Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I wish hii ingekuwa ndiyo utamaduni wetu kuanzia leo. Misiba ya Bongo, hasa ya watu maarufu sasa hivi imekuwa ni kama kero. Hakuna privacy kabisa kabisa. ''TV online'' zinapiga kambi nyumbani (mpaka sebuleni) kwa mfiwa, wa-record. Wafiwa wana-rekodiwa wakilia na kuomboleza. Kusema ukweli mimi ningekuwa natoka familia maarufu halafu tufiwe na ndugu yetu ambaye ni maarufu, ningefanya kama ulivyosema, wacha wapige kelele.Hivi hawa wabongo siku akifariki mtu maarufu halafu familia ikasema inataka kufanya maziko privately, familia iachwe iomboleze privately, wanaenda kuzika watu wachache tu wa familia, kwa mualiko maalum, wataelewa kweli?
Au watasema "wachawi hawa freemason" 😂😂😂
Walikuambia wewe ukazike? Wewe ni mchimba makaburi?Hatuwapangii mazishi. Wameshazika. Wanachanwa kwa kudharau mazishi ya baba yao na kutaka sisi ndo tukazike..
Heritage and tradition of African peoples across the centuries call for a duty, which is you bury your parent. Plain and simple.
Three of four Sarungi siblings betrayed and abdicated that honored responsibility.
Illegal aliens who could not step out of those countries maybe? Then what about Maria across the border in Nairobi ? ?
Hao ni kama nyumbu wanaojiendea ovyo, hawajielewi. Nishaelezea hapo juu.Basi wafuasi wake .. wanaharakati wenzake kule mjini X wasitupe lawama kwanini Mama samia hajatoa salam za pole ..
Hakuna kitu kama values za waafrika. Kila kabila lina taratibu zake na kila familia inafanya inachoona ni sahihi. Subiri baba yako afe ndiyo utekeleze hizo african values.Ninachokiona wote wanaompinga mleta mada ndo masadists.......halafu chadema. Mleta mada ana hoja kubwa sana. Kama waafrika, tuna values zetu kuhusu vitu kama misiba na kutokana na hilo ni haki yake mtoa mada kuliongelea. Cha ajabu zaidi, hawa hawa wanaompinga mtoa mada na kumshambulia, ndiyo wanaoijaza mada iliyoanzishwa ya kumlaumu mama Samia kwa kutohudhuria msiba huu.
Mkuu,I wish hii ingekuwa ndiyo utamaduni wetu kuanzia leo. Misiba ya Bongo, hasa ya watu maarufu sasa hivi imekuwa ni kama kero. Hakuna privacy kabisa kabisa. ''TV online'' zinapiga kambi nyumbani (mpaka sebuleni) kwa mfiwa, wa-record. Wafiwa wana-rekodiwa wakilia na kuomboleza. Kusema ukweli mimi ningekuwa natoka familia maarufu halafu tufiwe na ndugu yetu ambaye ni maarufu, ningefanya kama ulivyosema, wacha wapige kelele.
Nafikiri Watanzania wengi wanathamini sana kuonekana msibani ndio maana hata Steve Nyerere huwa anahesabu wakina nani wamefika na wapi hawakufika katika misiba yao wasanii.Kuna Watanzania wengi ni sadists.
Steve Nyerere ndo nani huko Tz?Nafikiri Watanzania wengi wanathamini sana kuonekana msibani ndio maana hata Steve Nyerere huwa anahesabu wakina nani wamefika na wapi hawakufika katika misiba yao wasanii.
Ulitakwa ukamzike Sarungi?Hatuwapangii mazishi. Wameshazika. Wanachanwa kwa kudharau mazishi ya baba yao na kutaka sisi ndo tukazike..
Heritage and tradition of African peoples across the centuries call for a duty, which is you bury your parent. Plain and simple.
Three of four Sarungi siblings betrayed and abdicated that honored responsibility.
