Dida aongoza mastaa kibao kwenye birthday ya mtangazaji Warda

Dida aongoza mastaa kibao kwenye birthday ya mtangazaji Warda

Unamjua Dida vizuri? Ana uwezo was kukuweka ndani na kukulisha....ingia Dida mitikisiko blog. Ni mwanamke mtafutaji hasa....tatizo in huo mkorogo na kung'ang'ania mavazi ambayo haendani Nayo....
aniweke mie mjini my foot, kwa tuvihela twa sembe! cmon wa Tanzania tusiwe wavivu namna hii. illegal business doesn't count anywhere. picha za facebook na instangram ndo zinakufanaya imuone ana pesa cmon ndo maana tutaendelea kufa na umaskini milele na milele AMINA!
 
Hivi huwa wanajitizama vizuri kabla ya kutoka? Hizo nguo lo alafu walau zingekua zinaenda na hiyo miili yao basi
 
Lianzishwe jukwaa la fashion humu ili kusaidia watu kuvaa nguo zinazoendana na miili yao.

Wewe OLESAIDIMU utakua upande wa mwanaume!!

Ha ha haaaa kaka Deo Corleone mimi sina ujuzi mkubwa kiasi hiko, wako wajuzi humu wanaweza kutuongoza na sie tukabaki wachangiaji hapa na pale tukibadilishana mazoea
 
Last edited by a moderator:

Mtangazaji nyota la Planet Fm ya Morogoro Warda Makongwa[mbele]akiwasili ukumbini huku akisindikizwa na shosti wake Dida ambaye pia ni mtangaazaji nyota wa redio Times Fm ya jijini Dar, kulia ni mwandishi Mwandamizi wa Global Publishers lssa Mnally Mzee wa GX 100 akitaniana na Dida.


Kulia ni ni mdogo wa mwandishi wa Global Publishers lmelda Mtema ambaye naye alifunga safari kutoka Dar mpaka Moro kuja kwenye Birthday hiyo.


Dida akiondoka kwa madaha baada ya kumuhusia mdogo wake huku Mc Chuma uleta akimkodolea jicho
Aisee muda umeenda sana
 
Back
Top Bottom