Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Unafahamu kwamba unaweza kuwa tajiri kwa kufanya biashara na shule ambapo wewe unakuwa unaitwa education resources provider.

Yaani unakuwa unatengeneza mazingira hayo ya kusomea watoto na unalipwa na hizo shule.

Hivyo unaweza kuanzisha kampuni ya kutengeza mazingira ya kusomea watoto wa shule na ukawa unafanya hivyo kwenye shule nyingi tu.

Mbona kwenye shule binafsi na zile za kimataifa za Tanzania wanaweka hayo mazingira?

Siyo lazima kila kitu kiwe cha Ulaya kwani hizo facilities zote zinaweza kupatikana Tanzania.

Hivyo utaona kuwa akili za sisi watanzania na waafrika kwa ujumla siku zote ni kupenda kujishusha na kusifia vya wengine.

Picha ya darasa bora la Tanzania please.
 
Swala linalosumbuwa kwa sasa ni "Dual Nationality", kuna jamaa zangu UK walidai Mama Migiro kawaahidi litakuwa sorted..
Honestly TZ haiwezi kukataa kupata ujuzi, uzoefu, maarifa, na HELA toka kwa Diaspora kwa njia ile au nyingine...
JPM wanamuona he is a "Nationality", infact he is not, yeye labda anawataka mpaze sauti msikike, ili swala lije Bungeni...

diaspora wengi wanapenda kujificha nyuma ya dual citizenship. lkn kiukweli hakuna ugumu wowote kwa mTanzania yeyote aliyeko ughaibuni kuja kufanya lolote nyumbani. waJerumani wanasema mJerumani ni damu na si makaratasi. Waingereza wanasema mbwa akizaliwa kwenye nyumba ya farasi hawi farasi. hivyo mTanzania kwenda ughaibuni hakukufanyi usiwe mTanzania. mTanzania ni damu. tafuteni hela mje muwekeze nyumbani kwa maendeleo ya ndugu na taifa lenu kwa ujumla.
 
Inawezekana hata baba yako aliekufikisha hapo ulipo alisoma kama hao wa juu. Inawezekana wewe ni mdogo sana ila wengi wako huko US wamepitia shule hizo.

Nimelinganisha ubora na matokeo ya hizo shule mbili sizungumzii mtu mmoja mmoja.
 
Niache dogo wangu nje au nimuhimishie Forodhani niliposoma mimi. Niache nyumba yangu. Niache kwenda Hawaii? Niache pensheni yangu nije kuuza simu?
Kuna shule kama IST si una hela? Kwani ukiwa bongo huwezi kwenda Hawaii?
 
Kwa akili yako mwanafunzi atakaekua fundi wa ndege ni wa darasa lipi hapo
3e95ca5a4dd2951961042e278e2f4731.jpg

905665ef6e668e61a0e0ee7f6cbf0f23.jpg

Nilianza shule na miaka saba. Mwanangu alianza kusoma text zangu za kingereza akiwa na miaka sita.

either of the two.
 
diaspora wengi wanapenda kujificha nyuma ya dual citizenship. lkn kiukweli hakuna ugumu wowote kwa mTanzania yeyote aliyeko ughaibuni kuja kufanya lolote nyumbani. waJerumani wanasema mJerumani ni damu na si makaratasi. Waingereza wanasema mbwa akizaliwa kwenye nyumba ya farasi hawi farasi. hivyo mTanzania kwenda ughaibuni hakukufanyi usiwe mTanzania. mTanzania ni damu. tafuteni hela mje muwekeze nyumbani kwa maendeleo ya ndugu na taifa lenu kwa ujumla.

Mwambie Lukuvi. Nilisikia kuna paspoti maalumu kwa ajili ya watanzania wenye uraia wa nje. Hata ikiuzwa dola elfu nitatoa. Lengo langu nipitishe trekta Ruvu mpaka Moro.
 
Mwambie Lukuvi. Nilisikia kuna paspoti maalumu kwa ajili ya watanzania wenye uraia wa nje. Hata ikiuzwa dola elfu nitatoa. Lengo langu nipitishe trekta Ruvu mpaka Moro.

halafu huwa nawaambiaga diaspora wengi kuwa, muda wa kufanya biashara na uwekezaji ndiyo huu. everything viko straight away. leteni mitaji. bongo fursa zipo nyingi tu.
 
Kuna shule kama IST si una hela? Kwani ukiwa bongo huwezi kwenda Hawaii?

Weee! Tanzania uende Hawaii ukakae wiki? Google uone kama utapata dili la vacation hiyo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hilo waachieni viongozi wenu wa vyama.
 
umeenda pembeni kidooogo ya swali langu.

Prondo amesema diaspora wana mazoea ya kutaka kuishi maisha waliyozoea Ulaya/US etc... na inawawia vigumu kuimudu standard hiyo kwa vipato vyetu vidogo

naombeni nitajieni vitu ambavyo mkiwa diasporani huko mnaviishi lakini mkija huku mnakuta havi afford-idiki kirahisi.
Mkuu ni jinsi mtu anavyojiweka tuu na anavyotaka.
Nimeishi zaidi ya miaka 30 nje na nikirudi naishi maisha ya kawaida sana
Yaani uogope vumbi kisa umetoka nje hell NO
Najua nyumbani ni huko na nikija ni lazima nifuate maisha yalivyo
 
Ndio maana Tanzania kuna mafundi wa ndege wengi kuliko Marekani[emoji23][emoji23][emoji23]

kwa sayansi Tanzania tuko vizuri. ndo maana wanafunzi wengi wa kiTanzania wanakwenda kusoma sayansi (ikiwemo aircraft engineering) Ulaya na marekani darasa moja na wanafunza waliozaliwa na kusoma huko huko Ulaya na marekani. na darasani wanafanya vizuri.
si umesoma ile thread ya watoto mapacha wa kiTanzania wenye umri wa miaka 15 wanaosoma Harvard university?
 
Sasa maisha msomali angekuwa anaishi Somalia ukilinganisha anayoishi Denmark ama Norway dah

Wasomali hapa Ulaya kati wanapigwa mpka Euro 1,300 pro Monat na kazi yao kunywa pombe tu. Uislamu wote kwisha. Na wazungu wanalalamika sana kuwa wanafanya sana kazi kulipia Hawa wakaa bure. So hata Sisi wenye kazi zetu kwenye matrain wanatuangalia vibaya sana. Kurudi home Mh labda visit lakini ukweli unabaki Nyumbani ni Nyumbani. Huku hata ukae miaka mia utatambulika tu yule Mwafrika. And they do not love us black people. And bahati mbaya Sisi wenyewe hatupendani na maovu yetu twaeeka openly.

Kurudi home unahitaji kujipanga Wtz wametoka mission town sana ndo mana inakuwa ngumu sana wakati wa sasa. Ila Watu na Vijana wengi wanafanikiwa. Wanajenga nk Achana na Hawa wanachama wa vyama humu wapiga Majungu.
 
kwa sayansi Tanzania tuko vizuri. ndo maana wanafunzi wengi wa kiTanzania wanakwenda kusoma sayansi (ikiwemo aircraft engineering) Ulaya na marekani darasa moja na wanafunza waliozaliwa na kusoma huko huko Ulaya na marekani. na darasani wanafanya vizuri.
si umesoma ile thread ya watoto mapacha wa kiTanzania wenye umri wa miaka 15 wanaosoma Harvard university?

Kwenye uzi kama huu usichukue vitu vya mmoja mmoja. Angalia vitu kwa ujumla. Hata hawa wanaoponda diaspora nawaelewa pointi yao na wana pointi. Kuna diaspora wengi nje wako valuvalu. Na sababu kubwa ni kuchanganywa na walio nyumbani kuwa warudi.
 
Inawezekana hata baba yako aliekufikisha hapo ulipo alisoma kama hao wa juu. Inawezekana wewe ni mdogo sana ila wengi wako huko US wamepitia shule hizo.

Exactly. Na nikwakulitambua hilo kila mtu anapambana mtoto wake asipite huko tulikopitia! Maendeleo in kwamba I should do and be better than my parents and my kids likewise should do better than me. Yaani Mimi sometimes nadhani hii elimu ya sasa hapa nyumbani inatolewa kwa maksudi kusudi watawala waendelee kutawala milele. Maana Siku hizi mtu anatoka university lakini kichwani vumbi tupu. Contrast na miaka yetu hapo nyuma...fursa za elimu zilikuwa chache lakini elimu ilikuwa proper!

Bongo wengi tunaishi maisha ya kujifariji. The system is very much rigged in favour of the corrupt politicians and those with access to taxpayers money. Na ndo wengi humu wanaongelea. Tz yetu kuna vichuki vya ajabu ajabu...Kama Prime Minister anaweza kudeclare kwamba "kusudi mfanyabiashara mambo yako yaende vizuri inabidi ujiunge na ccm" what do you expect?

And sorry to say this......I have many friends hapa mjini.... The so called wafanyabiashara.....businessmen in the real sense of the word......ni wachache mno....wengi so called matajiri ni wachuuzi tuu.
 
Ww dada unakuwaga na matatizo gani yaani huwaga comments zako sijui hata ww mwenyewe kama unazielewa

Naona kila unapokuta uzi wangu unaandika upupwu wako huo huo eeeeeh

Hadi udespo umekuzidi wa wivu.com

Kama hauna akili za kuandika iweje ni unakazania kuponda.. inaonyesha kwamba unatamani kujidumbukiza kwenye futi sita kisa nondo zangu.

Acha wivu wewe jione jiangalie ulivyo kwanza.. usitake kudandia nyota.. jua kuna kuea na nyota na ni nyota haswaaaa...

Eeeeeh jipige vibao vya usoni ulie kabisa
 
Back
Top Bottom