Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

Kansa aliyopandikiziwa JKN aliipata through toilet paper south africa! walio-initiate na ni UWT !!! baada ya kupata go ahead ya watu wazito walio nje ya nchi hii, they tried several time to poisson him through food, they failed!

Nyerere alikuwa mwiba kwenye globalization though alikuwa dictator kwenye demokrasia!

Mungu awape kansa wote waliohusika kumwondoa Baba yetu.
 
I guess let the begone...

Tulimpenda sana lakini bwana alimpenda zaidi. Kama kifo chake kilikuwa na mkono wa mtu basi na damu yake iwashukie hao waliotend na kizazi cha pili hadi cha tatu, na walio na imani na bwana waseme AMEN
 
Politiks is a dirty game hapa bongo so every top guys in the government will have many secrets surrounding their deaths
 
WAZUNGU WASEMAVYO JUU YA KIKWETE/VIONGOZI WA TANZANIA
Ni baadhi tu ya maoni katika habari iliyochapishwa kwenye gazeti la The Guardian, la Uingereza, yenye kichwa cha habari, "Davos 2012: All the developments from day two of the summit".
RichardBrunwick
26 January 2012 2:33PM
Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the world in terms of natural resources, yet he leades the world with begging. Foreign companies have known Tanzania to be a free land in which you can go in and take all you can without being asked a question. I really don't get the mind set of its leaders especially their prsident Mr. Kikwete, a Muzungu worshiper. Having worked with the UNDP in that country for 8 years, I realized how inneficient and corrupt the country's leadership is. His ministers that requested bribes from BAE have never been tried despite the damning evidence against them. British TAX payers must stop funding this man's corruptin and foreign trips. His human rights record is horrible. Mr. Kikwete had no business of going to Davos to ask for foreign aid. Already his country is the world third leading foreign Aid dependant nation. He should be embarassed to say to the world that people are poor. His people living "hand to mouth " is his own is own ignorance and stupidity.That is hiw own problem, Brits are having their own problems he must realize that. We cant bankroll his foreign trips. He should make good use of his country's wealth. Instead of letting his corrupt officials and foreigners loot his country, he needs to think before letting himself be a global loughing stock. I read in one of the regional (kenyan) publication the mockery nature related to his frequent foreign trips. Palestinian, Haiti, Lebanon, Somalia and even Rwanda economies are more robust that of Tanzania. We must question the nations that welcomes this "Joker's" request for AID. He needs to be on a "no-fly" list so he can be serious. Hopefully the billionaires questions what he has done with the Money he has received for decades. The Arab spring should turn into the African summer and get rid of the Kikwete likes(Latest US news, world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian discussion/comment-permalink/ 14344505)
LindaCroucher
26 January 2012 3:50PM
Response to RichardBrunwick, 26 January 2012 2:33PM
This man did not deserve to be a head of state. He has no credibility. How can a head of state be bribed suits? We must write Downing Street and our parliament, and let them know that Aid to some of these african countries ought to STOP. nyerere the founding president of tanzania was a visionary even though his socialist policies failed, but he was a nationalist and a true patriot.Kenya, Rwanda, Ghana have seen far and are on the roll to economic dependence. Kikwete, and his chrony of rulling elites getting richer and richer. These people have no electricity yet the country has so many dams and rivers. There should be a policy to bar all corrupt leaders and their children from stepping into the EU.I dont blame Kikwete, i blame Tanzaians for letting this happen. They should be 100% responsible for their poverty and suffering. We just dont need them to come for Aid. We have many Brits out of work, and that money should pay for their Unemployment Benefit(Latest US news, world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian discussion/comment-permalink/ 14346120)
LindaCroucher
26 January 2012 4:01PM
African problem is more than foreign aid. They are not ready for economic transformation. In Tanznaia today, they have started the leadership inheritance in which the old guards passess on the torch to their children. we should not expect anything serious from African nations. If it means our money, lets cut it off. We have so many social problems to deal with people's own created miserybecause they will never have free elections without someone stffing ballot boxes and ready to let the whole country in flames as long as they remain in power and their children in top american and british schools(Latest US news, world news, sport and comment from the Guardian | guardiannews.com | The Guardian discussion/comment-permalink/ 14346365)
Ukitaka kujibu maoni hayo na/au kusoma mengine, bofya hapa ufuate ukurasa husika katika The Guardian
 
Nilikuwa na imani kuwa Nyerere alikufa kwa saratani ya damu kama tulivyoambiwa na wataalam. Niliposikia mmoja wa watoto wake wakiilaumu serikali kuwa ilikuwaje awe na saratani hiyo bila madaktari wake kujua hadi ijitokeze ghafla na kumwua, sikuona mantiki ya hoja hiyo. Kadri swali hili linapoulizwa na mazingiria mapya yanayoonekana hapa ni kama vile huenda alipandikizwa sumu iliyoingia kwenye bone marrow na kuonekana kama kansa ya damu, na sumu hiyo hiyo ndiyo aliyopandikzwa Mwakyembe pia na lakini yeye kukawa na reaction ya kuharibu ngozi yake badala ya kuharibu chembe za dmau.
 
