Dickson Kabigumila: Wasanii wa muziki wa kidunia sio watumishi wa Mungu

Dickson Kabigumila: Wasanii wa muziki wa kidunia sio watumishi wa Mungu

Lkn had aje azeeke yule Mzee John atakuwa kaipata fresh Mungu tu amtie nguvu
 
Mzee John ni mtu mzima mwenye uwezo wa kujizuia so atashinda vita.
Mapenzi hayana Cha umri Mzee alijua kapata mke kumbe amepatikana ...anaumia sana na kwenye mahubiri yake Huwa anarusha jiwe gizani mara aseme Kuna wasanii wanapata sponsor za watu wa kuzimu Yani diamond na geodavie mara aseme Kuna wahuburi wanavaa mapete ya kuita mvuto
 
Matumizi mazuri ya muda ni kujadili issues siyo watu, Hakuna mwenye UKAMILIFU kwa jicho la mwanadamu...just focus kwenye mipango na wito wako
 
Back
Top Bottom