Diaspora watatu wa Mzee Sarungi hawakuja kumzika baba yao

Yaani watoto wa marehemu watatu hawajaja kumzika Baba Yao? Shida ni nauli au nini ?
Waacheni watu waomboleze wanavyojua.

Mambo ya familia wanajua familia.

Watoto wa Sarungi mwingine profesa na yuko Ulaya na wana networks kubwa tu hawawezi kukosa nauli.

Watanzania tujifunze kuwaachia space wenzetu wakifiwa.

Profesa Sarungi kuwa public figure haitupi haki ya kuipangia familia yake jinsi ya kuzika na kuvunja heshima ya faragha kwa familia.

Hii familia nusu wa Hungary, msitegemee mnavyozikana nyie kila mtu anazikana hivyo hivyo.
 
Familia ina laana mnshindwaje kuja kumzika baba yenu aliyewazaa na kuwasomesha. Mnashindwaje kumtunza baba yenu hadi kafa anaishi kwenye nyumba kama gofu ? Ujanja mwingi mbele kiza
 
Kwahiyo mambo yao ya kifamilia yanakuhusu nini Mkuu?

Ni vizuri mkaheshimu privacy za watu msipende kuwaingilia hata wangeamua chochote bado wana hiyo haki.

Maria Sarungi katumia akili kubwa na kwakuwa mmekosa kitoweo mnalalamika
 
Iacheni hii familia iomboleze inavyoona sawa.

Nyie kama si watu wa familia mambo ya watu na familia zao yanawahusu nini?

Wakija kuzika, wasipokuja kuzika, ni wao. Ndiyo maamuzi yao. Hamjui haya familia imekubaliana nini.

Kwa nini mnataka kuufanya msiba wa watu kuwa siasa?

Unakosaje kumzika mzee wako ?! Nakumbuka uliwahi sema wewe binafsi mzee wako hakosi msiba bongo ! ,, Alafu anakuja Maria anadai sababu za kiusalama serikali ilishawahi sema inamtafuta Maria wamkamate ?! She is selfish ametumia msiba wa mzee kujinufaisha binafsi ..
 
Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani

Mmoja wa kike yuko Hungary

Mmoja wa kiume hajasema aliko

Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama

-----------------------

Wengine ni kama hamnazo. Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!

Wait, what ?? Last words to who ? To waombolezaji au to baba yako??? You didn't talk to him before he died ??

-------------------

And then enter CHADEMA

Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Hol up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime in Kenya ?

Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.

Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!

The whole thing was a clown show
Unataka warudi kwenye hii shithole kufanya nini ?
 
Msiba wa Manji kafariki na kuzikwa Marekani watu wamekasirika.

Well, msiba wa Manji kijana wake alikuja kuomba msamaha.

Alituletea shughuli ya hitma na dua. Mwili uko wapi ? Kauzika Palm Beach, Florida. Preposterous procession. Kwa nini hukumaliza kila kitu huko huko? Hatujaja kula ubwabwa hapa.

Jamii ilimshukia kama lori la matofali. Akaja kujieleza baba alitaka kuzikwa na babu , ndio sasa nimejua baba aligusa "watu ngapi" na aliacha alama gani. Kiswahili hajui, mhamiaji mwingine aliyevurugwa na utambulisho.

Watanzania waliofahamu alama aliyoacha, na walioshukuru kwa "watu ngapi" aliowagusa, walikuja na President Kikwete kwenye hitma, business leaders and national clergy, no less Head Mufti of the country.

Miami Beach, Florida alizikwa na Mwenyekiti wa Chama cha Diaspora at best, not remotely the dignified funeral he deserved.

End of the day family profusely apologized and commiserated and we moved past the mess.

Traditionists and other observers could only ascribe it to poor understanding of social sensibilities, mores and customs of the people you lived with.
 
Wange kuja baba yao angefufuka?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Iacheni hii familia iomboleze inavyoona sawa.

Nyie kama si watu wa familia mambo ya watu na familia zao yanawahusu nini?

Wakija kuzika, wasipokuja kuzika, ni wao. Ndiyo maamuzi yao. Hamjui haya familia imekubaliana nini.

Kwa nini mnataka kuufanya msiba wa watu kuwa siasa?
Yaani kuna Watanzania ni majuha kupita hata ujuha wenyewe.
 
Unakosaje kumzika mzee wako ?! Nakumbuka uliwahi sema wewe binafsi mzee wako hakosi msiba bongo ! ,, Alafu anakuja Maria anadai sababu za kiusalama serikali ilishawahi sema inamtafuta Maria wamkamate ?! She is selfish ametumia msiba wa mzee kujinufaisha binafsi ..
Mkuu,

Kila mtu ana uhuru wa kuamua maisha yake yaweje. Hiyo ni haki ya kibinadamu. Ni sehemu ya haki za kikatiba pia.

Mzee wangu alikuwa anafanya shughuli zake US. Kasikia kuna msiba wa familia. Karudi Bongo, kazika, kakaa a few weeks, juzi karudi tena kwenye shughuli zake US.

Maria na ndugu zake wana taratibu zao, kwa sababu zao, ambazo hawashurutishwi hata kutueleza. Hayo ni mambo ya familia yao ambayo wewe mtu baki hutakiwi kuyaingilia wala kuyahoji.

Kwa nini wewe unajiona una haki ya kuipangia familia ya Sarungi jinsi ya kumzika mzee wao?
 
