Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Aisee bro Samaritan Nemesis kwa jibu hili you have racked and gave a big lose to Chaliifrancisco. 👉Maana kwetu kwenye hip hop Nas ni legend.💪🙏.Aaaah Ja Rule upo??? Intelligent businessman uko wap NAS
We Acha tu! Ndiyo maana hata akicheat unasamehe ingawa roho inauma. Kuanza na mwanamke mwingine ni shida tupuKabisaa maana kuanza upya ni shida hadi kuzoeana tena
Expectations were different with what I seeWhy ? Do you think it wasn't a right choice? Or after things have changed ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ai hev not marid bat iven if i did ail kontinyo tu chuz ze aza andi ze aza wan agen 🍻
no i married the wrong person but there is no way i can break the marriageHappy Sunday to everyone!
For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the same person you are married to now? and why? kindly share your observations, we might learn something important from it.
Swahili Version:
kwa wanandoa, je umeoa/umeolewa na mtu sahihi? japokua binadamu tunamapungufu, je muda ukirudishwa nyuma ikawa kama ndiyo ile siku ya kufanya uamuzi wa kuoa,kuolewa tena je utamchagua mtu huyu huyu ulienaye sahivi?
Have a nice sunday's evening.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimechekaNitoe mchango wangu sasa.
Mimi huku kwangu kuna waka moto tuna siku tatu hatusemeshani. Kwahiyo kwa namna alivyonikera siku zikirudi nyuma kama mada inavyosema sio tu sitamchagua bali siku tu akija kunitongoza atajuta.
Ah amenikera sana.[emoji23][emoji23]
Msamehe bhana hakuna alieperfect mvumiliane tu
Enheee hapo hapo.Hii comment imenisismua.. sjui umalaya unanisumbua!!!
Mkuu wewe na Mimi chama kimoja!!, still I will be single!! Ni amani sana sana!!nikipewa hiyo option still nitachagua kuendelea kuwa single
Dah pole mkuuMke nipo naye kwa sababu ya huruma yangu
Ila baada ya kuwa nimempa mimba sikuwez kukataa ila sikuwahi kuwa na lengo naye na ni mtumishi
Ni jeuri sana mbishi mpaka kero
Inafika mahala hata kuingea naye sitak hata kujihangaisha hata nisafir mwezi mzima
Kinachofanya nashindwa kufanya maamuzi magumu
Ni watoto tu ambao kwa sasa ni wawili
Nikiwaangalia watoto sitamani walelewe na mama mwingine n hapo ndipo inanigharimu
Kwa sasa kifupi ni vile tu basi
Duh vipi haumiss ila babe umekula?Mkuu wewe na Mimi chama kimoja!!, still I will be single!! Ni amani sana sana!!
Safii👍Huyuhuyu, sijaona bado kama yeye pamoja na kuzurula kote huku
Huwa nazimiss but nikingia tu kwenye mahusiano naanzakuona makero! ,Huwa naona mausumbufu sometimes!! Napenda Uhuru wangu wa kuamua mambo yangu mwenyewe Mara nyingi huwa natafuta sababu ili niwe peke yangu!Duh vipi haumiss ila babe umekula?
Pole SanaMke nipo naye kwa sababu ya huruma yangu
Ila baada ya kuwa nimempa mimba sikuwez kukataa ila sikuwahi kuwa na lengo naye na ni mtumishi
Ni jeuri sana mbishi mpaka kero
Inafika mahala hata kuingea naye sitak hata kujihangaisha hata nisafir mwezi mzima
Kinachofanya nashindwa kufanya maamuzi magumu
Ni watoto tu ambao kwa sasa ni wawili
Nikiwaangalia watoto sitamani walelewe na mama mwingine n hapo ndipo inanigharimu
Kwa sasa kifupi ni vile tu basi
Ebu wee tuambie aliyekuoa vipi? Utambwaga ili upate better man?Happy Sunday to everyone!
For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the same person you are married to now? and why? kindly share your observations, we might learn something important from it.
Swahili Version:
kwa Wanandoa, je umeoa/umeolewa na mtu sahihi? Japokuwa binadamu tunamapungufu, je muda ukirudishwa nyuma ikawa kama ndiyo ile siku ya kufanya uamuzi wa kuoa, kuolewa tena je utamchagua mtu huyuhuyu ulienaye sasa hivi?
Have a nice sunday's evening.
Kumbe mtoa mada hajaolewa 🤣🤣🤣🤣Chonde chonde nawasisitiza mtakaokuja kuchangia. Comments ziwe fupi fupi, mleta mada bado hajaolewa, sasa angalieni msije kumtisha
Njoo tukemee wote😍Enheee hapo hapo.
Umalaya unakusumbua. Kemea hilo pepo.
Mi nakukubali mwanangu.. hata tunda kimasihara unakulaga kama NasAisee bro Samaritan Nemesis kwa jibu hili you have racked and gave a big lose to Chaliifrancisco. 👉Maana kwetu kwenye hip hop Nas ni legend.💪🙏.