Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Uzuri wa ndoa Ni kufunga hapo serikalini..
Kabla ya kuuana na depression unaenda omba talaka yako unajisogeza na maisha mengine.
Ukiamua kukaa na magonjwa yako ya moyo basi unaenda muimbarani.
Ila mkimjua Mungu na kumueka aongoze ndoa yenu inadumu.
Kama Huna uhakika wa kutunza hata moyo wako mmoja achana na ndoa fanya mengine.
 
The moment I laid my eyes on her she was already my wife😜😛🥴 ndoa zonaandikwa mbinguni duniani ni ushibitisho tu😀

Nilikuw muhuni hata mzabzab huoni ndani kwanza nilikuwa na fantasy za public places 😃
Utakuwa uligegeda demu kwa lecture hall wewe hapo ifm🤣🤣🤣🤣

Dah kwa hiyo sie wazee wa kataa ndoa ni kwamba mbinguni majina yetu hayapo? 🤣🤣🤣
 
Utakuwa uligegeda demu kwa lecture hall wewe hapo ifm🤣🤣🤣🤣

Dah kwa hiyo sie wazee wa kataa ndoa ni kwamba mbinguni majina yetu hayapo? 🤣🤣🤣
Kila jambo lina wakati wake 😀

Motoni lazima uwakute watu wote wa kataa ndoa. Hakuna atayebaki hususani huyu Santos06 dp picha yake inafikirisha sana.
 
Uzuri wengine nafsi zetu zinatusuta kabisa kuwa sie sio wa peponi ni moja kwa moja kwenye moto. I have made peace with that fact.
Huko motoni tutaenda wote mkuu,usijari tutakwenda na fire extinguisher kopo moja moja,
 
Nilikutana nae siku ambayo niliachika kutoka kwa ex wangu Angel. Huyu angel nilimpenda sana. Siku ananiacha naelekea posta chuo nikawa namuomba Mungu njia nzima. Nikashuka kwenye daladala posta, sikusitisha maombi mpaka naingia chuo mlangoni IFM bado nilikuw naomba nasali rozari. .

Kwa waliosoma IFM ukipandisha njia ya function hall. Nikiwa ghorofa ya kwanza nikakutana nae (mke wangu) aisee moyo ulipiga sana just watching her passing me by. Nilielekea ghorof ya nne, moyo unanambia huyu dada ndie chaguo lako ila siamini amini. Nikiwa nashuka ngazi nikasema tena kama nikikutana nae she again she is the one. Nilishuka and I net her again on stairs aisee niliona mazingaombwe hata sasa. .

Nilivyofika chini nikaa kama dakika tano hivi nikasema na mama Maria. If I meet her this time I will believe she is the one. Yesu wangu naapa I met her again tena nae yuko as if she was waiting for me. I just went close to her and get lost in her eyes. She just stared back at me and I was just looking at her without saying anything. .

I said Hi, I am Gilbert. She just smiled at me🙂 Can I have your number? I handed her my phone. She held my phone without typing anything just thinking. Then she gave me her phone to type my number. Nikafiri perhaps hataki kutoa number zake. Ila that night she called me and there started the beautiful friendship. .

Next day I met her and told her I am crazy about her. She didn't say anything. I kissed her lips surprisingly she just look at me. Hakuwa mtu wa kuongea wala maneno. But nimemchangamsha now sio kama back them..Aisee mimi ninaongea kama charahani I can't help it. .

In a month she offered me her virginity. Never thought msichana yuko chuo awe virgin. All I say the next day akinicall alilia sana. She was so scared that I will run away. She was worried I wouldn't marry her. But my word is my life. I was already commuted to her by blood. .

Amekuwa mshauri mkubwa sana kwangu. In 2016 for the first time alinishauri nijenge na nilimbeza. I told her " Niache kwenda zangu China nijenge? wanaojenga ni waoga, ngoja niende China twice nanunua nyumba ya huyo anayejenga sasa". Usiku moyo uliniuma sana nikikumbuka nilivyomjibu.


To make the story short nimejenga nyumba moja ya familia ndogo. Nimejenga nyumba nyingine very very big apartment ya watu wanna. Ila sijaimalizia. Wale ambao walikuwa wanaenda China wote walifilisika kipindi cha magu nikawaza kama nisingemsikiliza je. Nina heka 20 pwani, kiwanja kibaha. Ila hapa sijahesabu vya kupewa. .

How do I know she is the right person for me. Ukiona mapenzi yako hayana maendeleo yani hayakui ujue hauko na mtu sahihi. Binafsi naamini amenikuza sana kwa sababu si mtu mwenye makuu. .

She has given me a very beautiful daughter. This month in two weeks I will have another child with her. Mungu kanibariki sana na maisha yangu sihisi kama nimepungukiwa na kitu. Hata nikipoteza something will even out. .

Kuna mda nawaza was she someone I knew from the past. Maana naweza waza jambo tukiwa pamoja na yeye akawa anawaza (hii imetokea mara nyingi). I dream about things na yeye anakuwa anaviota (hii imetokea sana). Kuna mambo sihitaji kuandika hapa ila nayaweka moyoni ila ni juu ya uweza wangu sisemi kwa sababu I swore I will never tell a soul. Naweza onekana chini. .

Let me say one thing tho. Kuna mda nilitaka kumuacha I was so freaked out. Nikiwa Road nilibebwa na gari ndogo mzoba mzoba. Second time I tried to leave her it happen again. Nilikuja notice the third time kuwa there is a pattern. Huyu mwanamke ni mtu wa maombi sana nahisi nikinuacha itakuwa mwisho wa maisha yangu. Nilitaka kumwacha sio kwa sababu simpendi hapana, kwa sababu I was so sick kipindi flan (my body release adrenaline and have some issues with nervous system). Ila si unajua watu wakiumwa wanawafukuza wanaowapenda. .

Its very scary to love someone but for us its mutual. Our first child died. Ningekuwa na watoto watatu sana. She cried there in hospital watu walituzunguka. The doctor said "mimba imeharibika". This broke my heart but to see her crying it torn my heart in pieces. That day I knew how lost I am in her and I will never try to fight it again. I am totally in let them call me crazy coz I am crazy over her. She understands me and my weird sense of humour. .

......
What an interesting story, thank you for sharing mkuu, couple yenu idumu hadi muone vitukuu pamoja🥰
 
Utii kamilifu kwa mume na maadili mema, pia huambiwa pepo yao hukamilika pale unapomtendea yaliyo mazuri mmeo!
Ok ila mbona hata sisi wakristo Bible imeandika wake waheshimuni waume zenu, hapo kwe heshima si ni pamoja na kutendeana mema🤷
 
Back
Top Bottom