Well, msiba wa Manji kijana wake alikuja kuomba msamaha.

Alituletea shughuli ya hitma na dua. Mwili uko wapi ? Kauzika Palm Beach, Florida. Preposterous procession. Kwa nini hukumaliza kila kitu huko huko? Hatujaja kula ubwabwa hapa.

Jamii ilimshukia kama lori la matofali. Akaja kujieleza baba alitaka kuzikwa na babu , ndio sasa nimejua baba aligusa "watu ngapi" na aliacha alama gani. Kiswahili hajui, mhamiaji mwingine aliyevurugwa na utambulisho.

Watanzania waliofahamu alama aliyoacha, na walioshukuru kwa "watu ngapi" aliowagusa, walikuja na President Kikwete kwenye hitma, business leaders and national clergy, no less Head Mufti of the country.

Miami Beach, Florida alizikwa na Mwenyekiti wa Chama cha Diaspora at best, not remotely the dignified funeral he deserved.

End of the day family profusely apologized and commiserated and we moved past the mess.

Traditionists and other observers could only ascribe it to poor understanding of social sensibilities, mores and customs of the people you lived with.
Tanzania mtu anaweza kuomba msamaha bila kosa kwa sababu ya kuondoa hasira za watu na ku please jamii tu. Just to keep the peace. Kwa hiyo mtoto wa Manji kuomba msamaha haimaanishi kwamba wao walifanya makosa.

Manji na familia yake wana haki ya kuamua mazishi yao yawe wapi.

Unataka kuwanyang'anya haki hiyo?

Ku argue kwa point ya tradition ni argument from tradition logical fallacy.
 
Watu wanaotakiwa kuzika ni watu w mji huo sio watoto wake ,hakuna haja ya watu kusafiri ili kuja kuzika wala harusi ...Ila mgonjwa kuna sababu za moja kwa moja kuna kumuona.

Msiba ni simple kwanza mzee anajielewa alitaka kuzika hapo hapo ,wangeanza safari tena kwenda huko kwao ningewaona wa hovyo sana... Watoto wana maisha yao weka akilini mwako kama unataka kuzaa ,wanaweza wanapotea kwenye harakati za maisha usiwaone tena na hakuna tatizo.
 
Unakosaje kumzika mzee wako ?!

Well, mara nyingi makaratasi ndio shida. Tukisikia diaspora hajaja kuzika huwa hatuulizi mara mbili, I mean, we get that.

Mmoja alikuwa Hungary, ndo kwa mama yao tunaambiwa. Ungedhani alikuwa raia, sasa shida nini, nauli ya ghafla ???

Maria kasema kaogopa usalama. Dissapointing and demoralizing excuse. Maria Sarungi has been a symbol of bravery and resistance against tyranny and repression. Why turn tail when called for duty to bury your father?

Lissu aliporudi kum challenge Magufuli kwenye uchaguzi aliingia kwenye pango la chatu, lakini alipokelewa na wenzake akazunguka nao nchi nzima. Maria angekuja kuzika angekosa kusindikizwa kutoka airport ?

In time-honored African heritage, mores, customs and practices, children coming home to bury their fallen father is compulsory. Maria and her sister and brother must slaughter a he-goat and atone.
 
Mkuu,

Kila mtu ana uhuru wa kuamua maisha yake yaweje. Hiyo ni haki ya kibinadamu. Ni sehemu ya haki za kikatiba pia.

Mzee wangu alikuwa anafanya shughuli zake US. Kasikia kuna msiba wa familia. Karudi Bongo, kazika, kakaa a few weeks, juzi karudi tena kwenye shughuli zake US.

Maria na ndugu zake wana taratibu zao, kwa sababu zao, ambazo hawashurutishwi hata kutueleza. Hayo ni mambo ya familia yao ambayo wewe mtu baki hutakiwi kuyaingilia wala kuyahoji.

Kwa nini wewe unajiona una haki ya kuipangia familia ya Sarungi jinsi ya kumzika mzee wao?
Hao "Watoto" wana damu na roho ya "Kirusi". Na hao jamaa, wanafahamika kwa "UBAGUZI"! Wapo upande wa mama tu. Mama 'angevuta', hata 'mdogo wake Putin' angekuja kuzika, kama sio kurudisha mwili kwenye asili, yaani "USSR"ya zamani!
 
Na hiyo ni haki yao.

Familia yao, maisha yao, maamuzi yao.

Tatizo liko wapi?

Pilipili ya shambani kwa familia ya Sarungi nyie inawawashia nini?
 
Mkuu,

Kila mtu ana uhuru wa kuamua maisha yake yaweje. Hiyo ni haki ya kibinadamu. Ni sehemu ya haki za kikatiba pia.

Mzee wangu alikuwa anafanya shughuli zake US. Kasikia kuna msiba wa familia. Karudi Bongo, kazika, kakaa a few weeks, juzi karudi tena kwenye shughuli zake US.

Maria na ndugu zake wana taratibu zao, kwa sababu zao, ambazo hawashurutishwi hata kutueleza. Hayo ni mambo ya familia yao ambayo wewe mtu baki hutakiwi kuyaingilia wala kuyahoji.

Kwa nini wewe unajiona una haki ya kuipangia familia ya Sarungi jinsi ya kumzika mzee wao?
Basi wafuasi wake .. wanaharakati wenzake kule mjini X wasitupe lawama kwanini Mama samia hajatoa salam za pole ..
 
Back
Top Bottom