Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 489
Wengi hawajui kwanini shule tulifundishwa zile hesabu za kipumbavu za kutafuta X na Y. Walifikiri watazikuta ofisini. Zile ni za kutatua X na Y za maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuachieni Dar yetu kwani mmefungwa kamba mbaki?
Hv kwa hela mnazopata huko unashindwa vp kutibiwa hospital nzuri Tz, unashindwa vp kulipa kodi kinondoni, mbezi na shopping mlimani city? Yani ukae weee huko mbele halafu urudi ushindwe kujenga hata nyumba vyumba vitatu? Walah kama huwezi hv bora usirudi fia hukohukomkuu hivyo vitu ndivyo hivyo,boresha hivyo vyote kama hujaona wanadiaspora kwa wingi wao wanarudi
Dogo njoo Bongo. Unaandika kabisa $150,000 kwa mwaka unaona nyiiiiingi. Njoo tukupele Kariakoo uone watoto wenzio wakienda China na hela hio kkwa mzigo mmoja.Sasa mimi nimefunga mwaka jana kwa dola laki na hamsini. Na sio dokta wala mkurugenzi. Misele ya kawaida tu. Nirudi Bongo kwa lipi?
Dogo njoo Bongo. Unaandika kabisa $150,000 kwa mwaka unaona nyiiiiingi. Njoo tukupele Kariakoo uone watoto wenzio wakienda China na hela hio kkwa mzigo mmoja.
There you are.....Mkuu Benny ulipotea Sana.
Mimi kurudi homu nikutembelea tu kwasasa. Ila mkakati wangu Ni kubeba boksi Kama Sina akili nzuri Hadi 2020 Happ nitakuwa nimesevu balaa Na nikichukua namkopo juu itakuwa balaa.
Kingine natamani sana kwenda kuishi Australia.
Nilikuwa bongo majuzi Ni kwetu ndio I'll watu wanaishi kimungumungu Na kubahatisha. Nchi haina dira, sheria ziko kwenye makaratasi, uonev u. Watu hawatunzi muda.
Labda picha zitasaidia. Chumba cha darasa la pili kina muonekano huu:
![]()
![]()
Ukiwa vizuri vumbi unalisikia tu. Ila nimefurahi kusikia unajua kuwa hio $150,000 Bongo ni ndogo sana. Sasa ukirudi na exposure yako na kufanya wanachofanya wao kiswahili mambo lazima yawe sawa.Wadogo zangu wanafanya hiyo kitu. Nimeshaenda nao China. Wako vizuri lakini wako kwenye vumbi kama wewe. Halafu sasa hivi wanahaha kulipa kodi. Na pia wengi wanafanya mambo kiswahili. Huo mzigo ndio kila kitu. Benki wana madeni ya ile awamu ya ufisadi.
Kwani unafikiri watu wanamchukia Magufuli kwa haki. Ni maslahi yao tu.
Ukiwa vizuri vumbi unalisikia tu. Ila nimefurahi kusikia unajua kuwa hio $150,000 Bongo ni ndogo sana. Sasa ukirudi na exposure yako na kufanya wanachofanya wao kiswahili mambo lazima yawe sawa.
Sema Uingereza, kwa Bibi ndo nini?kwa bibi,siwezi kusave sijui kwa nini,nipe mbinu basi,lol
I really like this...Ukiwa vizuri vumbi unalisikia tu. Ila nimefurahi kusikia unajua kuwa hio $150,000 Bongo ni ndogo sana. Sasa ukirudi na exposure yako na kufanya wanachofanya wao kiswahili mambo lazima yawe sawa.
please so what!!!!!!!?
Hapo sawa, ila ila anayefundisha kwa mazigira hayo naye ekoje?!Kwa akili yako mwanafunzi atakaekua fundi wa ndege ni wa darasa lipi hapo![]()
![]()
Kwa akili yako mwanafunzi atakaekua fundi wa ndege ni wa darasa lipi hapo![]()
![]()
Nilianza shule na miaka saba. Mwanangu alianza kusoma text zangu za kingereza akiwa na miaka sita.
Inawezekana hata baba yako aliekufikisha hapo ulipo alisoma kama hao wa juu. Inawezekana wewe ni mdogo sana ila wengi wako huko US wamepitia shule hizo.Kwa akili yako mwanafunzi atakaekua fundi wa ndege ni wa darasa lipi hapo![]()
![]()
Nilianza shule na miaka saba. Mwanangu alianza kusoma text zangu za kingereza akiwa na miaka sita.