Mkuu angalau wewe uliposhamaliza kilichokupeleka kwa bibi ukarudi bongo kuwa multi millionaireBaada ya kufikiria anguko la £ linakusaidiaje unapiga majungu! Ngoja niwahi.....
Dollar ndiyo inazidi kuimarika kwenye kipindi hiki cha global inflation...maana investors wengi wanainunua ili ku preserve mitaji yao. Wao wanaita safe haven currencies....sarafu nyingine imara kwa sasa ni Japanese Yen.Pound inamfata mama yake kaburini🤣 bado dollars nayo izeeke kama kile kibabu 😁. Tanzania shillings na Kenya shillings nazo zipande bus kama marais wao😂
Hapo ndo nashangaa, kwamba dollar ikiwa strong dunia nzima yaumia, ikiwa weak dunia yafurahi...Dollar ndiyo inazidi kuimarika kwenye kipindi hiki cha global inflation...maana investors wengi wanainunua ili ku preserve mitaji yao. Wao wanaita safe haven currencies....sarafu nyingine imara kwa sasa ni Japanese Yen.
Kaangalie Index ya USD...kwa leo imeweza kufikia 114...figure ambayo Dola haijawahi kufika huko nyuma. It means the $ is getting more stronger than before and this is bad news for global economy.
Pound inamfata mama yake kaburini🤣 bado dollars nayo izeeke kama kile kibabu 😁. Tanzania shillings na Kenya shillings nazo zipande bus kama marais wao😂
Umeua you made my day... Teh teh teh teh teh....Pound inamfata mama yake kaburini[emoji1787] bado dollars nayo izeeke kama kile kibabu [emoji16]. Tanzania shillings na Kenya shillings nazo zipande bus kama marais wao[emoji23]
Sio huko tu tibia za watz hata USA na Canada ni hizo hizo,kama tumelogwa hatupendani,majungu,fitina😂😂😂 wanaringa alafu hata balozi akiitisha vikao waishia kuja na masambusa , machapati maandazi na pilau kwenye vikao utafikiri balozi wanataka kujua afya Zenu na menu zenu! Hakuna anayeongea points au hata ideas hakuna! Diaspora UK na Ireland you guys must unite and change! muonyeshe upendo ninyi kwa ninyi muache kufitiniana!
Big up kwa Diaspora from the other side!
Tatizo ni backgrounds yachangia ila kama backgorund ipo poa (kwa TZ) unakuwa poa na huitaji diaspora.Sio huko tu tibia za watz hata USA na Canada ni hizo hizo,kama tumelogwa hatupendani,majungu,fitina
Huyo ni mkaazi wa kudumu pale Copenhagen.rudi nyumbani wewe...
kumenoga kitamboo tu