NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Samatta si alishaapa kutochezea timu ya Taifa?Samata nje??
Dickson;DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada.
MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na wamekua na kiwango kizuri huu ndiyo ulikua wakati mzuri kwa vijana kutumika Taifa stars Lakini kuna ujanja ujanja mwingi na kujuana kwa wanaopanga kikosi.
View attachment 3000152
Job anacheza team inayo dominate Bongo unaenda mwaka wa tatu sasa, ni starter na vice captain pia hiyo nidhamu ni kwenye team ya taifa tu mkuu?Dickson;
Nidhamu,nidhamu,nidhamu.
Alisisitiza Mauricio Maximo juu ya Juma K Juma.
Kibaya zaidi wameanza kumchafua Job ana tatizo la nidhamu, bongo nyoso.Chasambi bado mtoto, Job anabifu na kocha mkuu,
Namba ya Job kuna jamaa yupo costal anaitwa Lawi, pia kuna kibabage na Mohamed Husein wa simba, pia kuna jamaa mmoja wa Azam nmemsahau jina ahhh chilambo na mwamnyeto anacheza hiyo
Hiyo namba ina ushindani sana ila the best ni LAWI wa costal
Utakuwa umekosea jinaKuna yule beki wa Azam anaitwa Abdallah Kheri "Sebo",mbona haitwi au ni majeruhi?
Huyu kocha mpemba fala sana.DAR ES SALAAM: KAIMU Kocha Mkuu wa @taifastars_ Hemed Suleiman Morocco ameita kikosi cha wachezaji 34 kujiandaa na mchezo wa Juni mwaka huu dhidi ya Zambia, kuwania kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026 nchini Marekani, Mexico na Canada.
MAONI YANGU : Dicksoni Job na ladack Chasambi wamekua na wamekua na kiwango kizuri huu ndiyo ulikua wakati mzuri kwa vijana kutumika Taifa stars Lakini kuna ujanja ujanja mwingi na kujuana kwa wanaopanga kikosi.
View attachment 3000152
Hamna kitu hapo kwa kocha.Job si ana issues ya kinidhamu!! ndo maana kaachwa