Diaspora tunadharaulika sana awamu hii

Mkuu wewe peleka maoni yako pale panapohusika, mradi ni mtanzania naamini utasikilizwa tu.
 
huyo jamaa ameona kitu cha muhimu ni wao kupewa nafasi za uteuzi
waje hapa tusote halafu mchango wao ukionekana lazima watateuliwa tumeshaona wakina bilal walivyoifanya nchi hii
 
Rudini makwenu nyie awamu hii haina mchelea
 
Simlikua mkimzodoa JK leo kawa mtamu ee, subirini msahaulike kabisa
 
Serikali ya Magufuli ni vishindo na makeke,hatujui kinachoendelea,siku 100 nyingine labda ndio tutapata picha. Watu wamekuwa callous. Taifa linaweza kuadhibiwa. Mtu anaiba ndala anachomwa moto,wakati Mahakama zinajua jinsi ya kumuadhibu vizuri.
 
Magufuli si yule mliyezoea mnabembea naye kisha mnamwandalia sherehe feki za kutunukiwa vyeti vya mtawala bora.
 
Tatizo wengi haja update mindset. Mliondika enzi za majuu, unyamwezini, majuu etc. Ni ngumuumia kujitambua na kujipima km mmeenda mbele, nimerudi nyuma au mmeganda. Awamu ya wasanii mlijiona kisanii kuliko halisia. Kazeni buti
 
Diaspora bado unataka kuajiriwa na serikali ?baada y kuwekeza nchi...kweli diaspora wengi hamjitambui...endeleeni tu kupiga picha za istagram
 
Kwanza wana dharau, kujisikia na kutaka kuabudiwa kama miungu watu pili hawana uchungu hata punje na nchi yao,tatu wanajiona wao ni bora zaidi kuliko mtanzania yyte kisa yupo ughaibuni usishangae akamdharau hata rais wako
 
Kwanza wana dharau, kujisikia na kutaka kuabudiwa kama miungu watu pili hawana uchungu hata punje na nchi yao,tatu wanajiona wao ni bora zaidi kuliko mtanzania yyte kisa yupo ughaibuni usishangae akamdharau hata rais wako
Utawajumlishaje watu maelfu kwa maelfu ambaobhata wao wenyewe kwa webyewe hawapatani uwaweke katika kundi moja hivyo?
 
Diaspora bado unataka kuajiriwa na serikali ?baada y kuwekeza nchi...kweli diaspora wengi hamjitambui...endeleeni tu kupiga picha za istagram

Diaspora kuna watu wa kila aina, maelfu kwa maelfu kama si mamilioni kabisa.

Kuwa specific unaongelea limbukeni fulani walio diaspora. Sio diaspora.

Hawa ndugu zetu wengine, if the account has any credibility at all, wanachafua jina la diaspora. Sawa, umeenda nje hela unaweza kukosa, basi hata elimu au exposure tu ya kujua kwamba kulilia kazi za serikali ya Tanzania usawa huu ni balaa tu umekosa?

Hivi hawa wazee wanavyoendeshwa resi bila hata common decorum wala dignity kuna mtu mwenye akili yake sawa analilia kazi ya serikali ya Tanzania tu?

How desperate and stupid does one need to be to do that?

Kuna watu hata ukitaka kutupa urais wa Tanzania burebure tunaweza kukukatalia jinsi tusivyo na hamu na kazi za serikali ya Tanzania.

Watu wanasajili ma patents, wanawekeza kuanzia stocks mpaka real estate, wako katika top 5 percent of earners US, bila wizi wala rushwa, walilie kazi za serikali ya Tanzania kwa msingi gani?

Hao limbukeni ambao wamejikuta wako nje ya Tanzania, probably wakihemea midomo, hawa represent Final Four ya Villanova.

You rookies, it's the final not the playoffs.
 
je nikirudi kuna qengeh yeyote atanilipa elf 47 kwa saa
Ninyi ni watu mnaodhani kwamba ni wa daraja fulani la juu pasipo kutizama mnamchango gani kwa taifa,mpo huko kutafuta maisha bt mmelisaidia vp taifa kwa juhudi zenu binafsi nje ya serikali,yupo mtu huku nyumbani anakipato cha kawaida lakini analipa kodi,huu ndio uzalendo,ninyi kaeni huko acheni kelele tuachieni tanzania
 
Ndio mtz huyo,dharau kisa yupo ughaibuni,the most mnakaa huko inafika kipindi mlichofanya huko hakuna zaidi yakutoboa masikio na nyumbani napo hakuna mlichofanya wakati umri nao ushasonga,ninyi ni watu msio na faida kwa taifa hili,hamlipi kodi,hamuwekezi chochote huku nyumbani zaidi ya tambo zakiswahili,kiukweli baadhi yenu ni hovyo kabisa
 
Acha wivu.... Aliyeenda mbele huwezi lingana naye we mshindia limao
 

Umeelezea vema kabisa mkuu,
Mwenye kuelewa na aelewe.
 
Titi la mama ni tamu hata likiwa la mbwa,Tanzania ni titi la mama
 
kila zama na nabii wake,huyu nabii mwingine kabisaa mjipange tu harembi wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…