Weeeeee.....mie mpaka umri huu najua vipara zaidi ya elfu kenda, ikiwa imara tu, bila hata kuomuona samaki ishalia nyau.
Na pale pembeni alikuwa mwanamke, kwanini isisimame?
Au hapandi mtungi mpaka stata?
Hahaah warumi ujue nilikuwa leba najifungua nimecheka ghafla nikasahau kama naugulia uchungu kwa dkika 5!hapa madr wanadhania naigza au nimepandwa kichaa ..pungza makali ya manenoo hihihh
Ahahahah!!! Eeh binamu yangu na wewe umetisha kwa kweli, umbea hadi labour? Nikupe hongera zako kwa hilooo, kweli umbea upo kwenye damu, na huyo mtoto akizaliwa mtoto akiwa Wa kiume muite warumi umesikiaa?? Pluziiii damu ya umbea iendelee kuwepo Amina ? Umbea forever?
Heheh pale ni stoo aisee
Ndio.masupastaa wa bongo hao.... wanaishi stoo na inawezekana choo cha kushare
Pale haijasimama lakini ujue?
Kweli umbea kipaji. .hadi labor ?? ...
Idumu miaka elf kumi binamuu yaan umbea rahaa unapungzaje stress ...na wewe udumu miaka lakni nanee.aminaa
Mwenzangu kile chumba hapana binamu, nasikia ni cha moze, jamani na ile michupi ilivyotundikwa juu kama tungiri za uchawi umeziona?? Jaman na star times na feni za promotion umeviona? Yani kile chumba ni shidaaaa kwa kweli, ebu niambe na wewe uliona nini binamu?
Toa ya moyoni binamu tapikaaaaa mie siyajui hvooo? Ndo maana dida kamkimbiaaa, si atumie Viagra jamani? Kile chumba jaman wameshindwa ata kwenda guest za sinza za elfu 20? Khaaaa atapata vichambo Leo mpaka azimie maninaaa
Binamu yaani hatareeeeeeee
Pazia kama mlango wa choo cha uswaz,
Binamu hebu tupia jicho juu ya dress ya TV, mbona kama kuna pazia la labour?
Afu anapenda kumechisha maana mboxer aliotoka nao bafuni ndo huo huo umefanana na anaouvaa.
au mwenzetu hapendi marangirangi?
Binamu umeona mambo??
Binamu nimeyaona kwa macho yote matano.
Nilikuwa nampigia paranja ili akanilale, lakini kwa hii video, akhaaaaa!!!!!!.......kibamia ptyuuuuuuuuuu!!!!!!!
Ndo mana 'uso mkavu' alimshindwa, unaanzaje kwanza maana ukikohoa tu, kuleeeeee.
Afu mbona limelegea?
warumi na Evelyn Salt nisaidieni kunidadavulia
Nishaipata yote.... mmh hiko kidude kilivyosinyaa sasa.... huruma saana
Naomba niku-pm namba yangu unitumie na mimi.
Mie bado nipo kwenye linepi la Moza umeliona? Khaaa mhj
Nishakutumia shoga
Nishakutumia shoga