DIDA Shaibu aachika ndoa yake ya 4 ndani ya miezi?!!

DIDA Shaibu aachika ndoa yake ya 4 ndani ya miezi?!!

Ni ya mda mrefu Ili trending Instagram sana, kuweni makini na hao bebezi zenu kujiachia achia achia, wengi hurekod kwa Siri, nakumbuka enzi hzo Dida alikuwa anajiita Dida wa Edzen na mbwembwe kupostiana
Ila Dida hakumrekodi wala kuongea shombo dhidi ya Edzen
 
Pamoja na dini kuruhusu lakini kuna wanawake hawataki kuusikia uke wenza asilani abadan.
 
Namuombea Dida Mungu ampe Mwanaume mwingine ikibidi Mzungu wa ukweli wanaomtakia mabaya waaibike na kufedheheka ,

Tena mume wa kizungu kijana wa ukweli na siyo wale wazee wenye shombo kama wanawake wa kibongo wengi wanaowaokota kula nao vipensheni.

Didah utapata Mume wa kufanana naye mwaya!
 
Mwanamke moja kaolewa na kuachika mara 4 .. na sasa naambiwa tena yupo mbioni kufunga ndoa nyingine ya 5 na hapo ndoa ya 4 imedumu kwa miezi mi5 tu na haijachukua hata mwezi moja tangu ya nne ivunjike ya tano iko njiani.

Swali ninalo jiuliza Anaye fungisha Ni Shekhe huyo huyo moja au Kila mara Shekhe Mwingine?? Lakinia pia najiwazia hawa wanaume wote wanao organize Harusi Mpaka ndoa huwa wanakuwa kwenye hali gani kiakili??

Nawaza wanume wote hao walipima afya kabla ya kuingia kavu maana niwazi ndoa hawatumia condom,.

Je Kwa waislam Mwanaume ana ruhusa ya kuoa mara4 vip kuhusu Mwanamke anaolewa mara ngap?View attachment 2061475
No limit, Mwanaume anaweza kuoa mara zote atakazoweza ilimradi kwenye ndoa mwisho ni kuwa na wake wanne. Vivyo hivyo kwa mwanamke anaweza kuolewa mara zote, ilimradi kila akiachika anaweza kuolewa tena.
 
Nimeona sifa anazopewa leo baada ya kufa ni sifa nzuri tu nikasema nitafute uzi inayozungumzia sifa zake kabla hajafa mbona sasa sifa hazifanani?
 
Back
Top Bottom