Kichuguu, mwalimu was the obstacle so siwezi kupinga, whatever you just said does make sense.
Haya yanayofanyika sasa hivi yalianza kipindi kifupi kabla hajafa, kama timing flani hivi, angeishi zaidi kidogo tu, sijui wangejificha wapi!
 
Kichuguu, mwalimu was the obstacle so siwezi kupinga, whatever you just said does make sense.
Haya yanayofanyika sasa hivi yalianza kipindi kifupi kabla hajafa, kama timing flani hivi, angeishi zaidi kidogo tu, sijui wangejificha wapi!
You don't need evidence to believe in these speculations?
 
You don't need evidence to believe in these speculations?
The powerful always determines what goes down on the history.

Naamini ushahidi kama upo, utakuja ama kutolewa na wenye nao kwa wakati muafaka.

Wakati bado ni speculations, badala ya kuuliza kwanini sihitaji ushahidi, ni vyema tukatizama kama ni kweli hayo Kichuguu aliyosema yanawezekana.

Pili, kama ni kweli madaktari wake walikuwa wazembe kiasi cha kuto idictate hiyo cancer mapema, hadi just shortly before it got worse.

Specualation hii iko zaidi upande wa kisiasa, just kama ilivyo ya Mwakyembe, na topic hii tulisha idiscuss zaidi a couple of years ago.

The fact kwamba mwalimu alikuwa anaandaliwa ziara zake za kumnadi Mkapa kwenye kampeni zake za urais mwaka 1995 na maadui zake ambao ndo sasa wako extremly powerful.
 
Kuhusu kifo cha Maalim tulitangaziwa na Nkapa aliyekuwa Rais wa enzi hizo kuwa kafa kwa kansa ya damu (Leukemia) iliopelekea ukosefu wa kinga mwilini. Sasa kama hiyo ni natural death au sio mimi sijui, kwa sababu mimi naamini kifo ni kifo tu zingine zote ni sababu.

Ila tukio la kabla ya kifo chake kwa mwaka mmoja na nusu ndio la kuongelewa ingawa wengi hawapendi kulisimulia, alikuwa akisherehekea kuzaliwa kwake na akasema haoni sababu kwanini na yeye asifike (umri aliofika mamake), hakujuwa kuwa Mungu hakupi sababu za kifo, sababu tunazitoa sisi wenyewe. Baada ya BD yake hiyo akagundulika na ugonjwa huo? BD iliyofatia (na ya mwisho kwake) akabadilisha ule usemi wa kwanini asifike umri wa mama'ke na kutoa vifungu vya biblia vya makumi mangapi sijui na makumi mangapi.

Mungu hataniwi wala hafanyiwi kejeli.
 
Mwalimu kama ilivyo kwa mwanadamu yeyote yule, alikuwa ana "hofu" kuhusu kifo.

Kuna wakati alisema haya, "Nikifikiri kuhusu siku ya kufa kwangu, huwa nachanganyikiwa"
 
kinachonishangaza hapa ni kwamba watu wanatoa comments kuwa Nyerere angekuwepo angewakomesha mafisadi! Kwahiyo watanzania wote 40m tumeshindwa kuukomesha ufisadi, ila mtu mmoja ndio angeweza. Na bahati mbaya mtu mwenyewe alishafariki. Inashangaza sana? Acha mafisadi watutafune mpaka tutakapozinduka kutoka usingizini
 
I have always failed to be convinced that Mwalimu Julius Kambarage Nyerere died "A natural death!"

It is a good question but maybe you could put it this way: What exactly caused a death of Mwalimu Nyerere? Vincent Nyerere has given some clues!!
 
Sasa tunaelekea pazuri kuhusiana na siasa za nchi yetu!
Hakuna atakayesalimika hadi ijulikane kwanini watu wanaichezea hii nchi watakavyo!
Kwa suala la kifo cha Mwalimu, nimeachwa hoi na madai ya huyu mwanafamilia wa Nyerere!...Atathibitishaje madai mazito kwa Mkapa na ccm?
Hii tayari ni kesi ya Kimahakama!
 
Back
Top Bottom