We jamaa sijui unasema nini. Kufungua account walikusumbua kwa ajili gani hasa, be specific. Kuna watu wengi tu sio Watanzania wanakuja na kuoperate bank account kama kawaida. Mimi nimeishi na volunteers wengi sana.
Hao mnaowatumikia wamechangishana mitaji wamekuja wamenunua thousands of acres halafu wewe mtanzania unauliza ununue kwa jina gani?? Au we msomalia??
Hapa Iringa wilaya ya Kilolo kuna wazungu (binafsi sio makampuni) wanamiliki ekari mamia kadhaa kwa miaka 99, just like watanzania, wanapanda avocado trees, sijui wameona opportunity gani.
Kuna waingereza wa forest company wanamiliki laki kadhaa za acres of land for tree farming, kwa sasa ni moja kati ya wauzaji wakubwa wa nguzo za umeme na treated timbers.
Hebu tuleteeni skills mlizojifunza huko