Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Aina ya Diaspora tuliyo nayo Tanzania (huko ughaibuni) inasikitisha sana. Sijaona mchango wao wazi wazi kwa maendelo ya nchi ukiacha kupata uteuzi Awamu iliyopit NA wakaboronga sana

Uteuzi pia lazima uzingatie mchango wa muhusika katika nchi anakotoka.Uwe wa kodi nk
Ukiangalia ma diaspora wengi wangependa waje kuongoza mashirika mfano yanayolipa vizuri yaliyoanzishwa na watu wa ndani kwa kodi zao.Diaspora wanataka kuvuna wasipopanda.Utakuta wengine walikimbia nchi wakasema ina hali ngumu.Kuna watu wakabaki wakapigana wakiwa ndani hali ikawa nzuri sasa inapofikia uteuzi hivi Raisi aache kumpa mpiganaji aliyebaki ndani mwenye uzalendo na nchi yake jua liwake mvua inyeshe aende akatafute mkimbizi wa kiuchumi anayeitwa diaspora ampe?

Anyway ili Diaspora wa Tanzania muonekane wa maana igeni wenzenu ma dispora Wahindi,wachina na wazungu na waarabu

Diaspora wa kizungu,kihindi,kiarabu na kichina kazi yao huwa ni

1.Kueneza utamaduni wao kwenye nchi husika.Mfano mzungu ataleta mambo ya kizungu,hoteli za kizungu.Tabia za kizungu,mila za kizungu,Mavazi ya kizungu nk

Mhindi vivyo hivyo na mwarabu vivyo hivyo na mchina vivyo hivyo Kama mzungu.Mchina ataleta hadi CHINESE restaurant

Taabu inakuja kwa Diaspora la kitanzania likienda kwa watu ni taabu litaanza kila kitu kuiga cha kule lilikoenda.Unakuta hata uvaaji jitu nzima zee lakini limetinga kikaptula na kikofia cha machizi.Kula utakuta linajisifia kula MCdonalds nk Kuliko kula KANDE ZA KITANZANIA.

Hata kunyoa tu litanyoa kaa bweeege fulani hivi la marekani au ulaya hata huwezi lijua kama ni litanzania.

2.Madiaspora wa nchi za kizungu ,kichina,kiarabu na kihindi wao huwa kazi yao kuleta na kuuza bidhaa za kutoka kule kwenye nchi zao.Ukiwaona wazungu unajua atauza vitu vya kizungu,ukiona muhindi unajua yeye ni muuzaji wa bidhaa za india,Ukimwona mwarabu unajua kabisa biashara ya mafuta na gesi toka uarabuni yeye ndio mwenyewe ,Ukiona mchina unajua yeye ndio agenti mkuu wa biashara za china huko aliko.
Kwa kuwa mawakala wa biashara na bidhaa za nchi wanakotoka wanaziingizia nchi zao mapato kibao.

Ukija madiaspora wa kitanzania ukiuliza nani agent wa biashara za Tanzania kule unakuta hakuna! Wako tu kule kama vibarua wa wazungu halafu kesho utasikia mtukumbuke kututeua.

Sipingi Raisi kuteua lakini wameisaidia nini Tanzania sio familia zao.Mfano akiwepo Diaspora analeta watalii labda elfu moja kwa mwaka mimi nitakuwa wa kwanza kuomba huyo diaspora ateuliwe kuwa balozi mdogo kwenye ubalozi wa Tanzania kwenye hiyo nchi alipo.Lakini hivi hivi tu hakuna.MKONO MTUPU HAULAMBWI .kILA DISPORA ajiulize kwa nini anafikiri ateuliwe ametoa mchango gani kwa nchi?

Madiaspora wa Tanzania jifunzeni kwao muwe na faida kubwa kwa nchi yenu Tanzania kama wenzenu
 
sasa nyinyi wala vumbi mnaojidai mna elimu iliyokamilika hata toothpick tu holaaaaaa. Nchi inajengwa kwa misaada. Badala mkimbilie kuwajengea wananch makazi mengi na bora pamoja na mfumo mzuri wa upatikanaji maji safi na salama manakimbilia miflaiova migorofa na midaraja kama ya kigambon.

Sasa iyo elimu yenu inawasaidia nini? Somen muelimike bana
Endelea kuosha vyombo huko kwa mabwana zako that's your calling maana ndo ushoona umefika baada ya kutoa ushauri unaleta dhihaka stupid !!!
 
Umelitumbua hilo jipu mkuu!!,Nadhani wangewaiga hata majirani zetu wakenya walioko nje ya nchi,wasingekuwa watu wa kulalamika hivyo.
 
