Dickson Kabigumila: Wasanii wa muziki wa kidunia sio watumishi wa Mungu

Haya makanisa ya kiroho ndio yameuharibu Ukristo uonekane haufai maana shetani anayatumia ili kuuwa nguvu ya imani watumainie maji na mafuta chumvi
Hakuna awezaye kuuharibu ukristo, Yesu Kristo ni yeye yule jana leo na hata milele.
 
Israel pombe yao ni Divai huku kwetu ni gongo na k vant

Kwanini divai sio pombe kibiblia ila k vant ni pombe?

Acha watu wabirudike
 
Kama mungu hawezi kuwakilishwa ma wapenda ngono

Je kuna tofauti gani kati ya mfalme sulemani mwenye wake 300 na mademu 700 kwenye biblia na king muswati wa swatzland anayeoa kila mwaka?

Suleman wakati anaoa hovyo hovyo zile amri kumi za mungu hazikuwepo?
 
Suleman wakati anaoa hovyo hovyo zile amri kumi za mungu hazikuwepo
Tofautisha kuoa na kunyandua mademu hovyo hovyo pasipo kuwaoa.

Suleiman aliwamiliki hao wanawake kihalali kabisa

Ndoa za mitaala sio dhambi kabisa
 
Niliwahi kupata Muda naye mtumishi huyu tukajadili machache!! Nilijifunza yafuatayo:

Mosi- Maoni yake yanafaa kuheshimiwa kabisa, anapenda hoja ijibiwe kwa hoja, anapenda maarifa mapya, anapenda kujifunza, anapenda kujichanganya na watu wa kawaida Ili ajifunze. nakupongeza.

Mbili- Askofu na Pastor kapola wote ni vijana Lakini wote wawili Wana mitazamo tofauti juu ya mafundisho Yao. Tonny yupo cocial based teaching na Askofu yupo Biblical based teachings, kwa misingi hiyo hawawezi kukaa MEZA moja wakaelewana. Maoni ya Askofu yamekuja kama jawabu kwa kapola ambaye alisikika akiomba kuingiza verse kwa wasani wa mziki wa bongofleva.

Tatu-Nina maoni kadhaa kwa Askofu,Mungu ambaye anasikia fasihi moja tu ya kilokole ni Mungu yupi? Ni Mungu yupi anayebagua watu na vipawa vyao? Ni Mungu yupi anayepingana na uumbaji wake mwenyewe? Ni Mungu yupi anayekataa mashirikiano? Ni Mungu yupi anayechagua kundi dogo na kulichukia lingine?

NB: Maswali yangu ni machache tu Lakini hayo hayo yakupe Fikra tu mpya. Watu wanaomwanini Mungu ni wengi kuliko wanaoingia kwenye nyumba za ibada,Lakini pia kuingia kwenye nyumba za ibada siyo kigezo Cha MAHUSIANO mazuri na Mungu (content) siyo jina, maana Jina lenyewe Lina ubabaifu mwingi.

Leo maarifa ni makubwa, ukristo nao unamazingzong mengi sana, kwanza kabisa tulipaswa sote kama waafrika tuikatae Biblia Yao na kufuata misingi halisi ya Babu zetu kwa kuweka bayana ya misingi ya uumbaji ambayo Katika uumbaji huo ndiyo tunapokea usawa as ecology need. Hizi fasihi zao zinatutenga na baraka zenyewe za Asili.

Otherwise baba Askofu
Maoni Yako yamejaa hekima kwakuwa siyo fact basi yanafaa pia kupingwa, acha watu waimbe Ili spirit zigongane itakayoshindwa itamjoin mwenzake..HIYO NDIYO RADHAA YA MAISHA LAZIMA HASI IWEPO ILI CHANYA IWE HAI
 
Hoja yako ni ipi sasa mkuu? Mbona unaruka ruka tu?
 
Leo maarifa ni makubwa, ukristo nao unamazingzong mengi sana
Pamoja na maarifa kuwa makubwa hakuna pahali katika mafundisho ya injili ya Yesu na mitume kuelekeza ukristo uwe wa mazingazong kisa mabadiliko.

Leo hii kuna wezi wengi wamejificha katika utumishi kanisani ila kiuhalisia ni Wafanyabiashara wakwepao kulipa kodi. Wanaibia serikali na wananchi.

