Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

mkuu hivyo vitu ndivyo hivyo,boresha hivyo vyote kama hujaona wanadiaspora kwa wingi wao wanarudi
Hv kwa hela mnazopata huko unashindwa vp kutibiwa hospital nzuri Tz, unashindwa vp kulipa kodi kinondoni, mbezi na shopping mlimani city? Yani ukae weee huko mbele halafu urudi ushindwe kujenga hata nyumba vyumba vitatu? Walah kama huwezi hv bora usirudi fia hukohuko
 
Mwanadiaspora hasa Marekani wanavyosema ni land of opportunities hawadanganyi.

Kurudi iwe ni kwa mapenzi yako. Usirudi kwa kushindwa maisha. Kwanza vibali vinapatikana kwa kuoa. Na kwa huu ujinga wa Obama unaweza hata kukaa na mwanaume mwenzio ukawaambia umeoa au umeolewa na mmarekani. Hawaji usiku kuhakikisha mnanihii[emoji23][emoji23][emoji23].

Ukishapata makaratasi yao sky is the limit. Unaweza kusoma mpaka Phd bila ya sentano yako ya mfukoni. Tena wanaweza kukupa wao pesa. Kulipa mtazinguana mbele ya safari.

Ukipata kazi/shughuli 2 za elfu sitini kwa mwaka utafunga mwaka na mkwanja wa laki na ushirini. Hizo ni shilingi 240,000,000. Milioni 240 kwa mwaka. Kwanini mtu akubabaishe eti Bongo kuna pesa zaidi?

Profesa wangu wa DBA alikuwa ni mkurugenzi wizara ya nyumba ya Marekani na akitoka kazini ana vipindi vya kufundisha chuo kikuu. Kwa kifupi ana kazi mbili za six figure za dola.

Mbongo unabeba box ukipata hela ya kula unaenda kijiweni kupiga stori. Hapo makaratasi huna wala hushughuliki. Wacha wakucheke.
 
Sasa mimi nimefunga mwaka jana kwa dola laki na hamsini. Na sio dokta wala mkurugenzi. Misele ya kawaida tu. Nirudi Bongo kwa lipi?
Dogo njoo Bongo. Unaandika kabisa $150,000 kwa mwaka unaona nyiiiiingi. Njoo tukupele Kariakoo uone watoto wenzio wakienda China na hela hio kkwa mzigo mmoja.
 
Dogo njoo Bongo. Unaandika kabisa $150,000 kwa mwaka unaona nyiiiiingi. Njoo tukupele Kariakoo uone watoto wenzio wakienda China na hela hio kkwa mzigo mmoja.

Wadogo zangu wanafanya hiyo kitu. Nimeshaenda nao China. Wako vizuri lakini wako kwenye vumbi kama wewe. Halafu sasa hivi wanahaha kulipa kodi. Na pia wengi wanafanya mambo kiswahili. Huo mzigo ndio kila kitu. Benki wana madeni ya ile awamu ya ufisadi.
Kwani unafikiri watu wanamchukia Magufuli kwa haki. Ni maslahi yao tu.
 
Mkuu Benny ulipotea Sana.

Mimi kurudi homu nikutembelea tu kwasasa. Ila mkakati wangu Ni kubeba boksi Kama Sina akili nzuri Hadi 2020 Happ nitakuwa nimesevu balaa Na nikichukua namkopo juu itakuwa balaa.

Kingine natamani sana kwenda kuishi Australia.

Nilikuwa bongo majuzi Ni kwetu ndio I'll watu wanaishi kimungumungu Na kubahatisha. Nchi haina dira, sheria ziko kwenye makaratasi, uonev u. Watu hawatunzi muda.
There you are.....
I hate to live in TZ vile sina ishu concrete ya kuish nje hasa hasa USA au Scandinavia
Nipen sababu ramani wakuu ntaondoka even now true story
 
Labda picha zitasaidia. Chumba cha darasa la pili kina muonekano huu:

e56935ed5cf258fa8afab6ca6e78cea2.jpg

9d94c4ab1d97ecb600a4124cc46aef34.jpg

please so what!!!!!!!?
 
Wadogo zangu wanafanya hiyo kitu. Nimeshaenda nao China. Wako vizuri lakini wako kwenye vumbi kama wewe. Halafu sasa hivi wanahaha kulipa kodi. Na pia wengi wanafanya mambo kiswahili. Huo mzigo ndio kila kitu. Benki wana madeni ya ile awamu ya ufisadi.
Kwani unafikiri watu wanamchukia Magufuli kwa haki. Ni maslahi yao tu.
Ukiwa vizuri vumbi unalisikia tu. Ila nimefurahi kusikia unajua kuwa hio $150,000 Bongo ni ndogo sana. Sasa ukirudi na exposure yako na kufanya wanachofanya wao kiswahili mambo lazima yawe sawa.
 
Ukiwa vizuri vumbi unalisikia tu. Ila nimefurahi kusikia unajua kuwa hio $150,000 Bongo ni ndogo sana. Sasa ukirudi na exposure yako na kufanya wanachofanya wao kiswahili mambo lazima yawe sawa.

