Dida: Sasa ndoa basi, wanaume hawana maana wote ni wale wale

Dida: Sasa ndoa basi, wanaume hawana maana wote ni wale wale

yule jamaa cjui alifata nn kwa bibi km yule cz ni m'baya na pia mzee au mjomba alikua anamkata kimba!
 
Heee ukiona hivyo wanaume wote hawamtakii,sasa hivi ni wa kuoshea rungu tu kama kina flanii hhhhhaaaaaaaaaa
Kuishi na mume kipajii,na kuachana na mume hovyo au wanaume hovyo ni ujasiriii
 
Tatizo ni maneno ya jamii inayotuzunguka ndio tunaishia kuokota vitu vya ajabu mkiingia uko ndani ukaona true colours mwenyewe unatoka mbio,,,,,tukubaliane unakuja kwangu nakuja kwako mara moja moja tunashushana nyege siku zinaenda

Mh! Hii hatari!
 
Hata mimi nakuunga mkono mummy, tatizo yule dogo alimwaga mtama wote kuku wakajisevia....sasa hivi kila ndume anaona kukutokea ni sawa na kumkumbatia mgonjwa mwenye dalili zote za Ebola.
 
Hata mimi nakuunga mkono mummy, tatizo yule dogo alimwaga mtama wote kuku wakajisevia....sasa hivi kila ndume anaona kukutokea ni sawa na kumkumbatia mgonjwa mwenye dalili zote za Ebola.

hahahaahahha, umeua kwa kweli
 
Hahahaha mnatabia mbya atapata tu mtu mzima mwenzie! Kwani watu wazima hawaoani tena ndo itadumu sio ndoa hizi za watoto wa siku hiZi wanadhani ndoa ni kulala bila pichu
 
Huyo anapandisha tu dau ndo maana antutangazia angekuwa hataki tena angekaa kimya asifuatwe
 
Kwavile ndoa ni ilianzishwa na Mungu mwenyewe na si kitu kilichoanzishwa na mwanadamu kama magari,mavazi n.k......ndoa itabakia kitu chema na chenye thamani kubwa kwavile tu ni mpango wa Mungu mwenyewe .....yeyote anayefikiri ndoa ni tatizo ajue tatizo ni yeye......kitu kitakatifu hakiwezi kuwa tatizo......unaposema kitu kilichoanzishwa na Mungu kuwa ni tatizo maana yake unamkosoa Mungu......kufuru.......Mabibi na Mabwana jifunzeni maana ya ndoa kwa kujua kweli yake kupitia Mungu aliyemwanzilishi.......na acheni kudanganyana na kupeana moyo hapa .......THE HELL IS REAL .........
 
Back
Top Bottom