Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

kuna jambo limejificha katika hili, na kifo cha sokoine na kile cha Dr omari ni ngumu kuvitolee ushuhuda
 
can you come up with types of death you know before thinking about mwl 's dealth .
 
Most prominent guys like Mwl. Nyerere die and yet leave unanswered queries. All in all we loved him and we are proud he did everything his country wished of him....VIVA Mwalimu!!!
 
siyo lazima historia yote ikamilike ukiwa hai lakini tukiikubali falsafa kuwa mwishoni kweli itashinda juu ya uwongo basi kama kuna muuaji wa Nyerere,Sokoine,Kassim Abdul Hanga,John Okelo, Kolimba na wengineo wenye historia anuai basi iko wakati yatakuwa wazi,na sababu au maslahi yaliyopelekea kukawa na mauaji hayo yatafumbuliwa.Tusisahau ainisho la kwamba historia siyo tu rekodi ya maisha ya mwanadamu bali pia kuwa historia yote iliyoandikwa ni suala la mapambano ya kitabaka walau kwa mujibu wa Karl Marx
 
Muuliza swali kama umeanza kwa guu baya vile!!! Salam haipunguzi kitu na hata sema tu samani. Kamwe hutokaa ufike hapa sebuleni usimkute mtu. Hebu kwanza rekebisha neno Deth hapo juu liwe Death.
Swahili bwana
 
hii thread ngumu kuchangia... Mi namwomba Jason bourne au mtoahabari hata Pasco kwa njia ya PM au email tujuzane.. Kama ile ya waraka wa wanajeshi,wengi tuliipata kwa njia ya email.
 
Mimi, Andrew, ni mtoto wa Mwalimu Nyerere.

In 1986, when I was in India, I had a dream and in this dream I was propelled by some force, to a place where quite a few people were gathered, some of them White youths sitting on the grass. And I asked them,''Why are you people gathered here.?'' And they answered me,'' Have you not heard that Mwalimu is in a coma?''

Kwa hiyo I have always been of the opinion that Mwalimu died a natural death.

du hii kali. Pole bwana.
 
Sina haja ya kupiga hodi once upon a time I used to be senior member!
What I can tell you as a layman all death are natural because people are born by nature and all die by nature!
The only difference is the cause of death it can be natural or forced. Without mixing words with due respect the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere was just killed like many innocent citizens. We all know that he just went to UK for a medical check up I stand to be corrected. He waved as he boarded the last plane to UK and looked healthy.I had my difference with his political thinking and practice but still liked him because he was a man of his own words no nonsense ! He did make a lot of silent enemies and the British are number one; like in Venice merchant storie they would have liked to get a pound of flesh from him alive because he took Tanganyika away from them and dont rule out the people whose properties were nationalised by Nyerere with the Arusha Declaration! There are a lot of
conspiracy theories behind his death in short most of the information has not been de- classified. Let's let the dead RIP ( rest in peace) The stories goes on and on. To cut a long story short; Sokoine was murdered, Imran Kombe threatened to spill the beans after the first multi- party election in 1995, Dr. Omari died because of the mix up of the slow poison intended for Museveni at the dinner table and he politely ate that quick killer poison. You can carry on with names until infinity! The bottom line is irrespective of your status always be nice to people!:A S 465:
 
:embarrassed:
Heshima kwako Mag3,

Mkuu nakubali hoja yako zipo sababu kibao zinazothibitisha unayosema.Mfano mmoja mkubwa baada ya kifo cha Mwl tulishuhudia Mkapa akianza kufuja mali za umma na mikataba mibovu kuliko ile ya Liberia iliyokuwa inakabiliwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Ukiutazama ufisadi ulivyotamalaki Tanzania hakika unabakia na jibu moja kubwa Mwl hakutuchagulia mrithi sahihi.

mwalim alituchagulia mtu makin sana aliyetutoa katka ombwe la ombaomba.alikuza uchumi,mkapa ni mwanaume hakuna wa kumfikia.huyu jk anajua vema kuwa mkapa ni kichwa.kifo cha mwl wanakijua kina JE
 
Sina haja ya kupiga hodi once upon a time I used to be senior member!
What I can tell you as a layman all death are natural because people are born by nature and all die by nature!
The only difference is the cause of death it can be natural or forced. Without mixing words with due respect the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere was just killed like many innocent citizens. We all know that he just went to UK for a medical check up I stand to be corrected. He waved as he boarded the last plane to UK and looked healthy.I had my difference with his political thinking and practice but still liked him because he was a man of his own words no nonsense ! He did make a lot of silent enemies and the British are number one; like in Venice merchant storie they would have liked to get a pound of flesh from him alive because he took Tanganyika away from them and dont rule out the people whose properties were nationalised by Nyerere with the Arusha Declaration! There are a lot of
conspiracy theories behind his death in short most of the information has not been de- classified. Let's let the dead RIP ( rest in peace) The stories goes on and on. To cut a long story short; Sokoine was murdered, Imran Kombe threatened to spill the beans after the first multi- party election in 1995, Dr. Omari died because of the mix up of the slow poison intended for Museveni at the dinner table and he politely ate that quick killer poison. You can carry on with names until infinity! The bottom line is irrespective of your status always be nice to people!:A S 465:
Na laana ya kifo kile itawatafuna na watasema yote kama vichaa barabarani kuhusu yote waliyotenda huku wakitajana kwa majina na vyeo vya wakati. Nitafarijika sana wakati huo kama mungu atanijalia uhai nije niuone ushuhuda huo na bahati nzuri ya wakati ni kwamba Katiba mpya itakuwa kazini.
 
Kifo cha Mwalimu hakika bwana nywele nyeupe alikifurahia sana and he might be among the archtect kwani alishawahi sikika akitamka kwamba 'mtu yeyote atakayeingilia safari yake ya kisiasa nchini atam-wipeout'
 
Mimi, Andrew, ni mtoto wa Mwalimu Nyerere.

In 1986, when I was in India, I had a dream and in this dream I was propelled by some force, to a place where quite a few people were gathered, some of them White youths sitting on the grass. And I asked them,''Why are you people gathered here.?'' And they answered me,'' Have you not heard that Mwalimu is in a coma?''

Kwa hiyo I have always been of the opinion that Mwalimu died a natural death.

in your dream Mwalimu was in coma, not dead. in 86 it meant that he was out of active politics.
The whites seaten in green grass indicated that after Mwalimu tenure foreigners will find Tz their green pasture and they did.
pasture got greener when Nyerere was drugged into coma and died.
I weep for Nyerere
 
Horace Kolimba, Imran Kombe, Edward Sokoine, na Gibbons Mwaikambo walikufaje? Hiyo ndiyo Danganyika ndugu zanguni.
 
hilo swali ni sawa na kuuliza ghaddafi aliyekufa ndo mwenyewe au siyo. au bin laden alozikwa baharini ndo yeye au la!
:yawn:
 
Hello all
nafurahi kusoma maoni yenu lakini kumbukeni kuwa tumeambiwa katika vitabu vitakatifu kuwa hakika kila nafsi itaonja mauti . kwa vyovyote vile kufa ni kufa tu.
 
death itself is natural. there is no artificial death so am confused with ua question bcoz the cause of death can not b natural but not death. so mwl died a natural death!
 
Kumbukeni mtandao wa mafisadi ulijiandaa kuchukua nchi tangu 1995 na hawengeweza kutimiza lengo lao mwalimu akiwa hai! Tafakari.......
 
Back
Top Bottom