Niache dogo wangu nje au nimuhimishie Forodhani niliposoma mimi. Niache nyumba yangu. Niache kwenda Hawaii? Niache pensheni yangu nije kuuza simu?
 
Ukiwa vizuri vumbi unalisikia tu. Ila nimefurahi kusikia unajua kuwa hio $150,000 Bongo ni ndogo sana. Sasa ukirudi na exposure yako na kufanya wanachofanya wao kiswahili mambo lazima yawe sawa.
I really like this...
 
Kwa akili yako mwanafunzi atakaekua fundi wa ndege ni wa darasa lipi hapo
3e95ca5a4dd2951961042e278e2f4731.jpg

905665ef6e668e61a0e0ee7f6cbf0f23.jpg
Hapo sawa, ila ila anayefundisha kwa mazigira hayo naye ekoje?!
Wanafundinsha kwa mazingira hayo na watoto wasikilize, ama sivyo hakuna kitu...
Watoto bana wnayo wana akili wazuri, uzuri wao utajulikanna tu..
 
Wanadisapora,

Kabla hujaamua kurudi Tanzania anza kufanya utafiti wa nini wataka kufanya.

Ukiishagundua nini wataka kufanya anza taratibu za kupata kibali cha biashara, TIN na vibali vingine muhimu kuhusiana na hicho utakacho kukifanya.

Hii ni process ya taratibu inaweza kuchukua 6 months au hata 12 months.

Nazungumzia kwa mfano unataka kuwa na kituo cha kuosha magari au Car wash and Valeting centre cha kisasa na aina yake.

Hivyo kama una umri wa miaka 40 basi unapiga box huku ukiaanda mradi mpaka utakapokamilika.

Yaani ukirudi Tanzania unakuwa unakwenda kusimamia miradi yako na siyo kujishughulisha wewe mwenyewe na kuhangaika tena kama ulivyokuwa hujo majuu.

Ukifika muda wa kustaafu kubeba box huko majuu unarudi Tanzania ukiwa safe.

Hivyo kama uko US au UK na kwingineko basi tengeneza special funds ya Tanzania ambayo inanunua vifaa vyote muhimu vya kutendea kazi ya miradi yako na ndiyo msingi wa kuanzia.

Kama ulikwenda Ulaya ukiwa late 20s basi ujue ukifika 45 kiwe kimeeleweka.

Ukifika 50 ukiwa badi unapiga box na huna ulichowekeza au unachofanya basi utaanza kutahayari na utapata msongo wa mawazo.

Siku zote mimi naamini kwamba ughaibuni ni "land of opportunity" na ukichezea nafasi ulopewa ya kuishi huko na ukaipoteza basi utakuja kujuta.

Na utaja kutoa kilio cha mbwa, kile aliacho akiwa ameelekeza mdomo juu.
 
Kwa akili yako mwanafunzi atakaekua fundi wa ndege ni wa darasa lipi hapo
3e95ca5a4dd2951961042e278e2f4731.jpg

905665ef6e668e61a0e0ee7f6cbf0f23.jpg

Nilianza shule na miaka saba. Mwanangu alianza kusoma text zangu za kingereza akiwa na miaka sita.

Unafahamu kwamba unaweza kuwa tajiri kwa kufanya biashara na shule ambapo wewe unakuwa unaitwa education resources provider.

Yaani unakuwa unatengeneza mazingira hayo ya kusomea watoto na unalipwa na hizo shule.

Hivyo unaweza kuanzisha kampuni ya kutengeza mazingira ya kusomea watoto wa shule na ukawa unafanya hivyo kwenye shule nyingi tu.

Mbona kwenye shule binafsi na zile za kimataifa za Tanzania wanaweka hayo mazingira?

Siyo lazima kila kitu kiwe cha Ulaya kwani hizo facilities zote zinaweza kupatikana Tanzania.

Hivyo utaona kuwa akili za sisi watanzania na waafrika kwa ujumla siku zote ni kupenda kujishusha na kusifia vya wengine.
 
Denzel Washington alisema usichanganye movement na progress. Si kila anaesogea anafanya maendeleo.

Kinachotafutwa ni maendeleo. Misele yote ya wabongo ni kupata maisha bora kama ya watu wa Ulaya.

Sasa kama mimi sio tajiri Marekani lakini naishi maisha bora kuliko tajiri anayeishi kwenye matope Moshi huko nani zaidi hapo.

Likizo zangu nakwenda Hawaii, Cayman Island na Bahamas. Nikija kufunga mzigo wa China kariakoo. Nikisema niende likizo Hawaii si mzigo utakata?
 
Kwa akili yako mwanafunzi atakaekua fundi wa ndege ni wa darasa lipi hapo
3e95ca5a4dd2951961042e278e2f4731.jpg

905665ef6e668e61a0e0ee7f6cbf0f23.jpg

Nilianza shule na miaka saba. Mwanangu alianza kusoma text zangu za kingereza akiwa na miaka sita.
Inawezekana hata baba yako aliekufikisha hapo ulipo alisoma kama hao wa juu. Inawezekana wewe ni mdogo sana ila wengi wako huko US wamepitia shule hizo.
 
Back
Top Bottom