeze at. Even in America, it’s nothing to sneeze at.
Still sio kitu cha kuja mtandaoni ku-brag huku ukiponda watu.
Kukomoana kunaendana pia na kutaka shortcut na kutaka kujionesha. Fata taratibuHamna kisingizio bali ni uhalisia, nchi yetu imejaa fitna na mambo ya kukomoana
Kuanzia Magufuli aingie madarakani sijui mwelekeo wa nchi. Naona matukio mengi lakini sijui bado plan ya nchi ni hipi na ni jinsi gani watafanikisha hiyo plan. Ushabiki umekuwa mwingi lakini ukweli naona tu watu wote wakilalamika wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi, watoto.... wana demokrasia.... . Naona watu hawana raha kabisa na maisha yanazidi kuwa magumu. Hatuna mwelekeo kabisa kwa sasa. Nilifikiri nitasifia rushwa lakini kwenye mahakama ya rushwa hakuna keshi, kuna mpaka video za watoa rushwa lakini Raisi anaweka siasa mbele, kwenye issue ya ESCROW sijaona mwanasiasa mwenye kesi wakati walipokea pesa kwenye account za rushwa, nimeona vilevile wachungaji, wanasiasa wakipelekwa ndani bila kufuata sheria yeyote na wengine wamepotea na kupigwa risasi. Nimeona uhasama na kutokuwa na upendo kwa Watanzania na sasa ukisema chochote tofauti unaitwa msaliti, uzalendo wa kulazimishana na kutishana. Nimeona upendeleo wa ukabila kwenye kazi bila kujali matokeo na wakurugenzi wengi kuwekwa bila kufuata results. Nimeona TRA wakisumbua wafanyabiashara na wengi hasa wadogo kulipishwa kodi kabla hata ya kuanza biashara. Nimeona polisi wakiendelea kupokea rushwa, na TRA wakipokea rushwa hasa za magari ya mchanga na mizigo kiasi kwamba huwezi kufanya biashara. Nimeona kila kitu sasa ni kibali hata ukiwa na pesa binafsi unahitaji kibali kusafiri na familia yako hata kama unafanya kwenye kitengo kisicho cha kisiasa.Unamaanisha nini haswa unaposema mwelekeo haujulikani!?
Kuanzia Magufuli aingie madarakani sijui mwelekeo wa nchi. Naona matukio mengi lakini sijui bado plan ya nchi ni hipi na ni jinsi gani watafanikisha hiyo plan. Ushabiki umekuwa mwingi lakini ukweli naona tu watu wote wakilalamika wafanyabiashara, wanafunzi, wafanyakazi, watoto.... wana demokrasia.... . Naona watu hawana raha kabisa na maisha yanazidi kuwa magumu. Hatuna mwelekeo kabisa kwa sasa. Nilifikiri nitasifia rushwa lakini kwenye mahakama ya rushwa hakuna keshi, kuna mpaka video za watoa rushwa lakini Raisi anaweka siasa mbele, kwenye issue ya ESCROW sijaona mwanasiasa mwenye kesi wakati walipokea pesa kwenye account za rushwa, nimeona vilevile wachungaji, wanasiasa wakipelekwa ndani bila kufuata sheria yeyote na wengine wamepotea na kupigwa risasi. Nimeona uhasama na kutokuwa na upendo kwa Watanzania na sasa ukisema chochote tofauti unaitwa msaliti, uzalendo wa kulazimishana na kutishana. Nimeona upendeleo wa ukabila kwenye kazi bila kujali matokeo na wakurugenzi wengi kuwekwa bila kufuata results. Nimeona TRA wakisumbua wafanyabiashara na wengi hasa wadogo kulipishwa kodi kabla hata ya kuanza biashara. Nimeona polisi wakiendelea kupokea rushwa, na TRA wakipokea rushwa hasa za magari ya mchanga na mizigo kiasi kwamba huwezi kufanya biashara. Nimeona kila kitu sasa ni kibali hata ukiwa na pesa binafsi unahitaji kibali kusafiri na familia yako hata kama unafanya kwenye kitengo kisicho cha kisiasa.
Kitu ambacho sijaona ni plan . Sijaona uwekezaji mpya wowote wa kampuni kubwa badala ya ahadi tu za viongozi wa nchi. Sijaona biashara binafsi kubwa hata mmoja TZ kwa miaka miwili na plan zilizoko za Train, bandari, pipeline ni za zamani na kiserikali je pesa za binafsi ziko wapi. Biashara ndogo naona zinapungua sio kuongezeka. .....
Niambie labda wewe plan ya nchi ni ipi! kwenye viwanda tunafanya nini kufanikisha viwanda...... iko siku maneno hayatatosha. Iko siku kusingizia hakutatosha, iko siku kupika data hakutatosha na watanzania watasema basi
Still sio kitu cha kuja mtandaoni ku-brag huku ukiponda watu.
Umeongea ukweli kabisa,unakuta mtu anawakashifu Diaspora, wakati yeye hata Nairobi hajafika,pili hizo kazi mnazozidharu kuna watu wako USA zimewasomesha mpaka PHD,kama umezoe uvivu na magumashi USA hutapawezaOna sasa unakimbilia kusema naringa. Sio kuringa ni kuachana na blah blah. Ningesema tu natengeneza pesa nyingi ingekuwa ni mizinguo ya kiswahili tu. Kimsingi ni zaidi ya dola laki na nusu. Ni kitu kama 170 na chenji. Vichenji vingine vina udhia kupata namba yake kamili.
Na kumbuka nilisema si ujanja. Bwege yeyote akiingia Marekani akiwa mtu wa kujituma katika chano za pesa anaweza kutengeneza hiyo pesa. Kama una mshahara wa elfu tisini ukiendesha Uber, ukiwa mlinzi, ukipeleka piza, ukiosha vizee, ukiwa na kiduka sehemu, ukitengeneza magari kwenye gereji ya mtu utashindwa kupata zaidi ya dola laki kwa mwaka?
Utamkuta mbongo yuko Tanzania hana kazi, hana pesa tapeli tapeli tu anawacheka walio nje eti wanalea vizee. Hizi mnazoziita kazi chafu ndio zinazofanya Ulaya na Marekani watu wasikose kazi.
Lakini mwanadiaspora akipata elfu sitini kwa mwaka anaridhika. Hamna sherehe au shughuli ya wabongo atakayokosa?
Kama una nyumba kubwa ukipangisha basemant yako unaweza kupata hata elfu kila mwezi juu ya mshahara. Lakini watu wanakaa kwenye apartment masharti ya kipumbavu kama Mwananyamala tu. Na nyumba yangu sipangishi mtu. Hakuna raha kama kutembea ndani ya nyumba uchu (butt naked) kutoka chini levo ya kwanza mpaka juu gorofa ya tatu.
ONYO KALI KWA WOTE WANAOKEBEHI DIASPORA NA MUAMSHO KWA DIASPORA WAVIVU NA BONGO LALA WALIOKO NJE HOHE HAHE AFADHALI WANGEBAKI BONGO.
Na nyie watu wa uhamiaji hamtukomoi mnakomoa nchi. Wenzenu walioamka kama Kenya na Nigeria wanapata pesa kibao kwa raia wao wenye uraia wa nchi mbili. Benki za Tanzania zilinikatalia nisihamishie dola zangu kutoka Marekani kuja Tanzania. Hasara ya nani hapo? Yaani wamenitibua wacha ninunue tiketi ya kwenda Jamaica nikale kuku kwa mrija wajamaica wachukue dola hizo.