Endelea kuosha vyombo huko kwa mabwana zako that's your calling maana ndo ushoona umefika baada ya kutoa ushauri unaleta dhihaka stupid !!!
mkuu punguza jazba tujenge Tanzania mpya yenye kujali utu wa mTanzania. Iyo kuosha vyombo unayodharau wanaume wenye masters maphd wanakuvukia Mediterranean kwa mitumbwi wengine wanapoteza maisha walau wafike waoshe vyombo
 
Awamu hii ya 5 imekuja kauli mbiu ya HAPA KAZI TU hata sijui waliitoa wapi hii kitu, haya sasa wameingia madarakani vurugu mechi kila mtu na wake FUKUZA FUKUZA kila kona, ukiangalia watueuliwa wote hakuna Diaspora hata mmoja. Jamani hii nchi ni ya kwetu wote mbona awamu ya 4 walitushirikisha kikamilifu? Hata ukienda Ubalozini (Washington DC) haupati ushirikaiano wa enzi zile za Awamu ya 4 maana kila mtu anatetemeka tu sijui ndo kuogopa fukuza fukuza! Tuajirini sisi Diaspora muone damu mpya na mawazo mapya katika utendaji wa serikalini nchi itanyooka.
Jipu hili!
 
Mkitutumia vizuri Diaspora Tanzania nzima itanufaika sana
 
Aina ya Diaspora tuliyo nayo Tanzania (huko ughaibuni) inasikitisha sana. Sijaona mchango wao wazi wazi kwa maendelo ya nchi ukiacha kupata uteuzi Awamu iliyopit NA wakaboronga sana

Hebu kuweni wawazi,diaspora ndio ovyo ama sisi watanzania wote ndio hovyo? Ni kweli diaspora wameshindwa to take the lead kama watu wali exposed na kuchangia nchini, lakini pia mlipo ni bendera fuata upepo. Nini mmefanya cha kujivunia? Ni wakati tu wa kuungana na kufanya critical situation analysis na kuona nini diaspora wanaweza changia na nini waliopo nyumbani wanaweza na wapi pa kuelekezana.
 
Haiwajali kwa sababu hamna umuhimu wowote, wahindi wanawekeza tanzania kuliko hata nyie. Njaa zimewajaa kuliko hata walioko huku. Nyie endeleeni kubeba mabox, mkisha jichokea na kukosa ajira mtarudi na kukuta magufuli amewawekea mazingiza mazuri ya kumalizia uzee wenu.
 
sasa nyinyi wala vumbi mnaojidai mna elimu iliyokamilika hata toothpick tu holaaaaaa. Nchi inajengwa kwa misaada. Badala mkimbilie kuwajengea wananch makazi mengi na bora pamoja na mfumo mzuri wa upatikanaji maji safi na salama manakimbilia miflaiova migorofa na midaraja kama ya kigambon.

Sasa iyo elimu yenu inawasaidia nini? Somen muelimike bana
Eti na username unajiita Copenhagen, ama kweli Denmark imevamiwa!
 
unamaumivu makali ya ndani eeh. Denmark haijavamiwa kwa taarifa yako ninamchango mkubwa sn kwenye hii nchi. My credit and crime record is good nalipa 36% tax am eligible to take a mortgage na mkopo hata wa 700k DKK. I might be an academic dwarf my Brother but this small nation appreciate my efforts and contributions. Nyinyi endeleen kujenga mibomba ya gesi mibasi iendayo kasi huku wananch maji ya shida wanashindia viwavi
 
sasa iyo miundo mbinu imeleta tija gani kwa mwananch wakawaida ambao ni wengi. Badala yakutusaidia imekuwa mzigo na tutailipia. HAKI YA NANI THE EARLY MAN AKINA ZINJATHROPUS WALIISHI MAISHA YA FURAHA ZAIDI YETU
Miundombinu tunayozungumzia bado hata haijakamiliza, ni wazi bado hali haijatengemaa, lakini usitegemee hizo BRT, flyover na kigamboni bridge zikiwa tayari maisha yatabaki the same, never! mind you haitakuwa ndo suluhisho la maisha magumu (umaskini unahusu vitu vingi, afya, uzalishaji, mawasiliano, na mengineyo )...lakini nakuhakikishia itakua ni step forward!
 
Lazima mdharaulike tena bado hapo maana awamu hii si kama ya yule jamaa anayeshinda angani na kumwaga vyeo kama njugu
 
Jambo hili linasikitisha mno. Nionavyo lazima tupate wataalamu toka Nje (Ethiopia, India, Nigeria & Phillipines) watuelekeze namna ambavyo wanawatumia DIASPORA wao kukuza uchumi wao ndipo tuwape somo hawa wakwetu
 
Diaspora wetu ni kizunguzungu mifano tunayo. Mkoani lindi jimbo la Mtama kwa watoto.
 
DICOTA anakuja nani kutoka bongo?
 
Back
Top Bottom