Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

mwalimu wa killed so the plan for ufisadi and squanderer to proceed.
by the way ulaya ndipo viongozi wengi wanafia,mazingira ni mazuri kuimplement plans kama hizo kuliko africa,kwan ukitibiwa africa unatibiwa ktk ikulu yako,ulinzi mkali sana,for the case ya mwalimu angeweza kutibiwa lugalo hospital
 
Hakuna cha Lugalo, mafisadi wanaweza wakakufata huko huko kama walivyomfanya Aminia wa Mfupa!
 
..Pale alituachia basi tujitahidi kuyaendeleza mazuri yake na twende mbele kwa mbele. wafu hawatatusaidia tena katika haya yanayotukabili kwa sasa.

Tatizo hatuendelezi mazuri yake, hata yeye alitushangaa kuona tuna ACHA MAZURI YAKE tuna TUNACHUKUA YA HOVYO ambayo mpaka leo tunayaendeleza! Mwl. japo amelala mauti lakini sauti yake ya wosia kamwe haita nyamaza.
 
I can dare say Yes! Mwezi wa July 1999 kulikuwa na kongamano la Mwalimu Nyerere na nilihudhuria. Lilifanyika kijijini kwake Butiama. Mwalimu nilikaa nae kti kimoja na tulipata kuongea mawili matatu. Alionekana dhaifu sana kimwili, ingawa kiakili na spiritually alikuwa bado very strong. Alikuwa amepoteza rangi kabisa naweza kusema alifanana kabisa na zeruzeru na kichwa chake chote cheupe, alikuwa akitembea kidhaifu na wakati wote alikuwa na miwani myeusi! Wengi tuliokuwa pale tulikwisha anza kuteta na kuulizana kinachomzibu Mwlm Nyerere. Afisa mmoja wa Usalama aliyekuwa karibu alitufahamisha kuwa alikuwa akiumwa muda tu kwa sasa na kuna siku moja aliwahi kumuuliza Raisi wa wakati huo B. W. Mkapa "je, umewaeleza watanzania ninachoumwa?" alimalizia afisa huyo. Alipofariki mwaka huohuo October 14 1999 niliweza kuamini kabisa taarifa za vyombo mbalimbali vya habari kikiwemo cha BBC ambacho kilisema ninankuuu "The 77-year-old statesman was diagnosed with leukaemia in August 1998 and was being treated in a London hospital" tazama hapa: BBC News | Africa | Tanzania's Nyerere dies
Sishawishiki kabisa na propaganda yeyote itakayosema kwa umri wake na hali ambayo niliishuhudia mwenyewe kwa macho kuwa atakua ameuwawa. Tayari alikuwa dhaifu sana na kama tutakumbuka aliondoka hapa kwenda kwenye matibabu na si vinginevyo! Hivyo basi, naamini kabisa, Mwl. Nyerere alifariki kwa kifo kinachotokana na ugonjwa aliyokuwa nao na si vinginevyo.
 
Asante Profesa kwa ufafanuzi mzuri.
Tatizo sasa hivi watanzania wengi wanapenda conspiracy theories. Yaani mtu yeyote akiwa maarufu akifariki kwa ugonjwa au ajali, watasema kuna njama. Hata vitu vikiwa wazi kabisa, watatafuta maelezo magumu alimradi kuonyesha kuwa kulikuwa na njama fulani. Kwa Baba wa Taifa, kwa umri ule wa miaka 78 si ajabu mtu kuwa na Leukemia.

I can dare say Yes! Mwezi wa July 1999 kulikuwa na kongamano la Mwalimu Nyerere na nilihudhuria. Lilifanyika kijijini kwake Butiama. Mwalimu nilikaa nae kti kimoja na tulipata kuongea mawili matatu. Alionekana dhaifu sana kimwili, ingawa kiakili na spiritually alikuwa bado very strong. Alikuwa amepoteza rangi kabisa naweza kusema alifanana kabisa na zeruzeru na kichwa chake chote cheupe, alikuwa akitembea kidhaifu na wakati wote alikuwa na miwani myeusi! Wengi tuliokuwa pale tulikwisha anza kuteta na kuulizana kinachomzibu Mwlm Nyerere. Afisa mmoja wa Usalama aliyekuwa karibu alitufahamisha kuwa alikuwa akiumwa muda tu kwa sasa na kuna siku moja aliwahi kumuuliza Raisi wa wakati huo B. W. Mkapa "je, umewaeleza watanzania ninachoumwa?" alimalizia afisa huyo. Alipofariki mwaka huohuo October 14 1999 niliweza kuamini kabisa taarifa za vyombo mbalimbali vya habari kikiwemo cha BBC ambacho kilisema ninankuuu "The 77-year-old statesman was diagnosed with leukaemia in August 1998 and was being treated in a London hospital" tazama hapa: BBC News | Africa | Tanzania's Nyerere dies
Sishawishiki kabisa na propaganda yeyote itakayosema kwa umri wake na hali ambayo niliishuhudia mwenyewe kwa macho kuwa atakua ameuwawa. Tayari alikuwa dhaifu sana na kama tutakumbuka aliondoka hapa kwenda kwenye matibabu na si vinginevyo! Hivyo basi, naamini kabisa, Mwl. Nyerere alifariki kwa kifo kinachotokana na ugonjwa aliyokuwa nao na si vinginevyo.
 
Ukiangalia Movie hii mwanzo hadi mwisho utapa jibu kama alikufa a natural death au la... yote ni money making issues na matajiri wa kuutafuta utajili wa kila aina....
YouTube - ZEITGEIST 2: ADDENDUM (FULL MOVIE!) - PLEASE SHARE

Hayo ni maoni yangu na ndo maana nime-conclude kwamba watu hawachaguliwi kuwa ma-raisi ili wabadili maisha ya watu... huchaguliwa ku-keep things the way they are.... and if you against this doctrine.. you must be eliminated
 
..."Kwa ugonjwa huu nitakufa. Watanzania wale watalia sana,.. mimi nitawaombea kwa Mungu"...
Tutakukumbuka Mzee...
R.I.P
Amen
 
Profesa,
Udhaifu huo uliouona unaweza ukasababishwa na sumu inayouwa taratibu! Asernic na nyinginezo. Pia dalili zaweza (coveniently) kuonyesha Leukemia.

I can dare say Yes! Mwezi wa July 1999 kulikuwa na kongamano la Mwalimu Nyerere na nilihudhuria. Lilifanyika kijijini kwake Butiama. Mwalimu nilikaa nae kti kimoja na tulipata kuongea mawili matatu. Alionekana dhaifu sana kimwili, ingawa kiakili na spiritually alikuwa bado very strong. Alikuwa amepoteza rangi kabisa naweza kusema alifanana kabisa na zeruzeru na kichwa chake chote cheupe, alikuwa akitembea kidhaifu na wakati wote alikuwa na miwani myeusi! Wengi tuliokuwa pale tulikwisha anza kuteta na kuulizana kinachomzibu Mwlm Nyerere. Afisa mmoja wa Usalama aliyekuwa karibu alitufahamisha kuwa alikuwa akiumwa muda tu kwa sasa na kuna siku moja aliwahi kumuuliza Raisi wa wakati huo B. W. Mkapa "je, umewaeleza watanzania ninachoumwa?" alimalizia afisa huyo. Alipofariki mwaka huohuo October 14 1999 niliweza kuamini kabisa taarifa za vyombo mbalimbali vya habari kikiwemo cha BBC ambacho kilisema ninankuuu "The 77-year-old statesman was diagnosed with leukaemia in August 1998 and was being treated in a London hospital" tazama hapa: BBC News | Africa | Tanzania's Nyerere dies
Sishawishiki kabisa na propaganda yeyote itakayosema kwa umri wake na hali ambayo niliishuhudia mwenyewe kwa macho kuwa atakua ameuwawa. Tayari alikuwa dhaifu sana na kama tutakumbuka aliondoka hapa kwenda kwenye matibabu na si vinginevyo! Hivyo basi, naamini kabisa, Mwl. Nyerere alifariki kwa kifo kinachotokana na ugonjwa aliyokuwa nao na si vinginevyo.
 
