Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
mosss.JPG View attachment 337331 View attachment 337328
mosss.JPG
hapa Ubalozini (Washington DC) hatupati ushirikiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo nn Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.

UPDATE:
Tumeanza kumtanguliza Miss Tanzania USA aje aangalie fursa ya sisi kuja kuwekeza nyumbani. Mpeni Ushirikiano.
 
Attachments

  • MissUSA.JPG
    MissUSA.JPG
    206.3 KB · Views: 211
Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Mkuu umeenda ubalozini na hukupata huduma vizuri au hapakuwa na juice/coffee leo??[emoji23]
 
Diaspora wetu wengi hawajielewi, wanaona fahari kurusha picha za maghorofa ughaibuni kuliko kuwezeka kwao. Na wengi wao wana ELIMU YA HAPA NA PALE. Shame on u DAYASPORA!!!
sasa nyinyi wala vumbi mnaojidai mna elimu iliyokamilika hata toothpick tu holaaaaaa. Nchi inajengwa kwa misaada. Badala mkimbilie kuwajengea wananch makazi mengi na bora pamoja na mfumo mzuri wa upatikanaji maji safi na salama manakimbilia miflaiova migorofa na midaraja kama ya kigambon.

Sasa iyo elimu yenu inawasaidia nini? Somen muelimike bana
 
Hamna mchango wowote. Ninyi endeleeni kufanya kazi za usafi huko kwa wazungu. Sisi kwa sasa tunachapa kazi. Hatuna muda wa story na kuangalia picha za maghorofa mnazotuma.So stupid, mlidhan ndo kama utawala ule dhaifu?utawala wa facebook na instagram? Mnataka mkumbukwe kwa lipi sasa?watu hawana muda wa show off kwa sasa.watu wanapiga kazi tu

Back
Top Bottom