Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Ushaambiwa na vijana wa kibongo wanaotaka kutimkia ughaibuni kuwa bongo life ni ngumu
Wengine wamejaribu kilimo cha ufuta na wamekula loss tu
Wengine wameshajiapiza eti "bora mbwa wa Ulaya kuliko mwafrika wa Africa"
Nashindwa kuelewa
Zidi kujifurahisha ,ukweli ndo huo,life ngumu kwa mvivu,bongo fursa kibao
 
mimi nikuwa diaspora for 12 yrs. Nikaamua kurudi Home. niko ok
enzi ya kikwete diaspora walideka sana maana vasco da gama alikuwa navumbua huko kila leo sasa huyu mkara sijui mnyantuzu sijui smkuma yeye ajua kuchapa kazi tu uzururaji hajui mnakosa hugs za presedent!!!!!!! hehee rudini mchape kazi. Dr JPM Usipimne machine hii. hlembi wala hadekezi IC.
 
Hadi hapa tulipofikia kama nchi si kwa misaada yenu!infact hatuwabembelezi mkitaka mje msipotaka tupa kule!hatuwababaikii kwa lolote lile!nchi hii itajengwa na sisi wazalendo sio wakimbizi waliokwama kimaisha huko then mnataka kutuzingua tu!mabox yameisha?
 
Tanzania ya viwanda Ni kushirikisha Na Dayaspora
 
Mleta mada unataka ufuatwe? Acha ubazazi. Kama waipenda nchi yako rudi kwenu upambane. Kila enzi zina mwisho wake jamani. Mwelewe JPM ni mtu wa aina gani, mkishaelewa hakutakuwa na malalamiko ya aina hii. JPM hana muda wala pesa za kupoteza kuja huko kukaa na nyie kwenye cocktail parties. Kama Wataka posiiton katika public office kuna taratibu zake.

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
ILA ENZI ZA GIZA WATU WAMESAFIRI SANA NCHI ZA WATU
 
Back
Top Bottom