Dida aongoza mastaa kibao kwenye birthday ya mtangazaji Warda

Dida aongoza mastaa kibao kwenye birthday ya mtangazaji Warda

Hawa watu wana vioo kweli? mwanamke sharti ujitizame kwenye kioo kama huna unamuuliza mahabuba wako,jamani huyu dida na wabluu mmmh!!!! halafu mabonge ajabu madera yangewapendeza sasa wameharibu kabisa
Nimewahi kusikia kuwa kuvaa ni kazi ya sanaa na si kila mtu anaweza kazi hiyo!!!
 
1. Sura mbaya
2. Shape mbaya, yameumuka umuka tu
3. Mirangi na make up mbaya
4. Wamevaa vibaya hata hawapendezi.
5. Yani wangejiona basi wasingeruhusu hizo picha kusambazwa.
 
Dizaini za kwa mtogole hizi. Lishe mbovu halafu wanajikoboa
 
Mtangazaji nyota la Planet Fm ya Moro

goro Warda Makongwa[mbele]akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na shosti wake Dida ambaye pia ni mtangaazaji nyota wa redio Times Fm ya jijini Dar kulia nI mwandishi Mwandamizi wa Global Publishers lssa Mnally Mzee wa GX 100 akitaniana na Dida

Kulini ni mdogo wa mwandishi wa Global Publishers lmelda Mtema ambaye naye alifunga safari kutoka Dar mpaka Moro kuja kwenye Birthday hiyo

Dida akiondoka kwa madaha baada ya kumuhusia mdogo wake huku Mc Chuma uleta akimkodolea jichoPICHA ZAIDI>>>>
makahaba wa bongomovie hawa
 
Halafu huyu dida kujichorachora hivi ni nini hasaaa.....afu uzeeni kote uku ndo anajichora heeee.......
 
Dizaini za kwa mtogole hizi. Lishe mbovu halafu wanajikoboa

Unamjua Dida vizuri? Ana uwezo was kukuweka ndani na kukulisha....ingia Dida mitikisiko blog. Ni mwanamke mtafutaji hasa....tatizo in huo mkorogo na kung'ang'ania mavazi ambayo haendani Nayo....
 
Unamjua Dida vizuri? Ana uwezo was kukuweka ndani na kukulisha....ingia Dida mitikisiko blog. Ni mwanamke mtafutaji hasa....tatizo in huo mkorogo na kung'ang'ania mavazi ambayo haendani Nayo....
Kwa jinsi alivyo lishe mbovu tu hata kama ana uwezo haimaanishi ana lishe bora!!
Lishe bora yataka kujua na determination, vyote hana!!
 
Kwa jinsi alivyo lishe mbovu tu hata kama ana uwezo haimaanishi ana lishe bora!!
Lishe bora yataka kujua na determination, vyote hana!!

Hill nalijua ila huyo jamaa amerefer Mtogole akimaanisha kuwa hana pesa......Swala lishe kwa Watanzania wengi ni mtihani wenye pesa na wasio na pesa. Kuna wanaodhani Pizza na burger ndo lishe bora ....

Na Dida hapo ndo afadhali....Siku hizi naye anakanyaga kanyaga gym......alikuwaga kama nyoka kifutu....
 
Mbona wabaya sana manyonyo mpaka yanataka kupasua sidiria, nguo sleeveless msidiria wa mama anayenyonyesha alikosa transparent straps?????
Mikwapa ina stretch-marks kama nyani mzee kabisaaaaaa!!!!

Ali review hizi picha kabla ya kuruhusu kuletwa???!!
Imagine akiwa ndani sasa kama "kujikwatua ndio kaishia hapo" unawsza kumkimbia. . . . . . Komweee aaaargh!!!!
Huyo wa nguo la bluu kama kakoswa koswa kubakwa huko alikotoka!!!

Hiyo koswa koswa umeniacha hoi.....Kwa kweli kuna uhuru wa mavazi lakini huu mwingine is a mission gome wrong....
 
Back
Top Bottom