newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
mwalimu wa killed so the plan for ufisadi and squanderer to proceed.
by the way ulaya ndipo viongozi wengi wanafia,mazingira ni mazuri kuimplement plans kama hizo kuliko africa,kwan ukitibiwa africa unatibiwa ktk ikulu yako,ulinzi mkali sana,for the case ya mwalimu angeweza kutibiwa lugalo hospital
..Pale alituachia basi tujitahidi kuyaendeleza mazuri yake na twende mbele kwa mbele. wafu hawatatusaidia tena katika haya yanayotukabili kwa sasa.
I can dare say Yes! Mwezi wa July 1999 kulikuwa na kongamano la Mwalimu Nyerere na nilihudhuria. Lilifanyika kijijini kwake Butiama. Mwalimu nilikaa nae kti kimoja na tulipata kuongea mawili matatu. Alionekana dhaifu sana kimwili, ingawa kiakili na spiritually alikuwa bado very strong. Alikuwa amepoteza rangi kabisa naweza kusema alifanana kabisa na zeruzeru na kichwa chake chote cheupe, alikuwa akitembea kidhaifu na wakati wote alikuwa na miwani myeusi! Wengi tuliokuwa pale tulikwisha anza kuteta na kuulizana kinachomzibu Mwlm Nyerere. Afisa mmoja wa Usalama aliyekuwa karibu alitufahamisha kuwa alikuwa akiumwa muda tu kwa sasa na kuna siku moja aliwahi kumuuliza Raisi wa wakati huo B. W. Mkapa "je, umewaeleza watanzania ninachoumwa?" alimalizia afisa huyo. Alipofariki mwaka huohuo October 14 1999 niliweza kuamini kabisa taarifa za vyombo mbalimbali vya habari kikiwemo cha BBC ambacho kilisema ninankuuu "The 77-year-old statesman was diagnosed with leukaemia in August 1998 and was being treated in a London hospital" tazama hapa: BBC News | Africa | Tanzania's Nyerere dies
Sishawishiki kabisa na propaganda yeyote itakayosema kwa umri wake na hali ambayo niliishuhudia mwenyewe kwa macho kuwa atakua ameuwawa. Tayari alikuwa dhaifu sana na kama tutakumbuka aliondoka hapa kwenda kwenye matibabu na si vinginevyo! Hivyo basi, naamini kabisa, Mwl. Nyerere alifariki kwa kifo kinachotokana na ugonjwa aliyokuwa nao na si vinginevyo.

Natumai hata yule jamaa mwenye kichwa cheupeeeeeeeeeeeeee alifurahi sana na genge lake la mafisadi wa Igunga.
Siku moja katika pitapita zangu nilimsikia jamaa mmoja pale UDSM akitamka kuwa wakati mwalimu akiwa hoi hospitalini kule UK, kiongozi mmoja mzito kabisa wa nchi alikwenda Marekani kuwaaambia kuwa yule jamaa anayezuia kuchimba madini yuko hoi hospitalini kamumalizieni.
I have always failed to be convinced that mwalimu julius kambarage nyerere died: A natural death!