Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Weeeeee.....mie mpaka umri huu najua vipara zaidi ya elfu kenda, ikiwa imara tu, bila hata kuomuona samaki ishalia nyau.
Na pale pembeni alikuwa mwanamke, kwanini isisimame?
Au hapandi mtungi mpaka stata?

Toa ya moyoni binamu tapikaaaaa mie siyajui hvooo? Ndo maana dida kamkimbiaaa, si atumie Viagra jamani? Kile chumba jaman wameshindwa ata kwenda guest za sinza za elfu 20? Khaaaa atapata vichambo Leo mpaka azimie maninaaa
 
Hahaah warumi ujue nilikuwa leba najifungua nimecheka ghafla nikasahau kama naugulia uchungu kwa dkika 5!hapa madr wanadhania naigza au nimepandwa kichaa ..pungza makali ya manenoo hihihh

Kweli umbea kipaji. .hadi labor ?? ...
 
Ahahahah!!! Eeh binamu yangu na wewe umetisha kwa kweli, umbea hadi labour? Nikupe hongera zako kwa hilooo, kweli umbea upo kwenye damu, na huyo mtoto akizaliwa mtoto akiwa Wa kiume muite warumi umesikiaa?? Pluziiii damu ya umbea iendelee kuwepo Amina ? Umbea forever?

Idumu miaka elf kumi binamuu yaan umbea rahaa unapungzaje stress ...na wewe udumu miaka lakni nanee.aminaa
 
Last edited by a moderator:
Kweli umbea kipaji. .hadi labor ?? ...

Hahahaa hapa ninachat umbea uchungu umepoa poa ukinichachia hapa navotpa simu jmani umbea maradhii ila ile comment ta bnamu yaani pain ili kaa dormant yenyewe bla kupenda lol kipaji kdogoo
 
Kweli umbea kipaji. .hadi labor ?? ...

Muache binamu yangu ajiachie bhana, watu wanapiga umbea hadi makaburini sembuse labor? AhahHH ila binamu katishaaaa nimempenda bureee
 
Idumu miaka elf kumi binamuu yaan umbea rahaa unapungzaje stress ...na wewe udumu miaka lakni nanee.aminaa

Weraaaaaa!!!! Na nyie mdumu miaka miaaaaaaaa, UMBEA umefika mahala pake Leo, jaman lichipi la moze umeliona dirishan? Khaaa mhh ukimuona njian sister duu mwenyewe ndani sasa ni shidaa
 
Mwenzangu kile chumba hapana binamu, nasikia ni cha moze, jamani na ile michupi ilivyotundikwa juu kama tungiri za uchawi umeziona?? Jaman na star times na feni za promotion umeviona? Yani kile chumba ni shidaaaa kwa kweli, ebu niambe na wewe uliona nini binamu?

Binamu yaani hatareeeeeeee
Pazia kama mlango wa choo cha uswaz,
Binamu hebu tupia jicho juu ya dress ya TV, mbona kama kuna pazia la labour?
Afu anapenda kumechisha maana mboxer aliotoka nao bafuni ndo huo huo umefanana na anaouvaa.
au mwenzetu hapendi marangirangi?
 
Toa ya moyoni binamu tapikaaaaa mie siyajui hvooo? Ndo maana dida kamkimbiaaa, si atumie Viagra jamani? Kile chumba jaman wameshindwa ata kwenda guest za sinza za elfu 20? Khaaaa atapata vichambo Leo mpaka azimie maninaaa

Weweeeeee....weraaaaaaaaaa
Yamtimbwiliko ngoma safi hukuuuuuuuuu!!!!!!!!
 
Binamu yaani hatareeeeeeee
Pazia kama mlango wa choo cha uswaz,
Binamu hebu tupia jicho juu ya dress ya TV, mbona kama kuna pazia la labour?
Afu anapenda kumechisha maana mboxer aliotoka nao bafuni ndo huo huo umefanana na anaouvaa.
au mwenzetu hapendi marangirangi?

Mie bado nipo kwenye linepi la Moza umeliona? Khaaa mhj
 
Binamu umeona mambo??

Binamu nimeyaona kwa macho yote matano.
Nilikuwa nampigia paranja ili akanilale, lakini kwa hii video, akhaaaaa!!!!!!.......kibamia ptyuuuuuuuuuu!!!!!!!

Ndo mana 'uso mkavu' alimshindwa, unaanzaje kwanza maana ukikohoa tu, kuleeeeee.
Afu mbona limelegea?
warumi na Evelyn Salt nisaidieni kunidadavulia

ntumieni basi nami nione yaliyomo yamo au yapatikana wapi
 
Last edited by a moderator:
Me naanza tu na taulo la Ez sijui rangi ya samli?loooh kuhusu kib.oo ndo kilegevu na Dida mtamba na njia alimtunzia siri basi maana hamna kitu.
 
Back
Top Bottom