kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
punguza ubinafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mimi nianze kuitangaza Tanzania, imenisaidia nini haswa mpaka kufika hapa kwa mfano. Tukija huko ni manyanyaso tu toka airport mpaka kwenye sehemu za huduma, wanawashobokea ngozi nyeupe. Eeeh banaa eeh kila mtu apambane na hali yake. Si mna loyotua inawatangaza 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mfano diaspora wa nigeria wanavyofanya mambo yenye impact ya kuitangaza nchi yao sio lazima uisaidie hapana
Lakini wengi wao maisha yao binafsi yanawashinda wanabangaiza huko ughaibuni sasa wataidaidie nchi
Kaka naona umeguswa, acha mbegu huko waje kucheza Taifa starsOk, but how is that any of your concern?
You don’t got a life of your own and wish to live vicariously through others or what?
Na wakija tunaishia kuwanunulia bia wao ni vingereza tu na bill hawalipi.Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana
Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k
Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na diaspora wanafanya makubwa mfano Obama, Lupita Nyongo, rish sunak waziri mkuu wa uingereza na wengineo wengi
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri, wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Kweli kabisa, hata wasanii wetu wakienda huko wanalalamika kukosa audience, hii inamaanisha ndugu zetu Wana struggle na basic needs na hawana hela ya starehe. Tofauti na wanaija wao hujaa kuwaspoti wasanii wao.Na wakija tunaishia kuwanunulia bia wao ni vingereza tu na bill hawalipi.
Mkuu nimekuwa sioni michango yako kwa muda sasa,karibu tenaKama umegundua hivyo kwanini usiende wewe alafu ufanye tofauti na wao kisha ulete uzi ya jinsi ulivyofanikiwa abroad
Tupo mkuu...nashukuru kumbe unanifuatilia japo Kwa kidogo nachochangiaMkuu nimekuwa sioni michango yako kwa muda sasa,karibu tena
Nafikiri nilianza kuona michango yako muda tuu ghafla ukapotea,tupo mkuu tuendelee kupiga hoja kwa hoja...Tupo mkuu...nashukuru kumbe unanifuatilia japo Kwa kidogo nachochangia
Mkuu,Ok, but how is that any of your concern?
You don’t got a life of your own and wish to live vicariously through others or what?
Tupo mkuu tunapambania mkate wa Kila siku, tukipata muda tunaingia humu tena, kazi njema mkuuMkuu,
Kwa huo umombo sisi wa bom bom huku kijiwe samuli hatujakuelewa 😊