Illegal aliens who could not step out of those countries maybe? Then what about Maria across the border in Nairobi ? ?
Values za kulazimishana kuhudhuria misiba na values za kipumbavuNinachokiona wote wanaompinga mleta mada ndo masadists.......halafu chadema. Mleta mada ana hoja kubwa sana. Kama waafrika, tuna values zetu kuhusu vitu kama misiba na kutokana na hilo ni haki yake mtoa mada kuliongelea. Cha ajabu zaidi, hawa hawa wanaompinga mtoa mada na kumshambulia, ndiyo wanaoijaza mada iliyoanzishwa ya kumlaumu mama Samia kwa kutohudhuria msiba huu.
Unaruhusiwa kuthamini kufika msibani wewe, lakini usimpangie mtu mwingine jinsi ya kuomboleza.Nafikiri Watanzania wengi wanathamini sana kuonekana msibani ndio maana hata Steve Nyerere huwa anahesabu wakina nani wamefika na wapi hawakufika katika misiba yao wasanii.
Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani
Mmoja wa kike yuko Hungary
Mmoja wa kiume hajasema aliko
Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama
-----------------------
Wengine ni kama hamnazo. Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!
Wait, what ?? Last words to who ? To waombolezaji au to baba yako??? You didn't talk to him before he died ??
-------------------
And then enter CHADEMA
Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Hol up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime in Kenya ?
Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.
Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!
The whole thing was a clown show
Kipumbavu na kijima mkuu.Values za kulazimishana kuhudhuria misiba na values za kipumbavu
Values za kulazimishana kuhudhuria misiba na values za kipumbavu
Mtoto wa Manji alikuwa anajitengeneza yeye na familia yake mazingira mazuri ya kuzifikia fursa za biashara kwa Waswahili ndio maana akafanya hayo yote.Well, msiba wa Manji kijana wake alikuja kuomba msamaha.
Alituletea shughuli ya hitma na dua. Mwili uko wapi ? Kauzika Palm Beach, Florida. Preposterous procession. Kwa nini hukumaliza kila kitu huko huko? Hatujaja kula ubwabwa hapa.
Jamii ilimshukia kama lori la matofali. Akaja kujieleza baba alitaka kuzikwa na babu , ndio sasa nimejua baba aligusa "watu ngapi" na aliacha alama gani. Kiswahili hajui, mhamiaji mwingine aliyevurugwa na utambulisho.
Watanzania waliofahamu alama aliyoacha, na walioshukuru kwa "watu ngapi" aliowagusa, walikuja na President Kikwete kwenye hitma, business leaders and national clergy, no less Head Mufti of the country.
Miami Beach, Florida alizikwa na Mwenyekiti wa Chama cha Diaspora at best, not remotely the dignified funeral he deserved.
End of the day family profusely apologized and commiserated and we moved past the mess.
Traditionists and other observers could only ascribe it to poor understanding of social sensibilities, mores and customs of the people you lived with.
Anaweza kuja na anaweza asije kabisa pia, inategemea kaburi lina umuhimu gani kwake.Hali kama hajiza ruhusu hakuna shida. Atakuja kuwaona wakati mwingine
Unaandika kishabiki utadhani kichwa umeweka rehani kukopa hela ununue dela.Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani
Mmoja wa kike yuko Hungary
Mmoja wa kiume hajasema aliko
Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama
-----------------------
Wengine ni kama hamnazo. Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!
Wait, what ?? Last words to who ? To waombolezaji au to baba yako??? You didn't talk to him before he died ??
-------------------
And then enter CHADEMA
Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Hol up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime in Kenya ?
Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.
Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!
The whole thing was a clown show
It’s funny how people are getting bent out of shape, fuming and frothing at the mouth about a bereavement arrangement of another family who are seemingly fine with whatever they agreed on.Na hiyo ni haki yao.
Familia yao, maisha yao, maamuzi yao.
Tatizo liko wapi?
Pilipili ya shambani kwa familia ya Sarungi nyie inawawashia nini?