Diaspora wa Uingereza walikuwa wanaringa sana kwa nguvu ya Pauni, sasa hivi tunawacheka

Diaspora wa Uingereza walikuwa wanaringa sana kwa nguvu ya Pauni, sasa hivi tunawacheka

Hapo ndo nashangaa, kwamba dollar ikiwa strong dunia nzima yaumia, ikiwa weak dunia yafurahi...
Waweza elimisha kidogo?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Iko hivi....Globally kt soko la dunia, most of commodities are priced in dollars. eg oil, wheat, Sugar, soy, etc. Sasa dola ikipanda thamani sana that means hizi bidhaa nazo zinakuwa expensive to the rest of the world.

Why? Ni kwa vile ili wewe Mtz uweze kununua dollar inabidi uuze TZS. It works like a two way road. In order to buy one currency you must sell the other.

Maana yake ni kwamba itakugharimu shilingi nyingi zaidi ili kununua dola moja kwa vile dola imeongezeka thamani kuzidi most currencies, then Non Us countries zitapata shida kununua hizo bidhaa ambazo ziko priced in $ as they will be more expensive.

second ni kuhusu madeni ya nchi nyingi na riba zake ambayo yako priced in $. Dollar ikiwa too strong ina kuwa difficult to pay these debts as you will need more of your currency to service the debts.

Third ni kuhusu import na exports,
Dollar ikiwa strong ni advantage kwa makampuni ya kimarekani yanayo rely kwenye imported raw materials. This is because when the $ is strong imports in the US becomes cheap.

Makampuni ya Marekani kama Apple, Google etc. ambayo yanauza huduma na bidhaa zake nje ya Marekani kwa wingi yanaumia sana pindi dollar ikiwa na nguvu sana. Why? Profit zao hupungua kwa vile huduma zao zitanunuliwa kwa foreign currency za nchi ambako wanauza huduma zao, wanapo exchange fedha hizo kwenda US dollars faida inapungua since those currencies zinakuwa weak compared to $.

Kinyume chake pia ni sahihi, Dollar ikiwa dhaifu, kina Apple na Google wanaongeza mpunga sana...why? because of the revenues derived from overseas markets, they will get more dollars once wakibadili sales za overseas currencies kwenda $.

Hili utaliona sana kwenye major stock indexes kama DJIA, Nasdaq, S&P500. kipindi hiki ambacho dollar imeongezeka sana thamani na Mmarekani amezidi kupandisha interest rates zake, stocks nyingi zime nosedive, zinaelekea chini.

Federal High Interest rates na strong dollar ni bad news for the stock market globally. Dollar ikiwa strong maana yake unit moja ya $ itanunua more goods, na ni advantage kwa americans kwa vile wanapata disposable income nyingi.

...it becomes cheap for an American to do business with the rest of the world whereas inakuwa ngumu kwetu kutrade since most services are priced in $ ktk international market.

In short, the dollar is king in the global market.
 
Mzuka Wanajamvi!

Enzi hizo kwa Bibi wee. Mambo ya Sterling pound pesa iliyokuwa na nguvu. Yani diaspora wa uingereza enzi hizo wacha wee full kujiinua hasa wakituma au kuchenji hela zao. Sie wa akina krone, krona na kroner tulidharaulika sana.

Kujiinua taratibu zinakwisha. Na walivyomuweka mmatumbi ndo waziri wao wa fedha ndo pauni inazidi kwenda chini ikimfuata bibi.

Norway bei ya mafuta ilivyoshukaga walichekaga sana. Eti walizoeaga easy going life now they have to work very hard for the bread.

Elli Richard Sky Eclat Magonjwa Mtambuka
MAJUNGU
 
Enzi hizo kwa Bibi wee. Mambo ya Sterling pound pesa iliyokuwa na nguvu. Yani diaspora wa uingereza enzi hizo wacha wee full kujiinua hasa wakituma au kuchenji hela zao. Sie wa akina krone, krona na kroner tulidharaulika sana.

Kujiinua taratibu zinakwisha. Na walivyomuweka mmatumbi ndo waziri wao wa fedha ndo pauni inazidi kwenda chini ikimfuata bibi.

Norway bei ya mafuta ilivyoshukaga walichekaga sana. Eti walizoeaga easy going life now they have to work very hard for the bread.

Elli Richard Sky Eclat Magonjwa Mtambuka
Unadhihirisha upumbavu mkubwa wa mtu mweusi -kutopenda maendeleo ya mtu mwingine, na hata ikibidi kumhujumu. Na hili ndio tatizo la watu kupinga uraia pacha Tanzania - wivu wa kipumbavu wa kuona wengine watafaidika zaidi, lakini ikisingiziwa kuwa hawataki uraia pacha kwa sababu utatishia suala la uzalendo. Sasa wewe unafurahia wenzio kuathiriwa na kushuka kwa Pauni? Kwa taarifa yako, hatua zimechukulia Pauni imerudi hali yake ya juu. Jinyonge basi.

Ovyo sana sisi ngozi nyeusi.
 
Back
Top Bottom