Jojo123
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 432
- 703
Mwanamke moja kaolewa na kuachika mara 4 .. na sasa naambiwa tena yupo mbioni kufunga ndoa nyingine ya 5 na hapo ndoa ya 4 imedumu kwa miezi mi5 tu na haijachukua hata mwezi moja tangu ya nne ivunjike ya tano iko njiani.
Swali ninalo jiuliza Anaye fungisha Ni Shekhe huyo huyo moja au Kila mara Shekhe Mwingine?? Lakinia pia najiwazia hawa wanaume wote wanao organize Harusi Mpaka ndoa huwa wanakuwa kwenye hali gani kiakili??
Nawaza wanume wote hao walipima afya kabla ya kuingia kavu maana niwazi ndoa hawatumia condom,.
Je Kwa waislam Mwanaume ana ruhusa ya kuoa mara4 vip kuhusu Mwanamke anaolewa mara ngap?