Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

To answer your question yes I Will still marry her.
Sijawahi msaliti wala kutembea na wanawake wengine. Amekuwa mshahuri wangu mkubwa n hata tumepata maendeleo makubwa sana. 9 years together 😊

I am 32 years old now, she is 29 years old this month. Ushauri wangu vijana wajifunze kufurahi pamoja. Yani naweza enda hata posta nikatamani kula nyama choma ugali ila siwezi kula mwenyewe nitakula kwa shida sana. Nikirudi na msosi (take away) basi tukala mezani nitafarijika sana. .

Nashangaa sana hawa watu na kampeni ya kataa ndoa. Nawaza tu wanakumbwa na vitu gani. .
Ahsante kwa chai Gily
 
Mke wangu sijui kama ni mtu sahihi au la ila tunashare vitu vingi sana,chemistry yetu ipo high sana.

Hata nikipata mcheouko,utakuta mchepuko yupo poa sehem moja tu,lakini sehemu nyingi anaachwa.kuna muda wife ananikera sana lakini mwisho wa siku yeye ndio mtu pekee huwa ananijulia na kunipa furaha ya juu sana.

Wife tunachambua nae hip hop vizuri kabisa,anamkubali dizasta,conboi,p mawenge, na nash mc,mimi ndio nipo addicted na hip hop kabisa. Sasa hiki kitu kinamfanya credit iwe juu sana kwangu hasa akiwa ananichania ngoma ya kanisa by dizasta

Ana gud positive interaction anapokutana na watu wangu,anawapenda ndugu zangu,she cares for me and love me so much,

Kero yake ipo kwenye kudeal na simu yangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana deal vip na simu yako bruh 😄 kila akiishika anachomoa betri sio 😆
 
Ooh pole dear ila tafuteni suluhisho myamalize, thread ilikua inaenda vizuri comment hii tena kutoka kwa mdada dah😌 polee. Ila before si mmeshawahi kuenjoy sana tu? Binadamu hatujakamilika, utakua tayari kuanza upya na mwingine au bora huyo atleast unamjua jua kidogo🤭
We umeanzisha uzi afu tayari ushachagua upande 😁🤸‍♀🙆‍♀️
 
Happy Sunday to everyone!

For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the same person you are married to now? and why? kindly share your observations, we might learn something important from it.

Swahili Version:
kwa wanandoa, je umeoa/umeolewa na mtu sahihi? japokua binadamu tunamapungufu, je muda ukirudishwa nyuma ikawa kama ndiyo ile siku ya kufanya uamuzi wa kuoa,kuolewa tena je utamchagua mtu huyu huyu ulienaye sahivi?

Have a nice sunday's evening.


Hello madam, nowadays whenever you talk about marriages you need to distinguish which is which for our society, precisely the world society at large is currently befallen into mess of several types of incestuous marriages including animals to human marriages, humans have reached an extent of choosing animals as their spouses let alone the homosexual marriages, in categorizing it will be a way to stop those who are in the incestuous marriage to contribute about their marriages, in other words you will be stopping lest they publicize about their marriage in this platform.

I, myself specifically suppose that you are lalking about the natural human to human heterosexual marriages.
 
Mke nipo naye kwa sababu ya huruma yangu
Ila baada ya kuwa nimempa mimba sikuwez kukataa ila sikuwahi kuwa na lengo naye na ni mtumishi
Ni jeuri sana mbishi mpaka kero
Inafika mahala hata kuingea naye sitak hata kujihangaisha hata nisafir mwezi mzima

Kinachofanya nashindwa kufanya maamuzi magumu
Ni watoto tu ambao kwa sasa ni wawili
Nikiwaangalia watoto sitamani walelewe na mama mwingine n hapo ndipo inanigharimu

Kwa sasa kifupi ni vile tu basi
Sasa mtu humpendi inakuaje mnazaa mpaka watoto wawili
 
Tatizo hata option ya pili, tatu.....mpaka kumi bado mambo yanaweza kuwa hovyo, ngoja nikomae na mnyakyusa wangu
Very true.

Kuna tyme nilihisi manz yangu ina n cheat, ikabidi nianze kutengeneza wa kum replace mapema. Ndio nikaanza date manzi mmoja full dramas na Vijimambo, nikakaa chini na kufikiri nikaona manzi wangu ana afadhari mara 10 ya huyu new chick ikabid nirudishe majeshi

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom