Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

To answer your question yes I Will still marry her.
Sijawahi msaliti wala kutembea na wanawake wengine. Amekuwa mshahuri wangu mkubwa n hata tumepata maendeleo makubwa sana. 9 years together 😊

I am 32 years old now, she is 29 years old this month. Ushauri wangu vijana wajifunze kufurahi pamoja. Yani naweza enda hata posta nikatamani kula nyama choma ugali ila siwezi kula mwenyewe nitakula kwa shida sana. Nikirudi na msosi (take away) basi tukala mezani nitafarijika sana. .

Nashangaa sana hawa watu na kampeni ya kataa ndoa. Nawaza tu wanakumbwa na vitu gani. .

Wanakumbwa na wanawake WA mjini wenye usumbufu wao
 
The right one wa mtu ashachukuliwa huku (tena leo hii)
115AC3EB-24B8-4C14-87B9-31CD59B2583D.jpeg
 
Honestly, I didn't choose but was forced to.

Being in the house for the tenth year. I am so proud of her. If the time flies back, I will choose her then. And not have to wait to be forced. She is damn good.

Browse the incedent👇

 
If I could go heretofore in time, I would decide to love financial services.

I love her [emoji177] to the moon and back to infinity and beyond and more than words can speak out[emoji23].
Thank you to hear that, but stick to where you're now and tell if you could turn back to those days, would you still choose her?😀
 
Sanaaa toka 2013 mpaka leo.Kwa mwingine kesho tu anabeba mizigo mbioo na harudi tena.Kweli kila shetani ana mbuyu wake.
Unanifarahisha ni mambo gani hayo hadi mtu akimbie kesho tu😀 safi sana kwa wife kumbe mnaweza kutulia eeh
 
Huyu bi dada kuna kipindi huwa natamani hata kumnyonga ila sipo tayari kumbadilisha na yeyote yule.

Katika kila maudhi yake kuna uvumilivu na kujitoa kwa hali ya juu alikonifanyia kulikonifikisha hapa nilipo.

Mke wangu ni mke sahihi kwangu.

Kabla wajuaji wa kusema nisubiri nitaona basi waelewe naelekea mwaka wa 17 katika ndoa sasa. Nishayaona yote.
Waooo
Hongera Sana
 
Back
Top Bottom