Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Haa why? Una haraka gani si usubiri hadi ukipata chaguo sahihi? Wanasema better being late ila ufike salama
sina haraka, ila kuna scenarios mtu unaweza anguka ambapo sio...
1. Umempa mtu mimba alafu yanatokea mazingira ambayo yanakuforce kuwa na yeye tu
2. Unaempenda anazingua wakati ukiwa na majonzi anajitokeza ambae sie anajiweka karibu, unajikuta umenasa, kuja kushtuka ndoa tayari
(hizo scenario mbili nimeona zimewatokea watu sana, ila personally, i will wait, inshallah)
 
Hee unakua wapi muda wote? Kuweka heshima bar utumie pesa zote huko? Mmh hapo mimi mwenyewe kesho mapema nakuacha😀😀
Mara nyingi bar na marafiki na jamaa wengi wao wanauza pombe.Niwe na hela au sina ,vyombo vinatandikwa tu ila ntaacha maana kila nikikutana na bahasha za maombi.Nakuta namuombea baba G aache pombe na ajenge.
 
Mara nyingi bar na marafiki na jamaa wengi wao wanauza pombe.Niwe na hela au sina ,vyombo vinatandikwa tu ila ntaacha maana kila nikikutana na bahasha za maombi.Nakuta namuombea baba G aache pombe na ajenge.
Ooh see how your wife loves you na anapenda ubadilike, jitathimini mkuu atafurahi sana, thank you for sharing.
 
Ooh pole dear ila tafuteni suluhisho myamalize, thread ilikua inaenda vizuri comment hii tena kutoka kwa mdada dah[emoji18] polee. Ila before si mmeshawahi kuenjoy sana tu? Binadamu hatujakamilika, utakua tayari kuanza upya na mwingine au bora huyo atleast unamjua jua kidogo[emoji2960]
Asante babe.
Kuenjoy sana tu dear na hiki kisirani ni cha juzi tu nahisi tukiyasolve uamuzi unaweza kubadilika pengine nitamchagua.
 
Nitoe mchango wangu sasa.

Mimi huku kwangu kuna waka moto tuna siku tatu hatusemeshani. Kwahiyo kwa namna alivyonikera siku zikirudi nyuma kama mada inavyosema sio tu sitamchagua bali siku tu akija kunitongoza atajuta.
😂😂
Msamehe bhana hakuna alieperfect mvumiliane tu
 
Okay
Nilikuwa namaanisha kwamba hata kama ningekuwa nimeoa nikiletewa mtu mwingine nikiona kuna vitu kutoka kwake vinanivutia zaidi ya niliyenae nitambeba
Gat mi nau 😄
😂😂😂Bora chiz unaemjua kuliko kuleta kichaa mpya😀
 
Back
Top Bottom