Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 489
Unafahamu kwamba unaweza kuwa tajiri kwa kufanya biashara na shule ambapo wewe unakuwa unaitwa education resources provider.
Yaani unakuwa unatengeneza mazingira hayo ya kusomea watoto na unalipwa na hizo shule.
Hivyo unaweza kuanzisha kampuni ya kutengeza mazingira ya kusomea watoto wa shule na ukawa unafanya hivyo kwenye shule nyingi tu.
Mbona kwenye shule binafsi na zile za kimataifa za Tanzania wanaweka hayo mazingira?
Siyo lazima kila kitu kiwe cha Ulaya kwani hizo facilities zote zinaweza kupatikana Tanzania.
Hivyo utaona kuwa akili za sisi watanzania na waafrika kwa ujumla siku zote ni kupenda kujishusha na kusifia vya wengine.
Picha ya darasa bora la Tanzania please.