Injili haielekezi watumishi wafanye hizo mambo. Ni wezi na wanyang'anyi waliovaa mavazi ya kiutumishi ndio wanafanya ujinga huo.

Injili ya Yesu haibadiliki ni ile ile, Yesu ni yeye yule jana leo na hata milele, tunaijua injili yake
 
Pastor Anafunguka...

Sijawahi kuona kampuni ya vilevi kama vile pombe ambayo inamtumia mteja wake mmoja aliyelewa huku anapigana na watu baada ya kulewa kwenye tangazo lake! Au amelala mtaroni kwa kuzidiwa na pombe, au amejisaidia (amejinyea na kujikojolea) huku anaongea mwenyewe maneno yasiyoeleweka! Haya yote pombe inayafanya lakini hata wao kampuni ya vilevi wanaona aibu kwa wateja wao kuwa wawakilishi na mabalozi wao kwa jamii.

Uwe na Uhakika
Mungu hawezi kuwakilishwa na waimba ngono, bangi, sigara, ushoga, shisha, clubbing na taka taka nyingine kama watumishi wake endapo bado wako huko wakifanya hayo.

Kama hawaiamini Injili kwanza na kutubu dhambi zao na kugeuka, kufunguliwa toka kazi zao mbaya zinazoiharibu jamii, hawawezi kuitwa watumishi wa Mungu kama sisi ambao tumeishaamua kumuishi Kristo na kumzalia Mungu matunda yapasayo toba!

It is Higher Time to Speak the Truth
Neema ni ya wote lakini ambaye hajaikubali si wa Bwana bado,

Kila amwaminiye asipotee,

Lakini kama hajaamua kuamini bado na kugeuka, si mwana wa Mungu wala mtumishi wa Mungu.

Tuilinde imani hii tuliyopewa mara moja kwa wivu mkubwa,

Wanetu watakuta kitu cha ajabu tusipoisimamia kweli yote.

Askofu Dickson Cornel KabigumilaABC Global Duniani
tangu karne hawajawahi kuwa watumishi wa Mungu wa kweli, ati diamond na hamonize watumishi wa Mungu? kivipi? shindwa shetani.
 
Inawezekana kungonoka ndio utumishi wao maana kuna Mungu halafu kuna mungu hivyo wazee wa kungonoka ni watumishi wa mungu.
 
Pastor Anafunguka...

Sijawahi kuona kampuni ya vilevi kama vile pombe ambayo inamtumia mteja wake mmoja aliyelewa huku anapigana na watu baada ya kulewa kwenye tangazo lake! Au amelala mtaroni kwa kuzidiwa na pombe, au amejisaidia (amejinyea na kujikojolea) huku anaongea mwenyewe maneno yasiyoeleweka! Haya yote pombe inayafanya lakini hata wao kampuni ya vilevi wanaona aibu kwa wateja wao kuwa wawakilishi na mabalozi wao kwa jamii.

Uwe na Uhakika
Mungu hawezi kuwakilishwa na waimba ngono, bangi, sigara, ushoga, shisha, clubbing na taka taka nyingine kama watumishi wake endapo bado wako huko wakifanya hayo.

Kama hawaiamini Injili kwanza na kutubu dhambi zao na kugeuka, kufunguliwa toka kazi zao mbaya zinazoiharibu jamii, hawawezi kuitwa watumishi wa Mungu kama sisi ambao tumeishaamua kumuishi Kristo na kumzalia Mungu matunda yapasayo toba!

It is Higher Time to Speak the Truth
Neema ni ya wote lakini ambaye hajaikubali si wa Bwana bado,

Kila amwaminiye asipotee,

Lakini kama hajaamua kuamini bado na kugeuka, si mwana wa Mungu wala mtumishi wa Mungu.

Tuilinde imani hii tuliyopewa mara moja kwa wivu mkubwa,

Wanetu watakuta kitu cha ajabu tusipoisimamia kweli yote.

Askofu Dickson Cornel KabigumilaABC Global Duniani
Kwani nani aliyemdanganya kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu? Si msanii tu huyu.
 
Haya mambo ya kuhukumiana ndiyo hayafai una uhakikw gani kuwa Ukristo au dini ni mpango wa Mungu???? Unaweza kumpendeza Mungu bila kuwa na dini wala hakuhusiani na dini yoyote.. Mungu hana dini ndio maana matendo yako mema ndio njia ya wewe kumpendeza Mungu na sio dini furani hapana.
 
Back
Top Bottom