Dida aongoza mastaa kibao kwenye birthday ya mtangazaji Warda

Unamjua Dida vizuri? Ana uwezo was kukuweka ndani na kukulisha....ingia Dida mitikisiko blog. Ni mwanamke mtafutaji hasa....tatizo in huo mkorogo na kung'ang'ania mavazi ambayo haendani Nayo....
aniweke mie mjini my foot, kwa tuvihela twa sembe! cmon wa Tanzania tusiwe wavivu namna hii. illegal business doesn't count anywhere. picha za facebook na instangram ndo zinakufanaya imuone ana pesa cmon ndo maana tutaendelea kufa na umaskini milele na milele AMINA!
 
Hivi huwa wanajitizama vizuri kabla ya kutoka? Hizo nguo lo alafu walau zingekua zinaenda na hiyo miili yao basi
 
Lianzishwe jukwaa la fashion humu ili kusaidia watu kuvaa nguo zinazoendana na miili yao.

Wewe OLESAIDIMU utakua upande wa mwanaume!!

Ha ha haaaa kaka Deo Corleone mimi sina ujuzi mkubwa kiasi hiko, wako wajuzi humu wanaweza kutuongoza na sie tukabaki wachangiaji hapa na pale tukibadilishana mazoea
 
Last edited by a moderator:
Aisee muda umeenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…