Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Mmh!! Wachawi utawajua tu, aya kulikon saa saba yote hii jaman?

Hahahaaaa....tunawangia tuzo bwanaa....tupe hongera kwanza...

Wewe unawangia mtaa gani binamu?
 
jamani Dida siyo mzee wa umri ni mzee wa milleage mnipata hapo?
 
jamani Dida siyo mzee wa umri ni mzee wa milleage mmenipata hapo? yaani kama ni gari ndiyo ni ni ya 2013 lakini imeshatembea kilometer 600000
 
jamani dida ujue mi nampendaga edzen hebu niunganishe naye please ntafurah sana
 
Karma....Dida shankupe ila Moza nae mswahili mfyuuu...Ezden kadhalilika bado kidogo atenda Mwanza kwao kupumzika
 
Karma....Dida shankupe ila Moza nae mswahili mfyuuu...Ezden kadhalilika bado kidogo atenda Mwanza kwao kupumzika

Ila mie sijaona ubaya wa hiyo video, maana mchukuaji alijua Edzen labda ataonyesha uume wake kwa muda mrefu, matokeo yake umeonekana kiduchuuu.....Ila Kibamia
 
that's my point madamB yani ali aim kumdhalilisha na kibamia chake..namuonea huruma Ezden
 
Last edited by a moderator:
that's my point madamB yani ali aim kumdhalilisha na kibamia chake..namuonea huruma Ezden

Kweli Ayanda85, lakini wakati anachukuliwa video hakujua maana kuna kipindi alii-face camera karibu mara mbili.
Nadhani alikuwa anajua bhana.
 
Last edited by a moderator:
Kweli Ayanda85, lakini wakati anachukuliwa video hakujua maana kuna kipindi alii-face camera karibu mara mbili.
Nadhani alikuwa anajua bhana.

kamaflash ilikuwa imezimwa asingejua na ndio maana kuna kaugiza no kumulikiwa...si mtu akisshika simu utajuaje anakurekodi? so ndio ilivyo
 
Ata usipomchangia, lazima aoe katoto kapya, we ushazeeka , ngoz kama nguruwe mweny mimba

Hahaah warumi ujue nilikuwa leba najifungua nimecheka ghafla nikasahau kama naugulia uchungu kwa dkika 5!hapa madr wanadhania naigza au nimepandwa kichaa ..pungza makali ya manenoo hihihh
 
Hii video naiona kwa dougie iko nusu nusu... nataman niipate yoote uhondo kamili
 
Back
Top Bottom