Diaspora watatu wa Mzee Sarungi hawakuja kumzika baba yao

Tindikali

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
2,086
Reaction score
2,823
Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani

Mmoja wa kike yuko Hungary

Mmoja wa kiume hajasema aliko

Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama

-----------------------

Wengine sijui wamevurugwa? Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!

Wait. What ?? Last words to who ? Waombolezaji au to baba yako??? You didn't have last words with your father before he died ??

-------------------

And then enter CHADEMA

Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Wait a minute. Hold up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime happening in Kenya ?

Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.

Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!

The whole thing was a clown show
 
Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani

Mmoja wa kike yuko Hungary

Mmoja wa kiume hajasema aliko

Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama

-----------------------

Wengine ni kama hamnazo. Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!

Wait, what ?? Last words to who ? To waombolezaji au to baba yako??? You didn't talk to him in person ?

Hahahahaaa

-------------------

And then enter CHADEMA

Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Hol up! How the hell do they investigate a crime in Kenya ?

Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.

Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!

The whole thing was a clown show
Iacheni hii familia iomboleze inavyoona sawa.

Nyie kama si watu wa familia mambo ya watu na familia zao yanawahusu nini?

Wakija kuzika, wasipokuja kuzika, ni wao. Ndiyo maamuzi yao. Hamjui hata familia imekubaliana nini.

Kwa nini mnataka kuufanya msiba wa watu kuwa siasa?
 
Mmoja wa kike yuko Hungary

Mmoja wa kiume hajasema aliko

Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama

-----------------------

Wengine ni kama hamnazo. Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!

Wait, what ?? Last words to who ? To waombolezaji au to baba yako??? You didn't talk to him in person ?

Hahahahaaa

Masikini na makasiriko ya ugumu wa maisha...
Unajifunga kibwebwe na kukata viuno kwa ngoma ya jirani.....
Kesho ukiamka rumba lako liko palepale na utalicheza......
 
huu ni ushirikina ulio komaa, ni sawa na kumwambia celebrity kuwa humpendi mchumba wake.

baila ya kujua nae ana maisha binafsi.
Ni ugonjwa wa akili wa celebritaitis.

Yani ukishamuona mtu maarufu au kusikia habari zake unajiona kama unamjua, unajiona kama rafiki yako, unajiona kama mtu wa familia yako.

Wakati yeye hata hakujui na pengine hajali kukujua.
 
Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani

Mmoja wa kike yuko Hungary

Mmoja wa kiume hajasema aliko

Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama

-----------------------

Wengine ni kama hamnazo. Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!

Wait, what ?? Last words to who ? To waombolezaji au to baba yako??? You didn't talk to him before he died ??

-------------------

And then enter CHADEMA

Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Hol up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime in Kenya ?

Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.

Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!

The whole thing was a clown show

Sasa point yako nini hasa? Wewe unajuaje waliokuwa wanaongea na baba yao unajuaje kama baba yao ndiye kasema wasije na waendelee kupigania haki au kufanya wanayo fanya.

Ni kitu gani wewe unaamini kwenye maisha yako kiasi cha kukosa msiba wa baba yako hilo ndiyo fundisho la maisha kwa watu wenye akili
 
Iacheni hii familia iomboleze inavyoona sawa.

Nyie kama si watu wa familia mambo ya watu na familia zao yanawahusu nini?

Wakija kuzika, wasipokuja kuzika, ni wao. Ndiyo maamuzi yao. Hamjui haya familia imekubaliana nini.

Kwa nini mnataka kuufanya msiba wa watu kuwa siasa?
Mzee Kiranga unaupiga mwingi.
 
Sasa point yako nini hasa? Wewe unajuaje waliokuwa wanaongea na baba yao unajuaje kama baba yao ndiye kasema wasije na waendelee kupigania haki au kufanya wanayo fanya.

Ni kitu gani wewe unaamini kwenye maisha yako kiasi cha kukosa msiba wa baba yako hilo ndiyo fundisho la maisha kwa watu wenye akili
Ni kukosa adabu sana kuiingilia familia iliyo katika msiba kuhusu jinsi inavyotaka kuomboleza na kuzika mpendwa wao.

Kila familia ina mambo yake, na mtu wa nje ya familia kujifanya anaijua hiyo familia kuliko hiyo familia inavyojijua yenyewe, ni ujinga tu.

Watanzania wengi wanapenda kujichomeka kwenye mambo ya watu maarufu, kama hao watu maarufu ni rafiki zao, kama wanawajua personally, kama ni ndugu zao.

Kwa sababu wanawasoma kwenye magazeti na mitandao tu.

Wakati hao watu maarufu wenyewe hawawajui na pengine wala hawajali kuwajua.

Huu ni kama ugonjwa fulani hivi.
 
Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani

Mmoja wa kike yuko Hungary

Mmoja wa kiume hajasema aliko

Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama

-----------------------

Wengine ni kama hamnazo. Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!

Wait, what ?? Last words to who ? To waombolezaji au to baba yako??? You didn't talk to him before he died ??

-------------------

And then enter CHADEMA

Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Hol up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime in Kenya ?

Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.

Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!

The whole thing was a clown show
Hebu toka na taka taka yako ya ki ccm hapa
 
Iacheni hii familia iomboleze inavyoona sawa.

Tuiache familia iomboleze itakavyo

Yale yaleeeeeee

Tuiache mahakama ifanye kazi yake

Tuwaache polisi wafanye uchunguzi wao

Duuuuuuu...... kichwa cha mswahili kimekaririshwa misemo kama kasuku.

Sawa nimekuelewa. Tunazuia watu kuomboleza na kuzika.

Hata hii mijadala miingi ya mitandaoni tuliache bunge lifanye kazi yake
!
 
Wewe unaelewa tofauti ya mambo ya familia kama msiba na mambo ya kazi mahakama?

Unaelewa what is private and what is public?

Unataka kuipangia familia ya watu baki jinsi ya kuzika?
 
Back
Top Bottom