Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Mfano diaspora wa nigeria wanavyofanya mambo yenye impact ya kuitangaza nchi yao sio lazima uisaidie hapana

Lakini wengi wao maisha yao binafsi yanawashinda wanabangaiza huko ughaibuni sasa wataidaidie nchi
Sasa mimi nianze kuitangaza Tanzania, imenisaidia nini haswa mpaka kufika hapa kwa mfano. Tukija huko ni manyanyaso tu toka airport mpaka kwenye sehemu za huduma, wanawashobokea ngozi nyeupe. Eeeh banaa eeh kila mtu apambane na hali yake. Si mna loyotua inawatangaza 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Na wakija tunaishia kuwanunulia bia wao ni vingereza tu na bill hawalipi.
 
Nasoma huu uzi baada ya miaka 10, makofi kwao diasporas jamani,

Wako njema sema hawapendi kujionesha
 
Una tatizo mkuu la AFYA ya akili , ukiona kila muda wenzako wanakosea ebu fanya wewe upatie

Mara nyingi MTU asiyeweza kufanya jambo lolote ndo huwa anakosoa wenzie wanachofanya.

Ukiwa upo katika mwendo (motion) hauwezi kumuona anayekosea so hapo tatizo lipo kwako na sio diaspora

Maana hao diaspora wameshapambana kufika nje na wanaishi maisha yao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…