nimefwatilia comments nyingi humu nikaona na mimi niweke yangu ili niweze ku share na wana JF.

1 - Kwenye ukoo wa MWALIMU kuna tatizo la kuweweseka kiakili ambalo sio permanent, ila huwa linatokea tokea. MWALIMU akiwa kama mwanaukoo alikuwa nalo, na ni watu wake wa karibu sana walikuwa wanalijua, akiwemo mpambe wake.

2 - MWALIMU ametoka Tanzania kwenda kwa matibabu ulaya akiwa na hali ya kiafya nzuri ingawa alikuwa amedhoofika kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa aliokuwa nao.

3 - MWALIMU ameeingia hospital, ulaya akiwa na nguvu zake, infact alikuwa anatembea mwenyewe na kuongea na watu kama kawaida.

4 - Ghafla akapatwa na kuweweseka kwa akili, ugonjwa ambao mpaka hii leo unasumbua ukoo wake.

5 - Ili kumtuliza then baadae aendelee na clinic schedule yake, docta wake akampa dawa ya usingizi.

6 - Huo ndo ukawa mwanzo wa safari ya kurudi mavumbini, kwani MWALIMU hakuweza kuamka tena kutokea hapo, na mwisho tukamzika.

Niko tayari kukosolewa kama kuna mtu anajua zaidi ya hapo na aweke wazi.

Naomba kuwasilisha!
 
Kuna madai kwamba mmoja wa walinzi wa EL alikuwa mmoja wa walinzi wa marehemu wakati ule. Does it bring sense?
Natumai hata yule jamaa mwenye kichwa cheupeeeeeeeeeeeeee alifurahi sana na genge lake la mafisadi wa Igunga.
Siku moja katika pitapita zangu nilimsikia jamaa mmoja pale UDSM akitamka kuwa wakati mwalimu akiwa hoi hospitalini kule UK, kiongozi mmoja mzito kabisa wa nchi alikwenda Marekani kuwaaambia kuwa yule jamaa anayezuia kuchimba madini yuko hoi hospitalini kamumalizieni.
 
only God knows, ila kama unaushahidi sema tukusaidie kisheria itakuwaje, ila wazo lako lilikuwa na maana sana kama ungesema mambo yatakayopelekea kifo cha mwl. kabla mauti hayajamkuta, kwa sasa wazo lako halina msaada sana kwani hata tufanyeje hawezi kufufuka. Good idear but too late.
 
Ni vizuri kujua maradhi yaliyosababisha viongozi wetu wanapokufa. Naomba kujua Nyerere alikufa na maradhi gani au alikufa kwa sababu alikuwa mzee, yaani ameshafikia umri wa kuondoka duniani.

Nauliza hili swali kwa sababu naona mkewe (Mama Maria) bado yupo strong (afya njema).
 
Alikufa kwa ugonjwa wa 'UKIMYA' ambao huu ugonjwa m2 hufunikwa kitamba uson na sura yake huenda kuchezewa na jini hii inahusisha zaid na freemason coz nyerere alikufa cku mbili kabla ya tarehe 2liyoambiwa na mh. Fupi.
 
Ugonjwa uliomuua Nyerere ni manjano na kansa ya damu. Baada ya kufa akazushiwa ngoma!
 
Alikufa kwa Leukemia ambayo husababisha upungufu wa kinga mwilini.
 
Back
Top Bottom