Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Lugha ikianza kupanda atasafiri sana huyo kwa hivi sasa ni janja ya nyani ooh sitaki kusafiri kumbe shida ni lugha na afya!!
 
tupewe nafasi tuchangie maendeleo ya Taifa letu
 
Yaani utoke kwenye kulea wazee na kufagia maeneo uje upewe kazi ofisi ya ubalozi?? Labda ya kufagia!
 
Tizama ndugu kama ninyi ni Watanzania mnasubiri mpaka mbembelezwe mje nyumbani kufanya maendeleo? Wananchi waliopo hapa wanafanya maendeleo wenyewe bila ya kusubiri fedha za Diaspora, kama mnaona mmeukata basi wekezeni huko huko na nyinyi mtaitwa Investors (FDI) huoni kama ni cheo kwenu
 
Endeleeni kuendesha maloli na vijiko tu huko ughaibuni ya huku tuachieni wenyewe
 
wacha nikachukue popcorn !

hii ni vita kati ya wenye wivu na wajuaji ....
Wivu?labda hao waosha wazee,wakija huku huja kuomba hifadhi ya mahali pa kulala na hata senti ya chakula hawatoi kazi kudai au haya maisha sio kama kule kwetu DC.
 
Ila sio wezi kama waliobaki nyumbani. At least wamejifunza kuishi kwa kufanya kazi siyo kuiba kama hapa.
 
Diaspora ndio mwarobaini wa rushwa nchini
 
Diaspora wengi malimbukeni tu, wanaume wanasuka ovyo, wengine hata lugha ya taifa wanajifanya hawaijui.

Mnaitakia nini Tanzania kama hamvai Utanzania

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Diaspora wengi malimbukeni tu, wanaume wanasuka ovyo, wengine hata lugha ya taifa wanajifanya hawaijui.

Mnaitakia nini Tanzania kama hamvai Utanzania

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Acha dharau wewe MLA vumbi, nchi hiyo ni ya kwetu wote
 
NYIE MNAEKUJA NCHINI NA KUDAI UGALI WA FOLENI KWA BI MKUBWA WENU HAMNA JIPYA LA KUTUFUNZA
 
Acha dharau wewe MLA vumbi, nchi hiyo ni ya kwetu wote
Vumbi la nyumbani linalipa.
Kaeni huko huko mbebeshwe maboksi hadi migongo ipinde.

Huko Sie huwa tunakuja kuchungulia na kurudi kuijenga nchi.

Diaspora Kazi yenu ni ipi kama sio juakali

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
NATEGEMEA UTAKUWA UMESHAJIFUNZA HATA KUTENGENEZA TOOTHPICK HAYA NJOO UANZISHE KIWANDA BASI BOSI!
 
NATEGEMEA UTAKUWA UMESHAKIFUNZA HATA KUTENGENEZA TOOTHPICK HAYA NJOO UANZISHE KIWANDA BASI BOSI!
Hamna kitu chochote hao,
Hakuna innovation, hakuna tech transfer yoyote zaidi ya upuuuuz ya kutaka ulipwe elf 47 kwa saa.

Aliyewambia sisi tunanunua ndizi moja sh.3500 nani?

Huku sio Huko, wakae watulie watumikishwe wakiwachoka wanawarepatriate

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe hujui chochote kuhusiana na macroeconimic development policy options/choices. Unaweza na ninakushauri uendelee kushughulikia maisha yako binafsi.
 
mkuu naogopa bani tu vinginevyo ningemfuata hukohuko nikampa mapande ya "SHUBIRI"
 
mkuu naogopa bani tu vinginevyo ningemfuata hukohuko nikampa mapande ya "SHUBIRI"
Yaaaani ufupi kabisa ni sawa na kuja Dar hapa afu ategemee mission town.

Ataishia kula mihogo mchemsho na kutambea kwa ngondi'miguu'

Dar njoo chukua bidhaa potea rudi uyui mama gairo kauze kwa faida. Ukiiishi Dar uwe na Kazi rasmi otherwise utadhalilika tu.

Huu mfano unawafiti sana hapo, huko sio saiz yao. Watacompete nini na wazawa wa huko? Wanawachungulia tu, kuishia kujibanza kwa either kuolewa au kuoa vibibi kuvizia uraia wa kitapeli

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…