Dida kufunga ndoa tena?

Kaninunulia ipad,galaxy ninayo na Tecno ninayo pia kasoro huawei ndio sina,
Anarusha ninii huko insta mi insta sipendi kuingia kule

mi natumia galaxy note 4 kama ya kajala
 
Binamu nataka kuja mwanza sina pa kufikia si utanipokea kwako? Au ndo ubinam mwisho jf , nitakaa miez sita tu ila napenda sana maziwa fresh, so mwambie shemej mniwekee bill kabisa ya maziwa, na chumban mniwekee AC kabisa kama hamna

hii kali jamani!
 
Hhhhhhaaa kwa ninii hhhhhaaa

Si najua , undugu mtamu mkiwa mbali mkiwa karibu full kugombana, na apo nikija mwanza kila siku nitakuwa napiga umbea na majiran kuwa Dinazarde ananitesa hanip chakula, ana roho mbaya kama nini, jana kapigwa na mumewe , si unazijua zile za kiswazi?? Ahaaah ahaha yan kuishi na watu ni kazi binamu
 
Last edited by a moderator:
Sasa kwa majirani si utagombanisha watu

Si ndo naenda kupiga umbea kwa majiran, Dinazarde anajishau tajir kila siku tunakula maharage ndan, hahaha ahaaa yan mpka utanitafutia nauli ya kurud dar na ubinamu unaisha
 
Last edited by a moderator:
Si ndo naenda kupiga umbea kwa majiran, Dinazarde anajishau tajir kila siku tunakula maharage ndan, hahaha ahaaa yan mpka utanitafutia nauli ya kurud dar na ubinamu unaisha

Hhhhhhjaaaaaaaaaa,ntakukata masikio
 
Last edited by a moderator:

Kuishi na watu kazi binam kweli kabisa,kuna wengine kwenye nyumba za watu wanakua wao ndio mabos mfyuuuuu,chakula ntakupa tu labda unisingizie tu kunitafuta shari maana mbeya hua haulizwiiii
Ushawah kuish na ndugu bina???
 
Si nilikwambiaga binamu nilishawahi kuishi na ndugu nikafukuzwa kisa umbea au umesahau??
 
Sikukaribii tena... usije ukawa mbeibe wangu halafu siku moja ukataka kulipiza kisasi!

Nenda tu hiyo nyingine ni nyoka wa kibisa haisimami wala haichezi, usiogope binamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…