Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaelewa tofauti ya mambo ya familia kama msiba na mambo ya kazi mahakama?
Unaelewa what is private and what is public?
Unataka kuipangia familia ya watu baki jinsi ya kuzika?
Unakumbuka msiba wa Daud Balali? Wabongo wakajisogeza maskani kwake, wakakuta kimya! Kumbe mjomba kazikwa USA...Hivi hawa wabongo siku akifariki mtu maarufu halafu familia ikasema inataka kufanya maziko privately, familia iachwe iomboleze privately, wanaenda kuzika watu wachache tu wa familia, kwa mualiko maalum, wataelewa kweli?
Au watasema "wachawi hawa freemason" 😂😂😂
Another argument from tradition logical fallacy.Hatuwapangii mazishi. Wameshazika. Wanachanwa kwa kudharau mazishi ya baba yao na kutaka sisi ndo tukazike..
Heritage and tradition of African peoples across the centuries call for a duty, which is you bury your parent. Plain and simple.
Three of four Sarungi siblings betrayed and abdicated that honored responsibility.
Illegal aliens who could not step out of those countries maybe? Then what about Maria across the border in Nairobi ? ?
Msiba wa Manji kafariki na kuzikwa Marekani watu wamekasirika.Unakumbuka msiba wa Daud Balali? Wabongo wakajisogeza maskani kwake, wakakuta kimya! Kumbe mjomba kazikwa USA...
Ndio. Wameomba tumzike.
Maria kaichana serikali kutotuma ujumbe mzito.
Hukuja kuzika babaako, unalaumuje wengine kutokuja ?
Wewe ndiye umeweka hilo dai hapa, wewe ndiye mwenye wajibu wa kuweka ushahidi na uthibitisho kwamba unachosema ni kweli.Nenda kwenye platform zake.
Nakupa kazi ?Wewe ndiye umeweka hilo dai hapa, wewe ndiye mwenye wajibu wa kuweka ushahidi na uthibitisho kwamba unachosema ni kweli.
Vinginevyo nitajuaje kasema hayo kweli na hunipeleki kutafuta kitu ambacho hakipo?
Usiweke dai halafu kunipa mimi kazi ya kuweka ushahidi wa kuthibitisha dai lako.
Wewe umetoa dai, wewe ndiye unapaswa kuweka ushahidi hapa.Nakupa kazi ?
We ndo hujui kasema nini, halafu unaona kazi kutaka kujua, okay, basi acha.
Dah mkuu, twende nje kidogo ya hii mada ya Sarungi.Eti wabongo wakitaka kukukomoa kama unaringa wanasusia msiba wako?
N de A
Kuna Watanzania wengi ni sadists
Unaonekana umejawa na chuki Kali, una stress, unapitia kipindi kigumu sana kihisia. Dunia kwa upande wako iko upside down.Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani
Mmoja wa kike yuko Hungary
Mmoja wa kiume hajasema aliko
Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama
-----------------------
Wengine ni kama hamnazo. Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!
Wait, what ?? Last words to who ? To waombolezaji au to baba yako??? You didn't talk to him before he died ??
-------------------
And then enter CHADEMA
Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Hol up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime in Kenya ?
Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.
Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!
The whole thing was a clown show
CCM uache kuteka watu, kuwaua kinyama na kuwafanyia madhila mbalimbali, ili mradi tu ni wakosoajiMtoa mada ana kitu japokua anashambuliwa.
Kiufupi wasifu wa marehemu katika kuitumikia nchi na uzito wa serikali uliochukuliwa kwenye maziko yake haviwiani.
Tujitahidi kuwalea wanetu katika misingi bora.
Yaani watoto wa marehemu watatu hawajaja kumzika Baba Yao? Shida ni nauli au nini ?Ninachokiona wote wanaompinga mleta mada ndo masadists.......halafu chadema. Mleta mada ana hoja kubwa sana. Kama waafrika, tuna values zetu kuhusu vitu kama misiba na kutokana na hilo ni haki yake mtoa mada kuliongelea. Cha ajabu zaidi, hawa hawa wanaompinga mtoa mada na kumshambulia, ndiyo wanaoijaza mada iliyoanzishwa ya kumlaumu mama Samia kwa kutohudhuria msiba huu.
DuuhThe whole thing was a clown show